Chakunyuma
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 810
- 152
We need more info concerning this issue because it is not clear up to now.
napita tuKwanza kabisa mapenda kunukuu maneno ya Mh. Zitto. Kisha ningependa kumuuliza maswali kwa ufahamu zaidi.
Hebu tupe ufafanuzi kwa mambo yafuatayo.
- Napenda nifafanue masuala kadhaa hapa.
Moja, sisi kama Kambi ya Upinzani inayoundwa na CHADEMA tulikwishaamua kwamba posho za vikao sio stahili sahihi kwa Mbunge. Mnadhimu Mkuu wa Kambi alikwishaandika kwa Spika wa Bunge kutaka kutenganisha fomu za mahudhurio na fomu za posho. Mbunge wenje pia katika moja ya michango yake alisema Bunge litengenishe fomu hizi mbili.
Kuhusiana na mimi kama an indivual MP, nilipewa kazi na chama kama Waziri kivuli Fedha na tangazo la posho alilitoa Naibu wangu ndugu christina Lissu. Mie nikalitolea ufafanuzi kwa vyombo vya habari. Wabunge wa CCM wakaanza kunishambulia na kusema ni unafiki kwamba ninatangaza posho zifutwe ilhali nazichukua. Nikamwandikia Spika barua kuwa posho zangu ziende kwenye charity org jimboni kwangu. Hili nalo likaonekana kama ni unafiki pia. Nikaamua kuzikataa kabisa. Hivyo toka tarehe 8 Juni mimi sipokei posho ya vikao. Njia ninayotumia ni kutosaini mahudhurio Bungeni ili wasipate sababu ya kunilipa.
Sasa kuna mchangiaji hapa kasema usiposaini ndani ya siku tatu unaadhibiwa. Kanuni inasema Mbunge asipohudhuria MIKUTANO mitatu ya Bunge anakuwa amejifukuza ubunge. Tutofautishe mikutano na VIKAO. Kikao ni kila siku na mkutano ni session nzima, mfano session iliyopita ilikuwa ni mkutano wa 4 wa Bunge nk.
Sasa, ikitokea sitasaini pia katika mkutano wa 5 na wa 6 wanaweza kuanza mchakato wa kunifukuza Ubunge. Lakini je mchakato huo utategemea karatasi za mahudhurio tu? Kwa mfano, nikiwa Bungeni ninauliza swali au kuchangia hoja, hansard inarekodi kuwa nilikuwepo Bungeni. Karatasi ya mahudhurio inaonyesha sikuwepo Bungeni. Audio na video records zinaonyesha nilikuwepo Bungeni, watanifukuza kwa vigezo vipi?
Katika harakati lazima ni lazima kuchallenge rules ili zibadilike. Nadhani katika hili tutafanikiwa.
Hivyo, wabunge wa chadema sio wanafiki kwani tayari wameandika rasmi kutaka fomu tofauti za kujaza mahudhurio. Pili, Zitto hasaini kama njia ya kutoa changamoto kwa rules. Lakini pia ninaamini kwa dhati kabisa kwamba posho ya kikao (sitting allowance) sio stahili halali (legitimate?)Kwa mbunge anayelipwa mshahara kwa kazi ile ya kukaa na kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuwakilisha wananchi.
Nadhani waliowengi wamekuelewa kutokana na ufafanuzi wako. Labda kwa kuongezea hapo nitoe pia maelezo kuwa hata Mh. Mbowe alishalitolea ufafanuzi jambo hili tena kwa umahiri mkubwa sana. Katika kumbukumbu zangu Mh. Mbowe alisema, Swala si kufuta POSHO zipo zilizohalali kama Per DieM lakini siyo SITTING Allowance. Pia likazuka suala la Spika MAKINDA kukemea wabunge wote wanaokataa posho hizo kwamba watachukuliwa hatua za kinidhamu kwa sababu ni kukiuka kanuni za Bunge. Swali linakuja Nani aliyewachanganya Wabunge ni Spika au Mh. Zitto! Jambo la msingi ilikuwa ni kufuta posho zote kuanzia kwa Wabunge hadi Serikalini rejea maneno ya WAZIRI Mkuu Posho zisizo za lazima kufutwa, swali je hayo yametekelezwa? Kwa mantiki hiyo endapo Chadema wangezikataa ina maana hata baadhi ya stahiki zao zilizo halali wangezikosa kwa sababu form za kusaini posho hizo hazikutenganishwa. Ingekuwa ni halali kwa wananchi kuwalaumu Chadema ikiwa tu form hizo zingekuwa zimetenganishwa kisha wakaamua kuzichukua zote, lakini kwa hili hatuwezi kuwatupia lawama chadema. Swali langu kwa Mh. Zitto. Unatuambia nini wananchi kuhusu Posho yako kupelekwa Jimboni kwako, je zimekwishapelekwa? Ikiwa zitapelekwa je utasaini form hizo? Sasa kutakuwa na tofautigani na Wabunge waliozichukua kisha wakaenda majimboni mwao na kuwasaidia wapigakura wao? Bado ni kizungumkuti kwani inaonekana Serikali haijawa tayari kutekeleza adhima hiyo ya kufuta posho legelege. Ni mawazo tu yenye mlengo wa kati.
Katika mpango wa miaka 15 uliozinduliwa na Kikwete pale Dodoma, moija ya mpango ni kuzipitia upya posho zote na kuziondoa au kuzipunguza inapobidi. Nawashangaa magwanda kuidakia hiyo hoja na kuipiga zumari kama vile ni hoja yao. Hii ni plagiarism at its best. Mnawazuga majuha wenzenu, wengine saa sita kamili.

