Barua ya wazi(Open letter) kwako Fredrick Bundala Skywalker

Kuna list ya watu natamani kusikia interview zao...
Madereva na wapishi wa Ikulu..
Wake za Marais..wake za waziri mkuu
Hasa Estér Sumaye....au Mrs Lowassa...
Wanasiasa kama Bulembo na Mzee Mkuchika...insiders kabisa....

Watoto wa Lowasa,Sumaye...etc...
Ni wazi sasa we jamaa unazeeka vibaya..
 
Afanye assignment zake sawa sawa kabla ya kuhoji watu wenye akili... asome na ajiandae kabla ya kuwahoji watu na history zao .. ile interview yake na Imam Abas ilimuanika sana.. mambo mengi ya Dsm na kuhusu background ya bongo fleva yanampiga chenga.. otherwise he good 👍
Kuna mambo kwenye industry ameyajua ukubwani alipokuja Dar akapewa fursa na Nancy sumari pale bongo5 hataki kukubali hajui kila kitu
 
Enzi hizo RFA ilikuwa moto wa kuotea mbaali Daah! Kweli kitu na enzi na nyakati ni ukuta hapa unamkuta Skywalker
Fredwaa
Rebeca Mulesi
Juma Baragaza
Tonton Zuberi
Deokaji makomba
Steve moyo Mchungi
Tom chilala
Egbert mkoko
Rahabu Fredy
Mtoto wa Mama sabuni et al
Dr Mkoko ni mkufunzi Udsm
Makomba yupo DW akireport kutokea Tansania
 
Mimi BabaMorgan ni miongoni mwa wafuasi wako kati ya wale wengi wanaopenda kile unachokifanya unapokuwa nyuma ya kipaza sauti(mic) uwezo wako ni masterpiece.

Nimefurahi sana kuanzishwa na kufanya vizuri kwa channel yako ya YouTube Simulizi na Sauti huu ni ushahidi tosha kuwa unafanya kazi nzuri ambayo imekubalika ndani na nje ya Tanzania.

Kipindi upo Radio Free Africa nilitamani sana kuona picha yako bahati mbaya haikuwezekana kutokana na teknolojia ya wakati huo unfortunately yakatokea yakutokea mkatoka RFA na huo ndio ulikuwa mwanzo wa RFA kupoteza mvuto. Ikapita miaka mingi bila ya kujua upo wapi na unafanya nini wengi tuliamini ndio mwisho wa kusikia sauti yako as you know ule msemo wa vizuri havidumu.

Mara paah nacheki TV nakutana na kipindi chako kinaitwa Chill na Sky what a surprise.. mtu ambaye nilikuwa na wish kumuona anafananaje namuona kwenye Televisheni akiwahoji watu maarufu tena katika ubora wa hali ya juu kwangu mimi ilikuwa moja kati ya siku zangu nzuri.

After that nikaanza kufuatilia kazi zako YouTube ndipo hapo nikakutana na channel yako Simulizi na Sauti channel ambayo ina contents zilizokwenda shule kuanzia zile za udaku, Elimu kupitia Fix you, interview za wasanii na wafanya biashara kimsingi unajua unachofanya by the way ile Interview na Mkunde Binti mdogo anayemiliki Hardware ilini inspire sana.

Before sijajua kama umerudi kwenye game nilikuwa na list yangu ya watangazaji ambao nilikuwa nawapenda kufuatilia show zao maana na wao wanafanya vizuri list ilikuwa hivi
1. Salama Jabir kipindi Salama na
2. Khaled Gangana kipindi nipe tano
3. Millard Ayo
Since nimenotice umerudi kwenye game na still unawasha moto kama zamani umeingia directly kwenye list ya watangazaji naowakubali hususani show zao.

Juzi kati nilikuona Posta ilibidi nisimame nikucheki tu nilitamani kuja kukupa hi na nikuombe japo hata selfie ila ilibidi nikaze kiume nipunguze shobo maana hata simu yenyewe ya selfie sina si unajua Itel tena Chama la wana.

Skywalker keep doing it brother unafanya kazi nzuri sana. Binafsi nitaendelea kuangalia kile unachofanya and if you don't mind Thursday ni Throw back ingependeza kama ungekuwa unatuletea interview za wasanii waliofanya vizuri zamani na mitikasi yao si unajua tena tushakuwa wahenga.

Mwisho nilipenda ulivyokiri kuwa ulikuwa na ndoto za kuja Dar es salaam hii dream tunashare maana na mimi kipindi nipo Namtumbo ulikuwa huniambii chochote kuhusu Dar es salaam.
Baada ya kuona husifiwi na hutambuliki popote na Watoto wadogo Wanakushinda umeamua uje hapa JamiiForums ujipakulie Minyama ( Ujisifu ) Kitoto na Kishamba hivi?

Shame on You.....!!
 
Daah maisha haya huyo mwamba Sky walker nimesoma nae school moja pale musoma technical High school zamani musoma alliance class la 2008 jamaa alikua kichwa tangu zamani. Akiwa Radio Victoria FM musoma alikua moto sana.
Ni kwamba alimaliza kidato gn mwaka huo
 
Enzi hizo RFA ilikuwa moto wa kuotea mbaali Daah! Kweli kitu na enzi na nyakati ni ukuta hapa unamkuta Skywalker
Fredwaa
Rebeca Mulesi
Juma Baragaza
Tonton Zuberi
Deokaji makomba
Steve moyo Mchungi
Tom chilala
Egbert mkoko
Rahabu Fredy
Mtoto wa Mama sabuni et al
Steve Moyo Mchongi #Ri.p Bro wetu huyu.
 
Wewe na idol wako karibuni Sana Dsm....DSM ni ya kila mtu...

Watangazaji Wengi wanakosea Sana kufanya interview na watu "official" only ..
Binafsi natamani kuona watangazaji wanawafanyia interview watu ambao sio official lakini walikuwepo "jikoni"..

Kuna list ya watu natamani kusikia interview zao...
Madereva na wapishi wa Ikulu..
Wake za Marais..wake za waziri mkuu
Hasa Estér Sumaye....au Mrs Lowassa...
Wanasiasa kama Bulembo na Mzee Mkuchika...insiders kabisa....

Watoto wa Lowasa,Sumaye...etc...

Interview ni kipaji cha ajabu ..Hadi Leo sijawahi furahia interview kama za Larry King na Yule muiingereza alikuwa Al-Jazeera...
azam tv kupitia chaneli yao ya UTV wana tv program inaitwa zumari. ni special kwa ajiri ya kuwafanyia mahojiano wastaafu waliolitumikia taifa ktk kada mbalimbali.
 
Nimefurahi kusikia Sky-Walker amerudi kwenye game. Naomba kuuliza tu, hivi Terrence Mwakalukwa yuko wapi siku hizi ?
Huyu mtu alikuwa na sauti ya pekee.l, alikuwa anaimba pia. Nimemsikiliza sana Clouds, Late night show.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom