Barua ya Papii Kocha kwa JK

Barua ya Papii Kocha kwa JK

Aaa!!!, mmenikumbusha mbali sana, hayayote yalisababishwa na uzinzi,Papii Kocha jikabidhi kwa Mungu, muliyekuwa mnamgombea wewe na JK. Amina Chifupa, alisha uawa, tena na mmewake nae wakamuua, inatia uchungu, ninachokuomba, wekamambo hadhalani

ngoja usikiwe....kucha vs meno+koleo.
 
Aaa!!!, mmenikumbusha mbali sana, hayayote yalisababishwa na uzinzi,Papii Kocha jikabidhi kwa Mungu, muliyekuwa mnamgombea wewe na JK. Amina Chifupa, alisha uawa, tena na mmewake nae wakamuua, inatia uchungu, ninachokuomba, wekamambo hadhalani

Hembu mwambie huyo muuza mwili Njiwa..na tabia zao za pwani za kula chabo, kuvuta hisi kwa kwenda chungulia wenzao na kusikiliza majambo yao, kusugulia nyeti kwa wanawake, kuingilia wapnagaji na uozo mwingine wa kulilia ngono...hayo ndiyo yanawapelekea fanya huu ujina....nni wimbo gani wa papii uliowafanya wajione kuwa si wanaume tena pamoja na mamlaka yao...?
 
Swali ni kuwa ni kesi ngapi zinaponyokwa? Hii imekuwa rahisi na straight!

Kuna wanawake wanabakwa kila kukicha na hukumu hazitokei wala nini. Judiciary system ya tanzania sio ya kuaminiwa hata kidogo. Na kesi ambayo ina utata kama hii inapaswa kuwa reviewed ili kujiridhisha.
Mkuu mengi huwa napishana na wewe ila kwa hili naungana na wewe mkono. mahakama ilithibitisha pasipo shaka yoyote kuwa hawa jamaa waliwalawiti watoto. Sijajua kwanini watu wanalichukulia hili jambo kisiasa?? Isitoshe hii makitu ilitokea hata kabla JK hajaingia madarakani.....

Swali kwa wanaopingana na hii hukumu... Ingekuwa ni watoto wao wamefanyiwa hivyo bado wangesema hii makitu ni ya kisiasa?? Tuache ushabiki kwenye mabo ya dhahiri.

Wanastahili kuwa hapo walipo kama kweli walifanya huo uhayawani!!
 
Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.

They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii

MKUU ishu haikuwa hivyo watu waliploti kilakitu ninani asie fahamu mahakama na wapelelezi ni vibalaka wa serikali na jk alihusika kwa kiasi kikubwa kuona vijana hawa wanafia gerezani but am sure they will be out one day,..
 
Kuponyokwa kwa kesi nyingine hakuifanyi kesi nyingine kuwa batili...... Tungelalamika kwanini kesi nyingine hazifanyiwi uharaka wa namna hii badala ya kuhangaika kulalama kuwa maamuzi ya kesi hii hayakuwa sahihi, labda kama kuna sababu za msingi zinazofanya tuamini kuwa maamuzi ya kesi hii hayakuwa halali.......... Mi sijaona kama kuna mashaka!

Nakumbuka hii kesi ishakuwa reviewed mara nyingi tu (nakumbuka wakili akiwa Marando) na kila mara jamaa wakiwa wanashindwa..... sijui lakini ila mpaka sasa naamini uamuzi wa mahakama ulikuwa sahihi.
 
Aaa!!!, mmenikumbusha mbali sana, hayayote yalisababishwa na uzinzi,Papii Kocha jikabidhi kwa Mungu, muliyekuwa mnamgombea wewe na JK. Amina Chifupa, alisha uawa, tena na mmewake nae wakamuua, inatia uchungu, ninachokuomba, wekamambo hadhalani
.....

kunamengi mkuu zaidi ya hayo na ilifikia kipindi walitambiana jk na dogo ....mzee akaamua kutumia mahakama kumpoteza
 
MKUU ishu haikuwa hivyo watu waliploti kilakitu ninani asie fahamu mahakama na wapelelezi ni vibalaka wa serikali na jk alihusika kwa kiasi kikubwa kuona vijana hawa wanafia gerezani but am sure they will be out one day,..
Mkuu una uthibitisho wowote??, mahakama ilikuwa huru na wazi uliwahi kwenda kutoa ushahidi labda ukakataliwa??
 
