wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,441
- 3,123
"CHAYI"Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipataga deal la kuua mbwa koko wasio na wenyewe wanaozurura mtaani kwa kutumia bunduki
Siku ya kwanza ilienda vizuri niliua mbwa 47 kwenye vitongoji viwili siku iliyofuata yule afsa mifugo akaniambia leo ni jumapili tutatembelea mabucha nikakwambia sawa by saa 12 asubh tukaanza kupita bucha moja baada ya jingine
Tulipita mabucha kama matatu ukweli nililenga mbwa zaid ya 15 waliokuwa wanazurura kwa kuokota mifupa na finyango za nyama zilizodondoka chini.
Bucha la nne hapa ndipo nilipoona tukio la ajabu tumefika tu na byke jamaa akapaki mbali kidogo tukasogea pale buchani kwa miguu taratibu ....niliangaza macho eneo la pale buchani nikaona mbwa kama watatu bs nikatarget wa kwanzia nikapiga kuja kupiga wapili loooh akanguka chini na milio mkali gafla akabadilika na kuwa bibi kizee huku akilia kwa uchungu na akafia palepale huku mdomo wake na mikono ikiwa imechafuka mafuta na midamu kibao haikuwa hallucinations na nilikua sjanywa pombe hii ilinishangaza sana inawezekana vipi mbwa kubadilka na kuwa binadamu?
Ilikua ni tukio la kustajabisha sana pale buchani baadhi ya raia wakaanza kuongea chini chini huyu ni bibi flani tunamjua na ni mchawi mkubwa tukawauliza leo alikuwa hapa buchani wakajibu hapana dah afsa alipiga simu police na kuripot tukio.
Ikabidi nistop lile deal aise.
Exactly.Sayansi haiwezi kuthibitisha uchawi, ila uchawi upo
Kyai kya moto
Dah,Ikabidi nistop lile deal aise.
binadamu ni kiumbe katili sana aisee.Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipataga deal la kuua mbwa koko wasio na wenyewe wanaozurura mtaani kwa kutumia bunduki
Siku ya kwanza ilienda vizuri niliua mbwa 47 kwenye vitongoji viwili siku iliyofuata yule afsa mifugo akaniambia leo ni jumapili tutatembelea mabucha nikakwambia sawa by saa 12 asubh tukaanza kupita bucha moja baada ya jingine
Tulipita mabucha kama matatu ukweli nililenga mbwa zaid ya 15 waliokuwa wanazurura kwa kuokota mifupa na finyango za nyama zilizodondoka chini.
Bucha la nne hapa ndipo nilipoona tukio la ajabu tumefika tu na byke jamaa akapaki mbali kidogo tukasogea pale buchani kwa miguu taratibu ....niliangaza macho eneo la pale buchani nikaona mbwa kama watatu bs nikatarget wa kwanzia nikapiga kuja kupiga wapili loooh akanguka chini na milio mkali gafla akabadilika na kuwa bibi kizee huku akilia kwa uchungu na akafia palepale huku mdomo wake na mikono ikiwa imechafuka mafuta na midamu kibao haikuwa hallucinations na nilikua sjanywa pombe hii ilinishangaza sana inawezekana vipi mbwa kubadilka na kuwa binadamu?
Ilikua ni tukio la kustajabisha sana pale buchani baadhi ya raia wakaanza kuongea chini chini huyu ni bibi flani tunamjua na ni mchawi mkubwa tukawauliza leo alikuwa hapa buchani wakajibu hapana dah afsa alipiga simu police na kuripot tukio.
Ikabidi nistop lile deal aise.
Toka hapa wacha urongo wako wewe.Nimekumbuka Polisi walikuja kijijini kwetu, tena walikua wamekuja kufanya msako was wawindaji holela, coz kijijini kwetu kupo karibu na msitu mnene, ila sio hifadhi.
Basi walivyofika wakafikia kwa mtendaji was kijiji, wakapokelewa, walivyomaliza mazungumzo yao, wakaambiwa kuna vijana fulani hao ndio hodari was kuwinda wanyama pori bila kibali wala ruhusa,
Sasa walivyofika kwa kijana m1 hawaku mkuta muhusika, ila walimkuta mzazi wake, yaan baba ake, katika kuhoji baba anagoma kutoa ushirikiano, si wakaanza kumpiga yule baba, acha wambaluzee, wanashangaa anageuka cobra, asiwaumize nini, polisi wawili walifia hospital ya mkoa, kwa kuchelewa matibabu, toka palee, heshima na adabu.
