Butola, huwezi kusema eti Mbowe ameshindwa kuachia posho ya shilingi 70,000 kwa siku ambayo kwa siku 50 za ubunge ni sawa na shilingi milioni tatu na nusu 3,500,000 kwa kipindi chote cha bunge la bajeti halafu ujenge hoja hapa.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa Mbowe alionyesha kwa vitendo kwa kuachia Shangingi V8 Jipya , mafuta ya shangingi hilo,dereva na ukiangalia kimahesabu unaweza kuona kuwa hata mafuta aliyoweka KWENYE gari lake kwa safari zake wakati akiwa Dodoma kama zile za kwenda Arusha , Igunga, DSM kwenye vikao mbalimbali vya chama ni zaidi ya hizo milioni tatu na nusu , penye ukweli tuuseme na penye sppining tuseme wazi kwanio hata habari ilivyotolewa kwenye gazeti linaloheshimika ni kuwa kwa mara ya kwanza linasema bila kuonyesha kuwa nani kasema ila wanasema tuu ni Bunge ... huu ni mkakati wa ...........
Pamoja na kumpa pongezi Zitto , ila Mbowe anapaswa kupewa pongezi pia kwani alipinga mashsngingi na kuamua kuliacha bila masharti na nafikiri kuna haja kuliangalia hili pande zote.