Aaa!!!, mmenikumbusha mbali sana, hayayote yalisababishwa na uzinzi,Papii Kocha jikabidhi kwa Mungu, muliyekuwa mnamgombea wewe na JK. Amina Chifupa, alisha uawa, tena na mmewake nae wakamuua, inatia uchungu, ninachokuomba, wekamambo hadhalani

Mkuu mengi huwa napishana na wewe ila kwa hili naungana na wewe mkono. mahakama ilithibitisha pasipo shaka yoyote kuwa hawa jamaa waliwalawiti watoto. Sijajua kwanini watu wanalichukulia hili jambo kisiasa?? Isitoshe hii makitu ilitokea hata kabla JK hajaingia madarakani.....
Swali kwa wanaopingana na hii hukumu... Ingekuwa ni watoto wao wamefanyiwa hivyo bado wangesema hii makitu ni ya kisiasa?? Tuache ushabiki kwenye mabo ya dhahiri.
Wanastahili kuwa hapo walipo kama kweli walifanya huo uhayawani!!
hakuna walicho wakosea bali ni utawala wa kifalme na kibabe...na kujiona miungu watuhawa jamaa waliwakosea nini maCCM?
Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.
They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii
Kuponyokwa kwa kesi nyingine hakuifanyi kesi nyingine kuwa batili...... Tungelalamika kwanini kesi nyingine hazifanyiwi uharaka wa namna hii badala ya kuhangaika kulalama kuwa maamuzi ya kesi hii hayakuwa sahihi, labda kama kuna sababu za msingi zinazofanya tuamini kuwa maamuzi ya kesi hii hayakuwa halali.......... Mi sijaona kama kuna mashaka!Swali ni kuwa ni kesi ngapi zinaponyokwa? Hii imekuwa rahisi na straight!
Kuna wanawake wanabakwa kila kukicha na hukumu hazitokei wala nini. Judiciary system ya tanzania sio ya kuaminiwa hata kidogo. Na kesi ambayo ina utata kama hii inapaswa kuwa reviewed ili kujiridhisha.
.....Aaa!!!, mmenikumbusha mbali sana, hayayote yalisababishwa na uzinzi,Papii Kocha jikabidhi kwa Mungu, muliyekuwa mnamgombea wewe na JK. Amina Chifupa, alisha uawa, tena na mmewake nae wakamuua, inatia uchungu, ninachokuomba, wekamambo hadhalani
Mkuu una uthibitisho wowote??, mahakama ilikuwa huru na wazi uliwahi kwenda kutoa ushahidi labda ukakataliwa??MKUU ishu haikuwa hivyo watu waliploti kilakitu ninani asie fahamu mahakama na wapelelezi ni vibalaka wa serikali na jk alihusika kwa kiasi kikubwa kuona vijana hawa wanafia gerezani but am sure they will be out one day,..
Mkuu ushahidi unao au ndo yale mazungumzo ya Sinza Kijiweni????.....
kunamengi mkuu zaidi ya hayo na ilifikia kipindi walitambiana jk na dogo ....mzee akaamua kutumia mahakama kumpoteza
Mkuu mengi huwa napishana na wewe ila kwa hili naungana na wewe mkono. mahakama ilithibitisha pasipo shaka yoyote kuwa hawa jamaa waliwalawiti watoto. Sijajua kwanini watu wanalichukulia hili jambo kisiasa?? Isitoshe hii makitu ilitokea hata kabla JK hajaingia madarakani.....
Swali kwa wanaopingana na hii hukumu... Ingekuwa ni watoto wao wamefanyiwa hivyo bado wangesema hii makitu ni ya kisiasa?? Tuache ushabiki kwenye mabo ya dhahiri.
Wanastahili kuwa hapo walipo kama kweli walifanya huo uhayawani!!
Safi sana umepatia!!!!!!!!!! Vipi na yule mtoto wa jk aliyekamatwa china tafadhali elezea na hiyo kwa ufasahaWaliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.
They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii
Mkuu mengi huwa napishana na wewe ila kwa hili naungana na wewe mkono. mahakama ilithibitisha pasipo shaka yoyote kuwa hawa jamaa waliwalawiti watoto. Sijajua kwanini watu wanalichukulia hili jambo kisiasa?? Isitoshe hii makitu ilitokea hata kabla JK hajaingia madarakani.....
Swali kwa wanaopingana na hii hukumu... Ingekuwa ni watoto wao wamefanyiwa hivyo bado wangesema hii makitu ni ya kisiasa?? Tuache ushabiki kwenye mabo ya dhahiri.
Wanastahili kuwa hapo walipo kama kweli walifanya huo uhayawani!!
Mkuu una uthibitisho wowote??, mahakama ilikuwa huru na wazi uliwahi kwenda kutoa ushahidi labda ukakataliwa??
Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.
They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii
Wewe Kikwete kama kweli huyu jamaa hajafanya kosa hili, hata kama mahakama ipo huru ; hii dhambi hutoiruka! Hiki kihunzi ni kirefu kwako mno. Lakini mda mwingine najiuliza ...... hivi Rais huwa ansikia fununu na dodoso za kitaa? au mambo yoote ya uswazi anapatia TBC au kimaandishi kwenye meza yake!
Shauri lake bhaana.