Nakumbuka hii kesi ishakuwa reviewed mara nyingi tu (nakumbuka wakili akiwa Marando) na kila mara jamaa wakiwa wanashindwa..... sijui lakini ila mpaka sasa naamini uamuzi wa mahakama ulikuwa sahihi.[/QUOTE]

kesi kuwa reviewed sio hoja hoja ni nani alitengeneza kesi na kuisimamia mkuu..is mr president
 
[/QUOTE]
kesi kuwa reviewed sio hoja hoja ni nani alitengeneza kesi na kuisimamia mkuu..is mr president[/QUOTE]

Mkuu, kumbukumbu yangu inaonyesha kuwa hii kesi Mr. Presidaa alikuwa bado hajawa president...... Jaribu kuvuta kumbukumbu zako vizuri.
 
Wewe Kikwete kama kweli huyu jamaa hajafanya kosa hili, hata kama mahakama ipo huru ; hii dhambi hutoiruka! Hiki kihunzi ni kirefu kwako mno. Lakini mda mwingine najiuliza ...... hivi Rais huwa ansikia fununu na dodoso za kitaa? au mambo yoote ya uswazi anapatia TBC au kimaandishi kwenye meza yake!
Shauri lake bhaana.
 
Mkuu mengi huwa napishana na wewe ila kwa hili naungana na wewe mkono. mahakama ilithibitisha pasipo shaka yoyote kuwa hawa jamaa waliwalawiti watoto. Sijajua kwanini watu wanalichukulia hili jambo kisiasa?? Isitoshe hii makitu ilitokea hata kabla JK hajaingia madarakani.....

Swali kwa wanaopingana na hii hukumu... Ingekuwa ni watoto wao wamefanyiwa hivyo bado wangesema hii makitu ni ya kisiasa?? Tuache ushabiki kwenye mabo ya dhahiri.

Wanastahili kuwa hapo walipo kama kweli walifanya huo uhayawani!!

Penye red: Naona hata wewe una mashaka pamoja na kusema kuwa mahakama ilithibitisha. Kunywa asprin kidogo.
 
Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.

They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii
Safi sana umepatia!!!!!!!!!! Vipi na yule mtoto wa jk aliyekamatwa china tafadhali elezea na hiyo kwa ufasaha
 
Mkuu mengi huwa napishana na wewe ila kwa hili naungana na wewe mkono. mahakama ilithibitisha pasipo shaka yoyote kuwa hawa jamaa waliwalawiti watoto. Sijajua kwanini watu wanalichukulia hili jambo kisiasa?? Isitoshe hii makitu ilitokea hata kabla JK hajaingia madarakani.....

Swali kwa wanaopingana na hii hukumu... Ingekuwa ni watoto wao wamefanyiwa hivyo bado wangesema hii makitu ni ya kisiasa?? Tuache ushabiki kwenye mabo ya dhahiri.

Wanastahili kuwa hapo walipo kama kweli walifanya huo uhayawani!!

Tukumbuke hata wazazi wa watoto hao walikataa watoto wao hawakulawitiwa na wengi wao walikuwa mabikira. Uzuri ni kuwa watoto hao wapo na siku moja kwa umoja wao watajitokeza kuusema ukweli wanaoujua. Bado kidogo hili litimie.
 
Mkuu una uthibitisho wowote??, mahakama ilikuwa huru na wazi uliwahi kwenda kutoa ushahidi labda ukakataliwa??

Mkuu inaonyesha una imani sana na mahakama zetu. hongera kwa hilo
 
There is a need for this case to be reviewed ili kuondoa uncertainity ya JK kuhusika na Papee kocha kugombea mke n.k,Vingenevyo kama wamewekewa zengwe tu ni dhambi kubwa sana na si dhani kama JK anaweza kuwa na Roho ngumu kiAsi hiki muumini mwenzangu!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.

They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii

Walio muua kombe mbona walisamehewa?
 
Wewe Kikwete kama kweli huyu jamaa hajafanya kosa hili, hata kama mahakama ipo huru ; hii dhambi hutoiruka! Hiki kihunzi ni kirefu kwako mno. Lakini mda mwingine najiuliza ...... hivi Rais huwa ansikia fununu na dodoso za kitaa? au mambo yoote ya uswazi anapatia TBC au kimaandishi kwenye meza yake!
Shauri lake bhaana.

Unajiuliza swali kama langu, huwa nadhani wanaompelekea stori za huku kitaa huwa wanampa zile tu ambazo wanajua atazipenda ili wasimpe stress na ndo maana jamaa huwa anajiona yuko sahihi, ngoja muda wake wa kupanga pale magogoni uishe aje kitaani aanze kupewa makavu laivu tuone kama ataishi nchi hii..
 
Ninachoamini mimi ni kuwa ni vigumu kwa baba na wanawe wawili kufanya kosa moja linalofanana kama lile. Pengine ni bahati mbaya tu iliyowakuta maishani mwao, Na ikiwa ni hadira ya mkubwa fulani badi ni vizuri wote wana jf tuungane kuwaonbea msamaha kupitia jukwaa hili.
 
Back
Top Bottom