Barua ya kiingereza kutoka Polisi Makao Makuu, imelia

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395
Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi.
Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu.

Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4

Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho ya nchi ilipo, bora wangeandika kwa kiswahili tu hii ni aibu kabisa.

Nalia mimi baba yenu.

TANPOL20250912.jpg
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaa
Haaaaaaaaaaaaaaaaaa
Vipi mzee wangu Ayatollah achana na colonial mindset kukosea lugha zo jambo la kushangaza kikubwa ni je content imemfikia mlaji?
Prezudaa ni nani kwa sasa hapo Magogoni?
Pm je ni nani hapo Dom?
Au ni Habili?
 
Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi.
Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu.

Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4

Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho ya nchi ilipo, bora wangeandika kwa kiswahili tu hii ni aibu kabisa.

Nalia mimi baba yenu.

View attachment 3513981
ok
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hamna Bana hii itakuwa AI....
 
Misimu atakuja kukanusha
 
Back
Top Bottom