Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

Mbona Zitto tu? Wako wapi makamanda wengine? Mtema, Mnyika, Lissu, Lema, Weche, Shibuda, Kamanda Mkuu Mbowe, n.k jitokezeni basi mzikatae hizo posho. Au inawezekana Zitto amendika barua kwa niaba ya Chama kama Naibu Katibu Mkuu. Kama ni barua binafsi basi Chama kikae kione msimamo wa Chama kama Taasisi isiwe suala la mtu binafsi.

Mkuu je walijitokeza kuungana za Zito, iweje leo.?
 
kumbe tangia 2011,jamaa hapokei posho. Kwa hii ya sasa yeye haimuumizi kwani alishazoea.
 
Leo wapinzani wanakula matapishi ya Zitto.
Mkuu kukusaidia, hoja ya kufutwa Kwa Posho ilikuwa ya Kambi Rasmi ya Upinzani?na Ilikataliwa na Hata Mhe . ZZK alijibiwa Hiyo barua kwamba haiwezekeni na hivyo akaagizwa posho zake Ziwe zinaenda Kigoma Mkuu , Sasa wanakula matapishi yapi?
 
Mkuu acha sanaa, kama ilikuwa hoja ya KUB iweje barua apewe Zitto peke yake, nenda YouTube uone kama ilikuwa hoja ya Kambi rasmi ya Upinzani.

Hizo ndio nyakati tuhuma za usaliti wa Zitto ndani ya Chadema zikiwa zimepamba moto. Hivyo alikuwa hana uungwaji mkono toka kwenye chama chake kwa namna yoyote ile
 
Mkuu tafuta barua ya Bunge , baada ya Kugoma Kwa Serikali Ndio Mhe. ZZK akiandika , tafuta majibu ya Hiyo barua yako humu humu JF
 
Haya ndio mambo Neema Lugangira anapaswa kuongelea
 
Good move Zitto na kuongeza credibility cdm nzima individually not as a team wazikatae then wazielekeze somewhere ili watu waone faida yake.
Pole mkuu, Chadema wapo kimslahi leo baada ya kukosa ubunge ndio wanaongelea maslahi ya wabunge. Matapeli
 
Back
Top Bottom