Jk alishasema Wanafunzi wa kike wanapata mimba kwa kiherehere chao na hao pia walikuwa ni wanafunzi?Walisingiziwa? Ushahidi wa picha mpaka za video ulitolewa mahakamani, walikuwa wanawala na kuwalawiti watoto wadogo wa shule za msingi. Hao ilikuwa wauliwe tu. Si wakuhurumiwa hata kidogo, fikiria wale watoto sasa hivi wanaojiita hizi nyuzi na waneshakuwa watu wazima. Roho zao zinawauma vipi wakikumbuka unyama waliofanyiwa kwa kudanganywa kwa chipsi na biskuti!
mshenzi mkubwa huyu, wakati unabaka watoto wa watu uliona sawa eeeee, tena mimi ningekuwa jk baada ya kupokea hii barua ningeamuru aongezewe adhabu ya viboko vi5 kila asubuhi. Pumbavuuuuuuuuuuuu
Mahakama zetu hazitendi haki na hii inajulikana hata yule mwenzako Zombe aliponea mahakamani wakati alikuwaNa wale mahakimu na mawakili wote unafikiri wana ujinga kiasi unachokionesha hapa? na wale watoto wote na waalimu na wazee wao waliokwenda kutowa ushahidi mahakamani nao wote wakutengenezwa?
Mambo mengine mnakuwa kama misukule hamuamini mahakama wala hata raia wenzenu basi hata watoto wadogo wasio na hatia nao hamuwaamini? tafadhali.
Salimaaaa! Uliniacha mimi...........Wimbo huu ulichangia s
ana kwani huyo salimaa ni yupi? Au ni salma jk. Hapo ndo maana tunasema mahakama zetu zinatumiwa na wakuu
Aombe msamaha kwanza kwa watoto waliowabaka na familia zao!!
Mahakama zetu hazitendi haki na hii inajulikana hata yule mwenzako Zombe aliponea mahakamani wakati alikuwa
![]()
Tumia busara wewe unajua aliyemchorea Kesi?
Nnae kuchekesha mie au Mbowe? umemsoma?
So painfull, sasa hii barua itamfikiaje JK?
So painfull, sasa hii barua itamfikiaje JK?
Du! kwani JK hajui kama kina papii hawakufanya makosa bai walisingiziwa kesi?............ Suala la kina papii linaniuma hadi kesho na milele sitampenda JK
Ni lazima abakie kule ili wavulana wawe salama.
hakuna asichojua,na kama ni msamaha wa raisi angekua amewapa zamani sana.