Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Lete fact!
 
Tutaaminije ulichoandika kama ni kweli ?
 
Nchimbi hajaandika barua yoyote ya KUJIUZULU
Nchimbi sio Kilaza, anajua vizuri umafia wa nchi hii, angekua kaamdika hiyo barua ndefu kwa u smart wake kabla haijaenda public kupitia serikali ingekua tayari iko sehemu zingine credible kwa lolote litakalo tokea

Nchimbi aliwekwa kizuizini akaondolewa access ya mawasiliano kisha wasiojulikana wakaandika kwenye Insta yake akiwa kizuizini

Kwa sasa wanamsikilizia kama atapoa kama Ndugai wamuachie aendelee na marupu rupu yake kama Makamu mstaafu…….. akikomaa atakuja kuibukia mahakamaniiiii kwa kesi ya uhasi kama sio uhaini

Hii nchi ya kimama sana aiseeee
 
Mm kwa ufahamu wa kawaida ,ukiniambia nchibi aliandika barua nakataa mpaka dakika ya mwisho
Ni KIONGOZI wa juu ,ana umri mkubwa ,ana udhoefu ndani ya serikali ,ana connection ya kutosha ingawa buck up pia ipo ingawa syo lahisi kuifahamu kwa sababu ya mifumo iliyo
A .aliwezaje kuandika barua akiwa ndani ya nchi huku akijua what next ?
B. Now yupo wapi lejea Maneno ya warioba you get something
Nchibi alicheza draft nzuri ila dakika za mwisho mambo yalienda

Mm nasubr Taarifa kwa umma mkuu wa idara nyet out if out .kama itakuwa ndyo nitaunganisha dot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…