Waajiriwa was serikali wakija kijijini kwetu wanaishi kwa tahadhari..kwetu uchawi unanunuliwa tena kwa grade, ni bei yako tu.
Huwaga mnasimulia hizi mambo zenu za kusadikika kama vile mmetokea sayari ya Mars.Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipataga deal la kuua mbwa koko wasio na wenyewe wanaozurura mtaani kwa kutumia bunduki
Siku ya kwanza ilienda vizuri niliua mbwa 47 kwenye vitongoji viwili siku iliyofuata yule afsa mifugo akaniambia leo ni jumapili tutatembelea mabucha nikakwambia sawa by saa 12 asubh tukaanza kupita bucha moja baada ya jingine
Tulipita mabucha kama matatu ukweli nililenga mbwa zaid ya 15 waliokuwa wanazurura kwa kuokota mifupa na finyango za nyama zilizodondoka chini.
Bucha la nne hapa ndipo nilipoona tukio la ajabu tumefika tu na byke jamaa akapaki mbali kidogo tukasogea pale buchani kwa miguu taratibu ....niliangaza macho eneo la pale buchani nikaona mbwa kama watatu bs nikatarget wa kwanzia nikapiga kuja kupiga wapili loooh akanguka chini na milio mkali gafla akabadilika na kuwa bibi kizee huku akilia kwa uchungu na akafia palepale huku mdomo wake na mikono ikiwa imechafuka mafuta na midamu kibao haikuwa hallucinations na nilikua sjanywa pombe hii ilinishangaza sana inawezekana vipi mbwa kubadilka na kuwa binadamu?
Ilikua ni tukio la kustajabisha sana pale buchani baadhi ya raia wakaanza kuongea chini chini huyu ni bibi flani tunamjua na ni mchawi mkubwa tukawauliza leo alikuwa hapa buchani wakajibu hapana dah afsa alipiga simu police na kuripot tukio.
Ikabidi nistop lile deal aise.
Duuh,polisi wawili walifia hospital ya mkoa, kwa kuchelewa matibabu, toka palee, heshima na adabu.
Waajiriwa was serikali wakija kijijini kwetu wanaishi kwa tahadhari..kwetu uchawi unanunuliwa tena kwa grade, ni bei yako tu.
Nini kiliendelea!Nilibaki na maswali mengi sana hii inawezekana vipi?
Ametumia technologia Gani
Nikikuuliza kwanini tusimshawishi huyo Mzee akaenda bungeni akapiga wabunge wote, Kisha aende ikulu, nk. Utasema uchawi hautumiki hivyo.Nimekumbuka Polisi walikuja kijijini kwetu, tena walikua wamekuja kufanya msako was wawindaji holela, coz kijijini kwetu kupo karibu na msitu mnene, ila sio hifadhi.
Basi walivyofika wakafikia kwa mtendaji was kijiji, wakapokelewa, walivyomaliza mazungumzo yao, wakaambiwa kuna vijana fulani hao ndio hodari was kuwinda wanyama pori bila kibali wala ruhusa,
Sasa walivyofika kwa kijana m1 hawaku mkuta muhusika, ila walimkuta mzazi wake, yaan baba ake, katika kuhoji baba anagoma kutoa ushirikiano, si wakaanza kumpiga yule baba, acha wambaluzee, wanashangaa anageuka cobra, asiwaumize nini, polisi wawili walifia hospital ya mkoa, kwa kuchelewa matibabu, toka palee, heshima na adabu.
Waajiriwa was serikali wakija kijijini kwetu wanaishi kwa tahadhari..kwetu uchawi unanunuliwa tena kwa grade, ni bei yako tu.
Kwa hiyo ukisikia ndiyo unapata confirmation kwamba uchawi upo??Nilisikia babu wa mpenzi wangu alikua anageuka nguruwe kwenda kula mazao ya watu na kuharibu kipindi yupo hai...hizi kitu zipo