kaka muda wa KUKURI uliishia mahakamani, kwa sasa anachoomba ni msamaha tu, mambo ya alifanya, alisingiziwa hayasadii maana kashahukumiwa maisha na sheria za nchi.Mimi bado kabisa kwa huyu kijana
Kwanza angetakiwa KUKIRI AU KUKANUSHA KOSA halafu ndiyo aombe msamaha (Kwetu Wakiristo tunaongozwa kufanywa hivyo)
Pili ameniudhi sana kumpatia binadamu mwezake SIFA YA KI-MUNGU. Eti JK na utu na huruma ya ki-MUNGU!! This is a blatant blasphemy at least kwetu Wakiristo
ningekuwa mimi sina haja na jamaa aliyegawiwa bila shuruti, mimi na-deal na huyu wa kwangu aliyegawa tunda (uroda) ninalolimiliki ki-sheria (ndoa).Huo ndo uchungu wa mke wa mtu ingekua mimi ningeua kabisa me cpendi sana watu wanaomendea wake za watu ila JK amuonee huruma huyo kijana maana hausiki kwa upande mwingine. Mtizamo tu jemeni
kuna meingi sana chini ya Capet.
Huo ndo uchungu wa mke wa mtu ingekua mimi ningeua kabisa me cpendi sana watu wanaomendea wake za watu ila JK amuonee huruma huyo kijana maana hausiki kwa upande mwingine. Mtizamo tu jemeni
ningekuwa mimi sina haja na jamaa aliyegawiwa bila shuruti, mimi na-deal na huyu wa kwangu aliyegawa tunda (uroda) ninalolimiliki ki-sheria (ndoa).
BARUA YA PAPII KOCHA
KWA RAIS
JAKAYA KIKWETE... KWA
WALE
AMBAO HAMJAISOMA HÍI
HAPA.
MF/NA: 836'04
Johnson Nguza
(Papii Kocha)
Gereza Kuu Ukonga
S.L.P 9091
Dar es Salaam
Mh. Rais Jamuhuri ya
Muungano
Tanzania
YAH: MAOMBI YA
KUPEWA MSAADA
(MSAMAHA) WA
KUFUTIWA ADHABU
YA KIFUNGO NILIYOPEWA NA MAHAKAMA YA HAKIMU
MKAZI
KISUTU.
Husika na somo hilo hapo
juu.
Mimi ni mfungwa katika
gereza
kuu Ukonga. Kwa heshma
na
taadhima na kwa
kutambua utu
na huruma yako ya
kiMUNGU
ulionayo dhidi ya
binadamu
wenzako pamoja na
mamlaka
uliokabidhiwa na Jamuhuri
ya
Muungano wa Tanzania.
Naanguka na kushika
miguu yako
mitukufu muheshimiwa
rais.
Nakuomba msaada
(msamaha)
kwako muheshimiwa
rais, kwa
njia hii ya maandishi
kusudi
niweze kuondolewa
adhabu ya
kifungo cha maisha
gerezani,niliyohukumiwa
na
mahakama tajwa hapo
juu.
Mh.Rais mimi
nimefungwa nikiwa
bado kijana mwenye umri
mdogo,
na ukweli kutoka moyoni
sikufanya kosa hilo. Si
mimi, baba
yangu Nguza wala ndugu
yangu
yeyote aliyefanya
kitendo kile.
Lakini wenye mamlaka
wakatuona tuna hatia na
kuamua
kuteketeza kizazi chetu
gerezani.
Natamani kiama ifike ili
mwenyezi
Mungu aweke wazi
ukweli wote
uliojificha nyuma ya pazia.
Mpaka
sasa natambua wazi
hatima
pamoja na dhamana ya
maisha
yangu ipo katika mikono
yako
mitukufu Mh. Rais
Naomba huruma yako
muheshimiwa Rais
maana mimi ni
mtoto wako ninaehitaji
huruma
yako wewe mzazi. Lakini
pia sisi
ni binadamu wenye nafsi
na miili
kama wengine.
Waliotumia mamlaka yao
kutuweka gerezani nao ni
binadamu pia, wenye miili
na
nafsi. Ipo siku nafsi zetu
zitapaswa kutoa hesabu
ya
tuliyoyafanya hapa
duniani.
wakati huo miili yetu
tunayoitumia
kunyanyasa
wanyonge itakuwa
imeoza
mavumbini.
Natumaini kauli yako ya
mwisho
ndio itakayoleta pumzi ya
uhai
nafsini mwangu.
Nakutakia kazi
njema, afya njema na
maisha
marefu.
Mungu akubariki.
Wako mtiifu
Mfungwa NO:836'04
JOHNSON
NGUZA (PAPII KOCHA)
Muomba chumvi anaombea chunguche
Naomba kujua huyu aliyetoa tunda ni nani??(mama......):confused2:
Wakati unabaka watoto wa watu uliona sawa eeeee, tena mimi ningekuwa JK baada ya kupokea hii barua ningeamuru aongezewe adhabu ya viboko vi5 kila asubuhi. Pumbavuuuuuuuuuuuu
Babu seya akishirikiana na watoto wake wa kiume walikuwa wanawashawishi wale watoto wakati huo wako primary school kwa kuwapa vihela vidogo vya chipsi kisha kufanya nao mapenzi kwa njia zote yaani mbele na haja kubwa na kila aina ya uchafu yaani kwa lugha rahisi walikuwa kama wanacheza sinema za x . Na ilikuwa ni siri kubwa ndio maana hawakumshirikisha mtu yeyote wa nje. Walikuwa wanafanya wao wenyewe familia. Na kisha kuchukua au kurekodi na video camera na kwenda kuuza ulaya hasa ufaransa n kujipatia hela . As ilivyo babu seya ni mkongo na hana uchungu wowote na watoto wa hao. Na video hizo zilikutwa sokoni ufaransa na haikuwa ngumu kumtambua babu seya na wanae. Na video hizo ziliwaingizia hela nyingi sana . Na hata hao watoto walitambulika na walipopimwa hospital walikutwa wameshaharibiwa vibaya sehemu zao za siri na haja kubwa. Nalikumbuka hili tukio pale sinza baada ya kina babu seya walipokamatwa watu hasa wakina mama walilia sana kwa hasira walitaka wakichome moto kituo cha polisi. Washukuru polisi kutumia mabomu kwani wangeshauwawa na ingebaki historia sasa.