Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia

Kwanza usiniite mdogo wako maana haujui umri wangu sahihi.

Pili jaribu kuheshimu mchango wa Malcom x katika kupigania watu weusi akiwemo ww hapo mpaka kufikia hatua ya kugharimu Manisha yake.

Tatu ww unakataa eti hauna chuki dhidi ya waislamu, lakini unajulikana sana hapa jf kwa kuharibu nyuzi za watu kwa post zako za udini na mara zote ni za kuwa shambulia waislamu na dini yao hata kama uzi hauhusiani na dini.

Jifunze kupunguza chuki maana ya hakika ya chuki ni upumbavu ulio vuka mipaka.

Dunia ya sasa tuna tegemeana sana maana ukienda hospital kutibiwa utatibiwa na daktari mwenye taaruma ya huo ugonjwa wako na si yule mnaye fuata imani moja.
Ukiwa na biashara yeyote tambua unahitaji wateja wote bila kujari imani zao ili biashara yako iendelee kuwepo.
 
Hivi lengo mama la hiyo dini ni nini mbona inaonekana iki hustle sana kupata waumini ambao ni eidha maarufu au wana ushawishi?

Sio watu maarufu tu! Bali yeyote yule wakiwemo na vingozi mbali mbali wa makanisa. Refer Imani petro,

Mwaka 1991, Estes alikuwa Muislam wakati alipotaka kumbadili Muislamu wa Misri kutoka katika Uislamu kuwa mkristo. Mkewe, baba yake, watoto na mama mkwe nao wakabadili dini kuwa Waislamu. Maelfu ya watu kusilimu yamesababishwa naye kwa nguvu za Mungu na ilishatokea aliweza kusilimisha watu wapatao 135 kwa mkupuo mmoja.
Nimesoma darasani katika elimu ya sekondari.
Umefanikiwa kupata elimu angalau ya kidato cha nne?

Hizo ni Propaganda za western dhidi ya waarabu. Nanyi wamewapata kweli kweli, mlivyo wepesi wa kuamini 😁 sasa mpaka watoto, wajukuu na vitukuu vyenu mmevipandikiza chuki dhidi ya waarabu. Lakini ukweli unajulikana.
 
Nenda hapo sudan leo hii. Utake kuoa mwarabu utapata jibu lake. Waarabu ni mashetan mkuu. Nimezunguka sana nchi zao sio watu wale.

Kwanza unakosea sana kuwaita mashetani, je walikufanya nini mpaka uwaite hivyo mkuu?

Swala la kuolewa usiende mbali hata hapa kwetu wanabaguana, mhaya kuolewa na msukuma, mchagga kwa mnyakyusa, mzaramo kwa mkurya, hata kama wapo but wachache mno.

kila mtu na hiari yake bwana, huwezi eti kuichukia jamii kisa mtu flani kagoma kuolewanae. huo ni ulimbukeni.
 

Mimi kama muislamu nisiwe mnafiki wakuogopaogopa, na lazima niwe upande wao waarabu kwa hali yoyote ile napoona wanasemwa vibaya nami nipige kimya itakuwa sio vyema, nawapenda sana hawa ndugu zangu. Kwa maana nikiwachukia ilhali mimi ni muislamu mwenzao na Mtume wetu rehma na amani ziwe juu yake alikuwa ni mwarabu. Hivyo nikiwasema vibaya na kuwachukia waarabu kanakwamba nitakuwa nimemlenga pia Mtume Muhammad S.A.W. Sikatai Wapo baazi ya waislamu humu na hata nje ya jamiiforum wakiwachukia waarabu kwa kufuata upepo wenu enyi wagalatia, waislamu hawa wapo wapo tuu ilimradi mtu anaitwa mohamedi, salum lakini sio waumini wa kweli ila ni waislamu.



Mohamedy cadinaly
 
Kwa hiyo kama wao pia waliwafanyia binadamu wengine maovu wasisimwe kwa sababu ni ndugu zako na Mtume wako ametoka kwao? Unaelewa unachoandika au unaandika ilimradi tu!
Halafu kumchukia au kumhusudu mtu yeyote kwa sababu ya rangi ya ngozi yake ni wendawazimu kama wendawazimu mwingine wowote duniani.
 

Je una ushahidi gani unaoonyesha wakifanya unyama huo? Kama wewe ni kidume kweli, weka ushahidi hapa acha bla bla
 
Malkom anajitekenya halafu hacheki. Afufuke aje aone ndugu zetu wanavyifanywa huko Arabuni. Au apewe kitabu cha historia ya utumwa atawaheshimu hao wazungu ambao waliruhusu weusi kuzaa na binti zao. Arabuni ilikuwa tofauti
 
Asante kwa mchango
 
Malkom anajitekenya halafu hacheki. Afufuke aje aone ndugu zetu wanavyifanywa huko Arabuni. Au apewe kitabu cha historia ya utumwa atawaheshimu hao wazungu ambao waliruhusu weusi kuzaa na binti zao. Arabuni ilikuwa tofauti
Malcom hajamsifia mwarabu lakini kumbuka...
 
Ndo maana Martin Luther King anabaki kuwa mtu muhimu Sana American.

Usiniulize Ni kwanini Rudi kuisoma hio barua utaelewa tu[emoji849]
 
Aisee!
 
ntaitafuta hiyo
 
maisha ya saudia vipi huko baharia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…