Kuna watu mnapenda kulinda status quo ya umasikini wa walio wengi na utajiri wa walio wachache...siku itakapofika wenye nchi yao wakaanza kuidai..sijui mtakimbilia Algeria kama familia ya Ghadafi au mtahukumiwa kwa kunyongwa na wananchi wenye hasira! (sorry for these words-mnauzi sana..mnaposhindwa ku-appreciate umasikini wa watanzania wenzetu simply because you got vested interests in the ruling clique!). Kila kitu kitu mnakifanya politics za simba na yanga! <br />
<br />
And for your information, kuna tuliopanga foleni tukampa kura Kikwete....and regretably he has simply become a spectacular failure and disappointment. So usione wote tunamponda, Yes, Tunaomponda JK kwamba tunamchukia..its simply because the man HAS become a baggage he got no clue on what he should do as the Commander Inchief of our United Republic. <br />
<br />
Masanja