Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,475
- Thread starter
-
- #101
MabuggatiJamaa wapo vzr sn..
,sijawahi kuona passo wala crown..wala gari ya kijapan yeyote.
Hapa ni .
JEEP.
FORD.
GCM.
RENAULT.
LAND ROVER..
halafu left handed driving country..
Jamaa wapo powa sn...
🙏🙏pamoja mkuumzee shukran kwa post kama hizi
Inaweza ikawa ni hapa..hawa jamaa ni matajiri haswa...Mabuggati
Hivi ile nchi walikuwa wanatupa magari ilikuwa ni UEA ...nadhani
Naona maAUDi makali makali yanakuwa disposed[emoji1787][emoji1787]
Kila unayemuona na baibui na ushungi..ukiwa huku kugegeda sahau..watoto wazuri vipi?? hamna ubaguzi?
🤣🤣🤣🤣Kila unayemuona na baibui na ushungi..ukiwa huku kugegeda sahau..
Aisee tupe connection mkuuInaweza ikawa ni hapa..hawa jamaa ni matajiri haswa...
UAE ndy kumejaa magari ya kijapan.
mazuzu kama nyie hamkosagiHakuna la kujifunza hapo. Useless post
Sudan mpaka sasa mtu mweusi anaonekana kama mtumwa.Nenda hapo sudan leo hii. Utake kuoa mwarabu utapata jibu lake. Waarabu ni mashetan mkuu. Nimezunguka sana nchi zao sio watu wale.
Si aliniambukiza baba'ko au umesahau?mazuzu kama nyie hamkosagi
Haki gani unayoizungumzia wewe mtu?Mpaka ilifikia akaijuwa haki na akasilimu, huyo anajitambua. Je huyo Dr king!!!!
Mimi nakiri ya kuwa baadhi ya waarabu ni wabaguzi na si ubaguzi tu lakini wana mengi sana zaidi ya ubaguzi, ila malcom hakuwafuata waarabu kule makkah, bali alikwenda kwa ajili ya ibada ya hijja ambayo ni nguzo katika uislam,yale aliyokutana nayo kule ndiyo yaliyomshangaza, hakutarajia kukuta watu wa race tofauti wakishirikiana katika jambo moja kwa upendo na udugu na hilo lilitokea baada ya yeye kuwa muislam.Waarabu nao pia ni wabaguzi tu...hz n propaganda tu. Ni ndugu zetu wangapi hasa wadada wanaokwenda huko kufanya kazi za ndan kisha wakaanza kunyanyaswa kingono ? Hv kwann sisi ngozi nyeusi tunapenda kuwatukuza ngozi nyeupe
Tabia ya watu binafsi? utetezi wa kijinga tu huu kama ingekuwa binafsi hao weusi wangekuwapo huko hata kwa idadi ndogo lkn siyo kuisha wote.Ubaguz upo na ni tabia watu wabinafsi na roho mbaya ila kweny Uislam hamna kitu kama hicho ndo maana anaeleza hivo.
msabila acha mzaha.Wewe ndiyo utuambie kuwa kunawatumwa walipelekwa uarabuni lini!
Haki gani unayoizungumzia wewe mtu?
AiseeeMimi nakiri ya kuwa baadhi ya waarabu ni wabaguzi na si ubaguzi tu lakini wana mengi sana zaidi ya ubaguzi, ila malcom hakuwafuata waarabu kule makkah, bali alikwenda kwa ajili ya ibada ya hijja ambayo ni nguzo katika uislam,yale aliyokutana nayo kule ndiyo yaliyomshangaza, hakutarajia kukuta watu wa race tofauti wakishirikiana katika jambo moja kwa upendo na udugu na hilo lilitokea baada ya yeye kuwa muislam.
Kuna uislam na waislam.
😉Njia sahihi/Uislamu
aiseeeSudan mpaka sasa mtu mweusi anaonekana kama mtumwa.
🤣🤣🤣mazuzu kama nyie hamkosagi