Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Makosa ya ubakaji na madawa ya kulevya rightfully IMHO hayapo ktk hiyo provision ya msamaha Rais wa JMT. Hata hivo sioni hasa mantiki ya sheria hii, kwa maana kwamba kodi ya wananchi inaeza kuendesha kesi ktk mahakama halali halafu mtu anaamka tu kwa sababu yeye ni Rais basi anafuta ile adhabu, hii ni aina nyingine ya ujuha. My assumption ni kua body za parole ndio zinamshauri Rais ni nani apewe msamaha, na sio huu mfumo wa top-down ambao hawa wacongoman wanajaribu kucheza na dola. Kama wanajua zaidi ya yale tunayoambiwa ni kheri wayaseme upenuni ili dunia ijue badala ya hizi sarakasi. Tz ni ya watz sio JK.Katiba inamruhusu RAIS wa nchi kumpunguzia au kumfutia MTU yoyote adhabu aliyopwea na mahakama......