Barua ya Papii Kocha kwa JK

Barua ya Papii Kocha kwa JK

all in all hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.... and siku zote haki ya mtu haipotei ila huweza kucheleweshwa tuu
 
Mwandishi wa barua hii alikosa washauri....

Huwezi kuandika barua ya kuomba msamaha/msaada kama huo halafu kwenye barua hiyo hiyo unaplead not guilty...Na mbaya zaidi, anawatuhumu wenye mamlaka kwa kuwaangamiza...wakati huo anaomba msaada kwa mmoja wao wa wenye mamlaka...

Hili ni kosa la kiufundi na hii barua itatupwa kwenye dust bin kabla ya kufika kwa mlengwa....

Babu DC!!
 
mungu isaidie familia hii, naamini ipo siku utaonyesha uwepo na utukufu wako baba!
 
Mh inauma kweli , kama kuna mwenye kujua ukweli wa hii ishu hebu airushe hapa tupate kujua kilichojiri.
 
Hii barua ilikuja humu mwaka Jana na tukaijadili imerudi tena???Imepitwa na wakati barua moja miaka 2?
 
Mkuu nimeikarabati ili iweze kusomeka vizuri, samahani kama nitakukwaza kwa kuirekebisha.

Ila imenitoa machozi inasikitisha sana. Kijana aliandika akiwa na mazito moyoni mwake.

Kama ni kweli familia hii ilitenda "SODOMA HII SHIRIKISHI, MUNGU AWAWEKE UKONGA MILELE KAMA SIYO TUMWACHIE MUNGU", uwezo wa kuwatoa sisi binadamu wa kawaida hatuna isipokuwa Mh. Rais; kwa sasa ni Mh. Jakaya Mrisho Kikwete tu.
 
Mwandishi wa barua hii alikosa washauri....

Huwezi kuandika barua ya kuomba msamaha/msaada kama huo halafu kwenye barua hiyo hiyo unaplead not guilty...Na mbaya zaidi, anawatuhumu wenye mamlaka kwa kuwaangamiza...wakati huo anaomba msaada kwa mmoja wao wa wenye mamlaka...

Hili ni kosa la kiufundi na hii barua itatupwa kwenye dust bin kabla ya kufika kwa mlengwa....

Babu DC!!

Nakubaliana nawe DC especially hapo kwenye red
 
Ni lazima abakie kule ili wavulana wawe salama.
Andrew natumaini hujui kama hawa wanafamilia wamesingiziwa assume limetokea kwako na familia yako ingalikuwaje?Nimepitia majibu yako mengi unaonekana shabiki wa mtu au kundi flani,Ogopa mungu huku ipo.
 
Angalia unachoandika kaka. dunia ni duara. Hawa watu kesi yao ni ya utatanishi.


Sent via EyePhone
Hawa watu walifika hapa Msasani siku,walikuwa wanamtafuta Makongoro awasaidie. Mimi niliwaona wakati wanaondoka. Nikauliza,wale watu watu walifuata nini? Nilipoelezwa,nilkimbia kwenda nje,kuwatafuta,kutaka kuwasaidia[kwa kufikiria kwamba wale ni wanamuziki,na zamani nilikuwa nabugi sana],lakini walikuwa wameshaondoka. Haya yote nimeandika katika posting ya awali.
 
Hawa jamaa wanatia huruma. Ndo kwanza dogo alikua anatoka. Kwa barua hii mh sijui unahitaji moyo mgumu kama wa mwendawazimu kutoamini lakini uamuzi ni wa mtu mmoja. Yangu macho .
 
MF/NA: 836'04
Johnson Nguza (Papii Kocha)
Gereza Kuu Ukonga
S.L.P 9091
Dar es Salaam


Mh. Rais Jamuhuri ya Muungano Tanzania

YAH: MAOMBI YA KUPEWA MSAADA (MSAMAHA) WA KUFUTIWA ADHABU YA KIFUNGO NILIYOPEWA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU.

Husika na somo hilo hapo juu. Mimi ni mfungwa katika gereza kuu Ukonga. Kwa heshma na
taadhima na kwa kutambua utu na huruma yako ya KIMUNGU ulionayo dhidi ya binadamu
wenzako pamoja na mamlaka uliyokabidhiwa na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naanguka na kushika miguu yako mitukufu muheshimiwa Rais. Nakuomba msaada (msamaha) kwako muheshimiwa rais, kwa njia hii ya maandishi kusudi niweze kuondolewa adhabu ya kifungo cha maisha gerezani,niliyohukumiwa na mahakama tajwa hapo juu.

Mh.Rais mimi nimefungwa nikiwa bado kijana mwenye umri mdogo, na ukweli kutoka moyoni sikufanya kosa hilo. Si mimi, baba yangu Nguza wala ndugu yangu yeyote aliyefanya kitendo kile.
Lakini wenye mamlaka wakatuona tuna hatia na kuamua kuteketeza kizazi chetu gerezani.

