Kama Mwenyekiti wa Chama na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mbowe, ameshindwa kuonyesha uongozi na kuendekeza maslahi yake binafsi, hawa Wabunge wengine wataweza vipi??akina Sugu, Wenje, na Lema kwa uchache wataziacha vip? sio rahisi kama unavyodhani, inahitaji sana kujitoa na kujikana kwa dhati...
Zitto anastahili sana pongezi kwa hili, kaonyesha kwa vitendo kuwa yupo juu ya maslahi yake binafsi, ata kama Wabunge wengine wa Chadema pamoja na wala CCM hawatakuunga mkono kwa muda mrefu ujao, Watanzania wanajua...