Mh Zitto pamoja na maelezo yako mazuri naomba nikuulize swali la nyongeza, huyu muanzisha thread amekuweka wewe upande mmoja na wabunge wenzako upande wapili sina hakika kuwa imetokea tu kwa bahati mbaya au ni mpango mkakati. Sasa niambie posho zimeingizwa kwenye akaunti yako na ofisi ya bunge au la? Inavyo onyesha kuingiziwa fedha ni lazima utake usitake ilihali umehudhuria kwenye kikao. Na kwa maneno yako mwenyewe kuhudhuria kwenye kikao huwezi angalia tu kusaini form kunamambo mengi yawezatumika kuonyesha kuhuzuria kwenye kikao. Na kanununi za bunge zinasemaje juu ya mbunge kususia posho?
Nadhani hujaelewa kuwa ukisaini kitabu cha mahudhurio unaingiziwa pesa katika akaunti yako ya benki sio unapokelea dirishani - kwa taarifa tu
Kwanza kabisa mapenda kunukuu maneno ya Mh. Zitto. Kisha ningependa kumuuliza maswali kwa ufahamu zaidi.
Nikamwandikia Spika barua kuwa posho zangu ziende kwenye charity org jimboni kwangu. Hili nalo likaonekana kama ni unafiki pia.Nikaamua kuzikataa kabisa. Hivyo toka tarehe 8 Juni mimi sipokei posho ya vikao. Njia ninayotumia ni kutosaini mahudhurio Bungeni ili wasipate sababu ya kunilipa.
Hebu tupe ufafanuzi kwa mambo yafuatayo.
Swali langu kwa Mh. Zitto. Unatuambia nini wananchi kuhusu Posho yako kupelekwa Jimboni kwako, je zimekwishapelekwa? Ikiwa zitapelekwa je utasaini form hizo? Sasa kutakuwa na tofautigani na Wabunge waliozichukua kisha wakaenda majimboni mwao na kuwasaidia wapigakura wao? Bado ni kizungumkuti kwani inaonekana Serikali haijawa tayari kutekeleza adhima hiyo ya kufuta posho legelege. Ni mawazo tu yenye mlengo wa kati.
Kupitia moja ya majibu yake ndani ya JFSource pls
Na hii itafanyika baada ya miaka kumi na tano, au siyo?Katika mpango wa miaka 15 uliozinduliwa na Kikwete pale Dodoma, moija ya mpango ni kuzipitia upya posho zote na kuziondoa au kuzipunguza inapobidi. Nawashangaa magwanda kuidakia hiyo hoja na kuipiga zumari kama vile ni hoja yao. Hii ni plagiarism at its best. Mnawazuga majuha wenzenu, wengine saa sita kamili.

Acheni kisingizio cha kutenganisha fomu kuwa kigezo cha kuendelea kupokea hizo posho.

Kwani akiisha saini mahudhurio ni lazima achukue pesa yote? Si achukue ile anayoona ni halali yake na kuacha ile anayoiona ni haramu???

CDM ni Unafiki mtupu!