Natamani kiama ifike ili mwenyezi Mungu aweke wazi ukweli wote uliojificha nyuma ya pazia. Mpaka sasa natambua wazi hatima pamoja na dhamana ya maisha yangu ipo katika mikono yako
mitukufu Mh. Rais Naomba huruma yako muheshimiwa Rais maana mimi ni mtoto wako ninaehitaji huruma yako wewe mzazi. Lakini pia sisi ni binadamu wenye nafsi na miili kama wengine.
Waliotumia mamlaka yao kutuweka gerezani nao ni binadamu pia, wenye miili na nafsi. Ipo siku nafsi zetu zitapaswa kutoa hesabu ya tuliyoyafanya hapa duniani. wakati huo miili yetu tunayoitumia kunyanyasa wanyonge itakuwa imeoza mavumbini. Natumaini kauli yako ya mwisho
ndio itakayoleta pumzi ya uhai nafsini mwangu.



Nakutakia kazi njema, afya njema na maisha marefu.

Mungu akubariki.
Wako mtiifu
Mfungwa NO:836'04
JOHNSON NGUZA (PAPII KOCHA)
 
Ili watoke jela waombe cdm ichukuwe nchi 2015.maana watanzania wanajua kuwa walifungwa kwa hujuma na hila mbaya ya m/magogoni. Mungu awalinde ili msipate maradhi. Iko siku mtatoka

Duh CDM itaruhusu ubakaji? Hongera zenu mtapata kura nyingi sana
 
KAMA HUKUWAHI KUISOMA BARUA YA PAPII KOCHA KWENDA KWA RAIS JAKAYA KIKWETE, KUPITIA KWA LADY JAY DEE HII HAPA >>>MF/NA: 836'04|Johnson Nguza (Papii Kocha)
Gereza Kuu Ukonga
S.L.P 9091
Dar es Salaam Mh. Rais Jamuhuri
ya Muungano

Tanzania YAH: MAOMBI YA KUPEWA MSAADA (MSAMAHA) WA KUFUTIWA ADHABU YA KIFUNGO NILIYOPEWA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU.

Husika na somo hilo hapo juu. Mimi ni mfungwa katika gereza kuu Ukonga. Kwa heshma na taadhima na kwa kutambua utu na huruma yako ya ki MUNGU ulionayo dhidi ya binadamu wenzako pamoja na mamlaka uliokabidhiwa na jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Naanguka na kushika miguu yako mitukufu muheshimiwa rais.

Na kuomba msaada (msamaha) kwako muheshimiwa rais Kwa njia hii ya maandishi kusudi niweze kuondolewa adhabu ya kifungo cha maisha gerezani, niliyohukumiwa na mahakama tajwa hapo juu. Mh.Rais mimi nimefungwa nikiwa bado kijana mwenye umri mdogo. Mpaka sasa natambua wazi hatima pamoja na dhamana ya maisha yangu ipo katika mikono yako mitukufu Mh. Rais.

Naomba huruma yako muheshimiwa Rais maana mimi ni mtoto wako ninaehitaji huruma yako wewe mzazi. Natumaini kauli yako ya mwisho ndio itakayoleta pumzi ya uhai nafsini mwangu Nakutakia kazi njema, afya njema na maisha marefu.

Mungu akubariki Wako mtiifu
NO:836'04 JOHNSON NGUZA
(PAPII KOCHA)



.........navyoona mimi kitu kikubwa kwa huyu jamaa kabla ya kuomba asamehewe ni kukiri kosa au kukanusha harafu ombi ndio lifuate au mnasemaje wana jamvi........
kama mungu atakupa uai mpaka 2015 usipokumbana na vitu vyenye ncha kali ombi lako litafanikiwa
 
Jk alishasema Wanafunzi wa kike wanapata mimba kwa kiherehere chao na hao pia walikuwa ni wanafunzi?

Huo Ushahidi hadi wa Video mmh! imamaana walikuwa wanatengeneza filamu? usikubali kuwa Shahidi wa Uongo Dini zinakataza... inavyosemekana wamesingiziwa na Yule mama aliyekuwa analiwa na Babu alishavuta kitambo jk angemuachia kwani wamekosa wote...

Babu seya akishirikiana na watoto wake wa kiume walikuwa wanawashawishi wale watoto wakati huo wako primary school kwa kuwapa vihela vidogo vya chipsi kisha kufanya nao mapenzi kwa njia zote yaani mbele na haja kubwa na kila aina ya uchafu yaani kwa lugha rahisi walikuwa kama wanacheza sinema za x . Na ilikuwa ni siri kubwa ndio maana hawakumshirikisha mtu yeyote wa nje. Walikuwa wanafanya wao wenyewe familia. Na kisha kuchukua au kurekodi na video camera na kwenda kuuza ulaya hasa ufaransa n kujipatia hela . As ilivyo babu seya ni mkongo na hana uchungu wowote na watoto wa hao. Na video hizo zilikutwa sokoni ufaransa na haikuwa ngumu kumtambua babu seya na wanae. Na video hizo ziliwaingizia hela nyingi sana . Na hata hao watoto walitambulika na walipopimwa hospital walikutwa wameshaharibiwa vibaya sehemu zao za siri na haja kubwa. Nalikumbuka hili tukio pale sinza baada ya kina babu seya walipokamatwa watu hasa wakina mama walilia sana kwa hasira walitaka wakichome moto kituo cha polisi. Washukuru polisi kutumia mabomu kwani wangeshauwawa na ingebaki historia sasa.
 
