Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Makosa ya ubakaji na madawa ya kulevya rightfully IMHO hayapo ktk hiyo provision ya msamaha Rais wa JMT. Hata hivo sioni hasa mantiki ya sheria hii, kwa maana kwamba kodi ya wananchi inaeza kuendesha kesi ktk mahakama halali halafu mtu anaamka tu kwa sababu yeye ni Rais basi anafuta ile adhabu, hii ni aina nyingine ya ujuha. My assumption ni kua body za parole ndio zinamshauri Rais ni nani apewe msamaha, na sio huu mfumo wa top-down ambao hawa wacongoman wanajaribu kucheza na dola. Kama wanajua zaidi ya yale tunayoambiwa ni kheri wayaseme upenuni ili dunia ijue badala ya hizi sarakasi. Tz ni ya watz sio JK.Katiba inamruhusu RAIS wa nchi kumpunguzia au kumfutia MTU yoyote adhabu aliyopwea na mahakama......
Haka kamchezo kalichezwa na muheshimiwa mwenyewe kutaka kukomoa kina Papii. Mungu yupo lakini!
Babu seya akishirikiana na watoto wake wa kiume walikuwa wanawashawishi wale watoto wakati huo wako primary school kwa kuwapa vihela vidogo vya chipsi kisha kufanya nao mapenzi kwa njia zote yaani mbele na haja kubwa na kila aina ya uchafu yaani kwa lugha rahisi walikuwa kama wanacheza sinema za x . Na ilikuwa ni siri kubwa ndio maana hawakumshirikisha mtu yeyote wa nje. Walikuwa wanafanya wao wenyewe familia. Na kisha kuchukua au kurekodi na video camera na kwenda kuuza ulaya hasa ufaransa n kujipatia hela . As ilivyo babu seya ni mkongo na hana uchungu wowote na watoto wa hao. Na video hizo zilikutwa sokoni ufaransa na haikuwa ngumu kumtambua babu seya na wanae. Na video hizo ziliwaingizia hela nyingi sana . Na hata hao watoto walitambulika na walipopimwa hospital walikutwa wameshaharibiwa vibaya sehemu zao za siri na haja kubwa. Nalikumbuka hili tukio pale sinza baada ya kina babu seya walipokamatwa watu hasa wakina mama walilia sana kwa hasira walitaka wakichome moto kituo cha polisi. Washukuru polisi kutumia mabomu kwani wangeshauwawa na ingebaki historia sasa.
all in all hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.... and siku zote haki ya mtu haipotei ila huweza kucheleweshwa tuu
maneno mazito kwa mzazi, kweli kesi hii inatakiwa kuangaliwa upya, kweli baba na watoto wanaweza kufanya unyama kwa ushirikiano? Mh jk please naumba uiangalie hii kesi upya au wape msamaha hii familia.
hawa jamaa waliwakosea nini maCCM?
Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.
They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii
Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.
They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii
Mkuu mengi huwa napishana na wewe ila kwa hili naungana na wewe mkono. mahakama ilithibitisha pasipo shaka yoyote kuwa hawa jamaa waliwalawiti watoto. Sijajua kwanini watu wanalichukulia hili jambo kisiasa?? Isitoshe hii makitu ilitokea hata kabla JK hajaingia madarakani.....Waliwarubuni watoto wa chini ya miaka sita na kuwaingilia kimwili.. uchunguzi wa ki sayansi ukatoa positive answers ikiwa pamoja na manii yao kukutwa sehemu za siri ZA HAo watoto.
They belong there.. msamaha hauwahusu watu wa aina hii