Unalipwa posho iwapo tu umehudhuria kikao na kusaini mahudhurio. Kama hujasaini hata kama umehudhuria hulipwi posho ya kikao hicho.
Kwa hiyo kama hutaki kuingiziwa fedha hizi kwenye akaunti yako, unaacha tu kusaini mahudhurio. Mie sijaingiziwa malipo ya posho za vikao toka tarehe 8 Juni mwaka 2011. Nyaraka zangu za malipo yaonyesha 0 katika malipo ya posho za vikao.
Kwa nini habari hii imetoka sasa? Kwanza mimi sijaiona kwenye magazeti. Lakini pili ni lazima habari kama hii imekuwa leaked kimkakati ili kuonyesha kuwa chadema sio chama makini. Hivyo inawezekana kuna watu wanataka kuweka mjadala huu kama sehemu ya propaganda za kampeni huko Igunga nk.
Wabunge wa chadema ni wanafiki? Hapana. Wabunge wa chadema wamechukua hatua ya kuandika kwa Spika kwamba fomu za mahudhurio na fomu za posho ziwe mbili tofauti. Ofisi ya Spika haijafanya hivyo.
Suala langu lilikuwa personal kidogo. Wabunge wa ccm walianza kunishambulia mimi binafsi na hivyo nikachukua maamuzi ambayo yanawaziba mdomo moja kwa moja.
Mkakati wa chama ni kusaini daftari la mahudhurio tofauti na daftari la posho.
Mengine ni tafsiri za watu kulingana na mapenzi au chuki zao kwa Zitto au chama changu.
Yawezekana wewe ndiye hukunielewa lakini nina imani kabisa Mh. Zitto atakuwa amenielewa, si haba akaja pia kwa uelewa zaidiYaan umeyanukuu maelezo ya Zitto bila kuyasoma??..haya ni matatizo kwelikwelii...
Katika mpango wa miaka 15 uliozinduliwa na Kikwete pale Dodoma, moija ya mpango ni kuzipitia upya posho zote na kuziondoa au kuzipunguza inapobidi. Nawashangaa magwanda kuidakia hiyo hoja na kuipiga zumari kama vile ni hoja yao. Hii ni plagiarism at its best. Mnawazuga majuha wenzenu, wengine saa sita kamili.

Muungwana ni matendo yake na shukuru nimeuona uungwana wako. Sasa na kwazika kidogo, nisaidie tena hiki (kama niko sahihi) ni kipindi chako cha pili katika bunge, sawa? Ni lini suala hili la posho za kikao uliliona si sawa, na ulichukuwa hatua gani (kama ni kipindi cha huko nyuma), kwanini baada ya kushambuliwa na wa bunge wa ccm na kuamu kuchukua hatua, hii hatua uliyoichukuwa haikuwezekana kuchukuliwa na wengi wa wabunge wa cdm? Uliwashirikisha wa kakataa au ulimua mwenyewe, na kwa mantiki hiyo je? cdm hana team work katika masuala fulani fulani?
6]Acheni kisingizio cha kutenganisha fomu kuwa kigezo cha kuendelea kupokea hizo posho.
Kwani akiisha saini mahudhurio ni lazima achukue pesa yote? Si achukue ile anayoona ni halali yake na kuacha ile anayoiona ni haramu???
CDM ni Unafiki mtupu![/[/COLOR]QUOTE]
Ndugu Kishongo! Nadhani mantiki hapa ni kutenganisha forms. Hii ina maana per diems ni halali kwa mtu aliyeko mbali na kituo chake cha kazi. Mjadala hapa ungekuwa per diem ya kiasi gani bila kujali anayepokea! Ningependa kuungana na wanajamvi wanaosistiza kuondolewa kwa sitting allowances! Huu kwa maoni yangu ni wizi uliohalarishwa kwa kanuni/sheria za bunge. Kwa maana nyingine, mh Zitto ameacha hata kile ambacho ni stahiki yake! Hii inamaana pia, yeye anavyo vyanzo vingine vya mapato kumwezesha kuishi Dodoma kwa miezi mitatu akitumia mshahara wake bila kuwezeshwa na Bunge. Hii ina maana, ama mshahara wa Mbunge ni MKUUUUBWA sana, kiasi cha kuweza kutumia hela yake ya mfukoni (shs 80,000*30days = 2,400,00*3miezi = 7,200,000. Kama si hivyo, yumkini mheshimiwa Zitto anazo biashara ambazo zinamwezesha kuchangia kiasi hicho toka mfukoni mwake,na huo ni moyo wa kizalendo