Babu seya akishirikiana na watoto wake wa kiume walikuwa wanawashawishi wale watoto wakati huo wako primary school kwa kuwapa vihela vidogo vya chipsi kisha kufanya nao mapenzi kwa njia zote yaani mbele na haja kubwa na kila aina ya uchafu yaani kwa lugha rahisi walikuwa kama wanacheza sinema za x . Na ilikuwa ni siri kubwa ndio maana hawakumshirikisha mtu yeyote wa nje. Walikuwa wanafanya wao wenyewe familia. Na kisha kuchukua au kurekodi na video camera na kwenda kuuza ulaya hasa ufaransa n kujipatia hela . As ilivyo babu seya ni mkongo na hana uchungu wowote na watoto wa hao. Na video hizo zilikutwa sokoni ufaransa na haikuwa ngumu kumtambua babu seya na wanae. Na video hizo ziliwaingizia hela nyingi sana . Na hata hao watoto walitambulika na walipopimwa hospital walikutwa wameshaharibiwa vibaya sehemu zao za siri na haja kubwa. Nalikumbuka hili tukio pale sinza baada ya kina babu seya walipokamatwa watu hasa wakina mama walilia sana kwa hasira walitaka wakichome moto kituo cha polisi. Washukuru polisi kutumia mabomu kwani wangeshauwawa na ingebaki historia sasa.

Huu bado ni Ushahidi wa Uongo elekeza wapi hizo picha zinapopatikana
 
Huu bado ni Ushahidi wa Uongo elekeza wapi hizo picha zinapopatikana

Hizo picha au cd za porno zilipatikana ufaransa . Na kwa kipindi kile kama huyo babu seya na wanawe wasingeokolewa na polisi wazazi, raia. Wa mtaa waliokuwa wanaishi wangewauwa . Je na hao raia nao walitunga hizo hasira
 
BARUA YA PAPII KOCHA
KWA RAIS
JAKAYA KIKWETE... KWA
WALE
AMBAO HAMJAISOMA HÍI
HAPA.
MF/NA: 836'04
Johnson Nguza
(Papii Kocha)
Gereza Kuu Ukonga
S.L.P 9091
Dar es Salaam
Mh. Rais Jamuhuri ya
Muungano
Tanzania
YAH: MAOMBI YA
KUPEWA MSAADA
(MSAMAHA) WA
KUFUTIWA ADHABU
YA KIFUNGO NILIYOPEWA NA MAHAKAMA YA HAKIMU
MKAZI
KISUTU.
Husika na somo hilo hapo
juu.
Mimi ni mfungwa katika
gereza
kuu Ukonga. Kwa heshma
na
taadhima na kwa
kutambua utu
na huruma yako ya
kiMUNGU
ulionayo dhidi ya
binadamu
wenzako pamoja na
mamlaka
uliokabidhiwa na Jamuhuri
ya
Muungano wa Tanzania.
Naanguka na kushika
miguu yako
mitukufu muheshimiwa
rais.
Nakuomba msaada
(msamaha)
kwako muheshimiwa
rais, kwa
njia hii ya maandishi
kusudi
niweze kuondolewa
adhabu ya
kifungo cha maisha
gerezani,niliyohukumiwa
na
mahakama tajwa hapo
juu.
Mh.Rais mimi
nimefungwa nikiwa
bado kijana mwenye umri
mdogo,
na ukweli kutoka moyoni
sikufanya kosa hilo. Si
mimi, baba
yangu Nguza wala ndugu
yangu
yeyote aliyefanya
kitendo kile.
Lakini wenye mamlaka
wakatuona tuna hatia na
kuamua
kuteketeza kizazi chetu
gerezani.
Natamani kiama ifike ili
mwenyezi
Mungu aweke wazi
ukweli wote
uliojificha nyuma ya pazia.
Mpaka
sasa natambua wazi
hatima
pamoja na dhamana ya
maisha
yangu ipo katika mikono
yako
mitukufu Mh. Rais
Naomba huruma yako
muheshimiwa Rais
maana mimi ni
mtoto wako ninaehitaji
huruma
yako wewe mzazi. Lakini
pia sisi
ni binadamu wenye nafsi
na miili
kama wengine.
Waliotumia mamlaka yao
kutuweka gerezani nao ni
binadamu pia, wenye miili
na
nafsi. Ipo siku nafsi zetu
zitapaswa kutoa hesabu
ya
tuliyoyafanya hapa
duniani.
wakati huo miili yetu
tunayoitumia
kunyanyasa
wanyonge itakuwa
imeoza
mavumbini.
Natumaini kauli yako ya
mwisho
ndio itakayoleta pumzi ya
uhai
nafsini mwangu.
Nakutakia kazi
njema, afya njema na
maisha
marefu.
Mungu akubariki.
Wako mtiifu
Mfungwa NO:836'04
JOHNSON
NGUZA (PAPII KOCHA)
 
Back
Top Bottom