IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
Aliowafanyia makosa ya kuwanajisi wapo. Aombe msamaha kwao na kwa Mungu wake. Sidhani kama raisi atakua na huruma na wanajisi wa watoto.( Paedophiles)
wale watt wa mapambano walipikwa wale. ule ni uongo mtakatifu acha tu. kama hujui zaid usitafute kujua lol!
Unaomba msamaha wakati hujatenda kosa?
Lakini hawa jamaa! Kuna jambo zito nyuma ya pazia!! Kweli familia nzima!
Unaomba msamaha wakati hujatenda kosa?
Ni mambo tu ya mademu!Lakini hawa jamaa! Kuna jambo zito nyuma ya pazia!! Kweli familia nzima!