Barua ya wazi kwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Hivi wakati unaweka ndani Masheikh wetu ulikuwa unafikiria nini?

Naona mmeanzisha mjadala wa udini sasa mnataka kuchafua hali ya hewa.
 
Hapo akili kichwani mwako,serikali imeandaa Ushaidi dhidi ya ugaidi wa mbowe, hila mpk viongozi wa dini ya kikristo wanapinga kuwa sio kweli kasingiziwa, hila angekuwa wa upande mwingine ungesikia wanavyofurahi kuwa hajaonewa.
Wacha ujinga wewe inakuwaje unafanya mizaha na imani za watu?
 
Case closed.....
 
Kwahiyo wewe umewaona mashehe tu ?

Hakuna watuhumiwa wengine walio ingia jela kabla ya mashehe lkn nado gerezani?
Hata mheshimiwa Mbowe nshaandika threads maalumu kumhusu ili aachiwe kwenye hii kesi yake ya Ugaidi.

Na nilivyofanya hivyo sikuulizwa na wewe au wajumbe wengine humu JF kuwa umemuona Mbowe tu, mbona wengine huwaandiki?
 
Mbowe hajamaliza hata miezi 4 gerezani.
Naongelea waliopo gerezani muda mrefu zaidi ya hao mashehe!
 
Ungeongelea mfumo mzima wa kiuchunguzi kuanzia polisi hadi uendeshaji wa mahakama kwa ujumla ungeungwa mkono.

Maana hapa nakuona unalaumu ulipo anguka kuliko kutafuta wapi ulijikwaa.
 
Siku utakayojifunza kushikamana na Mungu badala ya dini hautakuwa na lugha ya kuwagawa watu "makundi makundi". Utawatazama watu kwa usawa na haki.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nivile ujui usipelekwe na hisia tafuta habari za kina ila ni waarifu na kuwaachia ni makosa kwani ilitakiwa watolewe na mahakama ila naamini idara husika zinawaangalia kwa macho ya ziada.
 
Mbowe hajamaliza hata miezi 4 gerezani.
Naongelea waliopo gerezani muda mrefu zaidi ya hao mashehe!
Licha ya kuwa Mbowe ana miezi minne tu Jela tayari nshaadika mada kibao hapa JF za kutaka aachiwe huru, lakini nashangaa inapokuja kuhusu wale waliokaa jela miaka minane bila ushahidi wa kuwafunga unaona tabu sana nao tukiwaandalia mada kutaka waachiwe huru!. Vipi kwani una something personal kuhusu Waislamu au?

Kuhusu aina ya mada za kuanzisha, kila mwana JF ana haki ya kuanzisha mada, unaonaje ukaianzisha hiyo mada unayodhani inafaa?
 
Nimekuelewa ndugu yangu wacha niangalie nami ni jinsi gani ya kuwasemea hata wale wasiyo na mtetezi.
 
Watawala huwa wanapatwa na upofu wa akili pindi wapatapo madaraka .

Hutenda kwa uovu ili baadae wakiwa hawapo kwenye hatamu waandike vitabu "eti najutia kufanya hivi na vile .."

Wengine hutafuta sababu ya kujionyesha kwamba hawayumbishwi na misimamo yao hata kama ni ya kifedhuli.

Wanasiasa bhana huwa wanafurahisha sana
 
Hao walikua magaidi sio masheikh
 
Katika mtu mbaya na hatari kama Kikwete hakuna, mbele ya watu anajichekesha aonekane ni mwema lakini nyuma ya pazia yeye ndio Injinia mkuu wa mambo mengi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…