BARUANI MUHUZA WA STAR TV na ODHIAMBO wa TBC vipi!!

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Huyu Baruan Mhuza alikuwa star na kwenda TBC. Ilikuwaje akarudi tena STAR TV???? Na yule Somebody ODHIAMBO aliyekuwa TBC na kutangaza matokeo ya uchaguzi ya kenya yupo wapi siku hizi? Wanajukwaa nifahamisheni TAFADHALI
 
Mzunguko wa maisha.
Siyo tatizo kuhama kituo kwenda kipya

Watu wanahangaikia maisgha ili mradi mkono uende kinywani
 
Nilivyoona heading akyanani nilijua unamwambia RIP mtu anayeitwa Muhuza.
Kumbe sikuwa makini ni Buruani na sio Buriani??
Acha nifunge ofisi niende zangu, akili ishachoka.
 
Back
Top Bottom