Barua ya Papii Kocha kwa JK

kaka muda wa KUKURI uliishia mahakamani, kwa sasa anachoomba ni msamaha tu, mambo ya alifanya, alisingiziwa hayasadii maana kashahukumiwa maisha na sheria za nchi.
 
Huo ndo uchungu wa mke wa mtu ingekua mimi ningeua kabisa me cpendi sana watu wanaomendea wake za watu ila JK amuonee huruma huyo kijana maana hausiki kwa upande mwingine. Mtizamo tu jemeni
ningekuwa mimi sina haja na jamaa aliyegawiwa bila shuruti, mimi na-deal na huyu wa kwangu aliyegawa tunda (uroda) ninalolimiliki ki-sheria (ndoa).
 
Dah, nimetafuta nyimbo za huyo mzee na mwanae, nimegundua tumepoteza sehemu muhimu sana ya burudani..!!! To God be glory!!
 
Huo ndo uchungu wa mke wa mtu ingekua mimi ningeua kabisa me cpendi sana watu wanaomendea wake za watu ila JK amuonee huruma huyo kijana maana hausiki kwa upande mwingine. Mtizamo tu jemeni

ningekuwa mimi sina haja na jamaa aliyegawiwa bila shuruti, mimi na-deal na huyu wa kwangu aliyegawa tunda (uroda) ninalolimiliki ki-sheria (ndoa).


Naomba kujua huyu aliyetoa tunda ni nani??(mama......):confused2:
 
Mungu asimame katikati ili ombi lako litekelezwe na JK,japo nachelewa kuamini kua ulitenda hilo tendo,inauma sana kusingziwa
 
Kikatiba amlaka ya raisi inaishia kusamehe kwa wafungwa waliopatikana na makosa yapi?? Au ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa mfungwa wa makosa yeyote tuu?? Katiba yetu ibara 45 imempa madaraka makubwa sana rais.....sehemu hii inahitaji marekebisho......nawashauri hata wakipewa msamaha wafanye kama Mh Rage .....yeye pamoja na msamaha aliopata lakini bado akaendelea na rufaa yake.....
 
Mimi kifungo cha maisha au kunyongwa, nitatafuta means yoyote ya kutoroka. Kila kukicha nitakuwa nasoma ramani
 
Jaman mwenye A to Z aweke full story na ambao hatujui tuelewe huu unyama wa unyanyasi wa kufutumia madara/kulawiti na kubaka
A:Mwenye hoja ya kukubali hawa jamaa kuwepo ndani atueleze Je! Ushaidi ulikuwaje au mahakama ilijiridhisha vip?

B: kuwa hawa jamaa walihukumiwa ki pirato (afunguliwe balaba wafungwe wao) nae atueleze kisa ni nini au chanzo
cha hawa watu! Maana hapa nimekuwa nikisikia uvumi tu tangu sipati habar kamili mara ooh sijui salima, wangne walitembea na demu wa mkuu wa kaya n.k!
Maana hasa hiku kipengele B: kimekuwa kikivuma chinchin tangu miaka ya nyuma na kwann kivume sana kwa masupaster na wanasiasa wangap wamefungwa hawavumi chinichn kana kwamba kuna kitu nyuma ya pazia why iwe papii na wenzie?? Nisaidieni kutoa utata huu na kwa faida ya wengine!!
 

mwandikiwa ukweli anaujua
 
Mabere Marando na Mch.Mtikila watakuwa na ABC, coz kuna wakati walijaribu kuwatetea hawa jamaa!
Kuna mengi yapo yuma ya pazia...
 
Naomba kujua huyu aliyetoa tunda ni nani??(mama......):confused2:

Jamaa mmoja alimfumania mkewe, kwa mshangao wa wengi akampiga mke wake risasi na kumuua na kumuacha jamaa. Watu walimuuliza kwa kamuua mkewe na kumuacha jamaa, akajibu nisingemuondoa huyu mwanamke ningeuwa wanaume wengi sana.
 
Rais... Miguu yake mitukufu? Mikono yake mitukufu? Kha!

Mi nafikiri UTUKUFU ni wa MUNGU pekee.
 
Hongera Jaji naona unakazia hukumu sio? lakin hoja ya msingi hii kesi ilikuwa ina walakini kidogo, maana nakumbuka hauka jirani aliyetoa ushahidi, ni mwali tu ndio alikuwa shahidi mkuu, nadhani hata watot waliosemekana kubakwa wapo waliokataa kuwaona hao watot wa nguza, walisema wanawafahamu kwa kuwaona kwenye TV! .......fikirila kabla ya kuchangia

Wakati unabaka watoto wa watu uliona sawa eeeee, tena mimi ningekuwa JK baada ya kupokea hii barua ningeamuru aongezewe adhabu ya viboko vi5 kila asubuhi. Pumbavuuuuuuuuuuuu
 

Katika Biblia Takatifu tunajifunza juu ya Amri Kumi Za Mungu
1. Usiabudu miungu wengine ila Mimi Tu
2.,3., 4., 5., 6., 7.,

8. Usitoe ushahidi wa UONGO (Usiseme Uongo)
9., 9., 10.

Amri ya NANE ni YAKO MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…