The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250

Asilimia kubwa ya wanasiasa ni wanafiki wanaoongea yale wasiyoweza kuyafanya na Chadema na Viongozi wake hawawezi kuwa tofauti, kama nisivyoshangazwa na Dr.Slaa kuchukua mshahara wa kiwango alichokuwa akikipinga, sintashangazwa pia na hili ata kidogo, hii ni tabia halisi ya wanasiasa wetu...
Simple

Kweli leo umepata wafuasi wengi wenye upeo mdogo wa kufikiria why chadena and not cuf,ccm,nccr,tlp? Hii habari niyakuandaliwa kwani ofisi ya bunge toka mwenzi wa nne walikuwa wanaandaa hii taharifa kuleta vyombo vya habari ila kwa uwezo wako mdogo wa kufikiria umeshindwa kutofautisha nini maana ya daftari ya mahudhurio na posho.
Go back to school.

Mh.Mbunge usilaumu bure mwanachi,cha msingi we tuambie posho mmechukua ama la,na kwa nini zito asisign nyie msaini.Je hizo implication za kutokusign zinamexcude Zito?NA KAMA HIZO FOMU HAZIKUANDALIWA KWA NINI HAMKUANDAMANA ZIANDALIWE?
Nakubaliana kabisa na kauli yako hii lakini kila kitu kina sehemu ya kuanzia na chama cha upinzani kinatakiwa kuziba mianya yote ya 'bad publicity'.Hata ukiangalia ofisi ya bunge imefanya mchezo wa kisiasa kutoa taarifa hii. Ilitaka Chadema waonekane kuwa wanafiki wakati wabunge wengi wa CCM wanapinga kuondolewa kwa posho za wabunge. That should be the issue na wala si unafiki wa Chadema. Sasa suala limegeuka kuwa Chadema badala ya kujiuliza ni kwa nini CCM inashikilia wapewe posho na kwamba hizo posho hazitoshi, ziongezwe.
Kweli leo umepata wafuasi wengi wenye upeo mdogo wa kufikiria why( chadena) and not cuf,ccm,nccr,tlp? Hii habari niyakuandaliwa kwani ofisi ya bunge toka( mwenzi) wa nne walikuwa wanaandaa hii( taharifa) kuleta vyombo vya habari ila kwa uwezo wako mdogo wa kufikiria umeshindwa kutofautisha nini maana ya daftari ya mahudhurio na posho.
Go back to school.[/QUOT
Chadena, Mwenzi, tahrifa! Mimi na wewe sijui nani wa kumwambia mwenzake aende shule! Shule za kata bana

Simple

1.iko kwenye ilani ya cdm

2.viongozi wetu wa cdm walikuwa wakijinadin bungen na kwenye media kwamba wasingechukua posho,watanzania wote wanajua hivyo nachek evidens ntakuanikia.

3.zitto wa cdm ameafanya kwa vitendo movement ya kutochukua posho.why not others(cdm-mps)walokuwa kwenye same movement?.

4.KIGEUGEU

Wanasiasa kigeugeu...chadema kigeugeu...,naye mbowe kigeuge..tundu lusu kigeugeu...mnyika kigeugeu....lema kigeugeu....wenjekigeugeu...chadema..unapomwamini mwanasiasa mwishowe anakugeukia.
Hiyo ni tafsiri yako na inaonesha usivyoelewa maana ya taarifa.Hata neno moja laweza kuwa taarifa hizo ni para mbili zinazojieleza.Tatizo lako unaitikadi mgando.mwandishi kasema taarifa kutoka ofisi ya bunge na si tetesi kama unavyotaka kupotosha.na taarifa imekamelika ukitaka kuikosoa tumia taarifa nyingine.pole sanaa nahisi hata hizo za kata haukupita coz hiyo ni kiswahili darasa la tatu

Simple

1.iko kwenye ilani ya cdm

2.viongozi wetu wa cdm walikuwa wakijinadin bungen na kwenye media kwamba wasingechukua posho,watanzania wote wanajua hivyo nachek evidens ntakuanikia.

3.zitto wa cdm ameafanya kwa vitendo movement ya kutochukua posho.why not others(cdm-mps)walokuwa kwenye same movement?.

4.KIGEUGEU
Lete uthibitisho wa Madai yako, huna Benchmark,sasa sie tukuamini vp,au unafikiri kila mtu anafikiri kwa Kutumia Makalio kama Wewe na Chama chenuHuo ndo mwisho wako wa kufikiri?we ni wale wa zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama wa namna hiyo hawako ccm hata cdm na kwingineko,.jibu hoja:unapinga posho kisha unaichukua,just use at least a standard one common sense utaona aina gan ya siasa tuliyonayo tanzania.

For some reason I just think Zitto is not serious or sincere with this and he is just trying to score some political popularity points.

Je wajua kwa nini wamezungumzia kitabu cha maudhurio kama evidence ila umejiuliza izo pesa zmekwenda wapi? Zito amekataa kuelekezwa ktk Account yake ila bunge likakataa then ikipita siku tatu bila kusaini daftari la maudhurio kinachofuata ni adhabu je Zitto kapewa adhabu? Kama wewe ni great thinker dadavua hoja yangu.