Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

Siasa ni utaalamu wa juu katika medani ya Fitna, sasa kumlaumu JK kwa kumkaanga Malima mnakuwa hamuijui siasa inavyochezwa!

Jk Sungura Sungura sana na Kama JPM anamuombaga ushauri Jk Basi awe anaukoboa sana maana Mkwere anaweza akamtumbukiza Mwenzie kwny Mtaro Dakika sifuri tu

naskia ( sina uhakika) alimwambia Lowassa katangaze Kujiuzulu Bungeni Uwaziri Mkuu then Mie nikikataa Barua yako ya kujiuzulu Bunge wataachana na Mjadala Kumbe ndio alikuwa anamtumbukiza Mwenzie kwenye Korongo la Kisiasa!
 
Hahahaaaa inawwzekana aisee. Kwa huyu jamaa ni mtaalamu wa kujivua lawama. Yani kwa hayo unayosikia na kwa jinsi ninavyomfahamu kwa asilimia kubwa nnamini.

Anajua sana kucheza na akili za watu. Na ana uwezo mkubwa wa kufanya watu wamuamini. Yani Lowasa,Sitta na RA alivyowachezesha segere la kikwere nna uhakika hawatamsahau. Leo nimesoma mahali pia kuhusu ule mtanziko wa UVCCM alivyochanganya Nape,Malisa na Bashe

Halafu uzuri wake pia akimaliza kukutumia anaweza kukunyaua pia. Yani ana matumizi maalum watu maalum kwa wakati maalum

Na alikua na shahada ya ubobevu katika mchezo huo. Am sure hata saivi kuna game kibao anazicheza. Kuna teuzi na kauli kadhaa nikiziona tu najua huu mkono wake.

Juzi hapa mpaka mama anachaguliwa kuna vitu vilifanywa na mwanae vikamtikisa jamaa yetu(nasikia tu)
 
Mimi hapo ndio ninapomkubali JK.... sidhani kama Tz tunaweza kupata strategist(Master strategist )mwingine kama JK. Huyu jamaa alikua mjanja mno na ana mbinu nyingi sana mpaka muda mwingine unawaza kama kweli huwa anafikiria peke yake au ana jopo??

Wakati wa JK alikumbwa na skendo kibao ambazo zingeweza kumuangusha ila alikua anazipunch zote. Na pia kitu kingine nilichojifunza always alikua na plan A,B,C mpaka F nadhani. Ukifuatilia mkanganyiko wa Sitta,Lowasa yeye alikuwamo.....ila akawawachezesha ngoma wao. Ukija ishu ya Meghji na Rostam akapanchi

Kipindi fulani walimu walifura wakataka kuandamana wakati wa Sulivan Sumit or WEF(mpaka barabara ya mliman city ikawekwa minazi mipya mikubwa)
Aliipunch hii ishu bila kutegemea.... he was so good katika siasa.

Kubwa kuliko ni jinsi alivyojitahidi kuwafanya watu wamkumbuke yeye kwa kufanya figisu za kuleta oposite wake kabisa(sina uhakika na hili ila najua atakua anafurahi sana kwa hii kasi tunayopewa sasa)

Huyu jamaa namuheshimu mno. Kudos mzee wa mjini JK. Kilimo chema Msoga
JK is a political genius.
 
Hahahaaaa inawwzekana aisee. Kwa huyu jamaa ni mtaalamu wa kujivua lawama. Yani kwa hayo unayosikia na kwa jinsi ninavyomfahamu kwa asilimia kubwa nnamini.

Anajua sana kucheza na akili za watu. Na ana uwezo mkubwa wa kufanya watu wamuamini. Yani Lowasa,Sitta na RA alivyowachezesha segere la kikwere nna uhakika hawatamsahau. Leo nimesoma mahali pia kuhusu ule mtanziko wa UVCCM alivyochanganya Nape,Malisa na Bashe

Halafu uzuri wake pia akimaliza kukutumia anaweza kukunyaua pia. Yani ana matumizi maalum watu maalum kwa wakati maalum

Na alikua na shahada ya ubobevu katika mchezo huo. Am sure hata saivi kuna game kibao anazicheza. Kuna teuzi na kauli kadhaa nikiziona tu najua huu mkono wake.

Juzi hapa mpaka mama anachaguliwa kuna vitu vilifanywa na mwanae vikamtikisa jamaa yetu(nasikia tu)
Hivi Benno Malisa yuko wapi , au wamemuweka kizuizini kama Aboud Jumbe ?
 
Yaani hiki kijamaa kilimzamisha Mangula ile mbaya halafu kikamrudisha kwa game tena!! Ana uwezo wa kutumia "mpira wa kiume" mara mbili bila aibu.
 
Jk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile

Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake

Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!

Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana

Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko

Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea

Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa

Daniel Yona na Mramba Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta
Kilontsi Mporogomyi nae alikwenda na maji kama naibu waziri.Hela ya pale unatakiwa uwe na roho ngumu sana kuikataa
Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007

Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea

William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake

Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
 
Yes na hata kwny Uchaguzi wa Bunge la EA alikuwa anauliza Maswali Wagombea
Ni kweli mkuu, nahisi ukimya wake ndio ulifanya nimsahau. Ni mbunge wa jimbo la Welezo kule Zenji. Asante kwa kumbukumbu
 
Yaani hiki kijamaa kilimzamisha Mangula ile mbaya halafu kikamrudisha kwa game tena!! Ana uwezo wa kutumia "mpira wa kiume" mara mbili bila aibu.
Hahaaaa hivi unakumbuka hiyo "prunning" aliyoifanya???

Akafuatia na ile ya kutoa wazee toka CC? Akabaki Jogoo pekeyake

Baada ya hapo ndo anaingiza na kutoa kutokana na matumizi.

Mzee mandevu alishazoea kulima nyanya Kinenulo akamrudisha. Na kumpa makali kwelikweli halafu ye kakaa pembeni anatizama legacy yake inavyotengenezwa. Eti wamemmiss hahaaa
 
Seif Sharrif Hamadi aliitwa Ikulu , wakaongea, wakanywa gahawa, akaitwa hadi "Kaka" na JK, akadhani atapewa nchi, kumbe mwenzake anabuy time ili aondoke Ikulu amwachie zigo mrithi wake! hahaha

Kete iliyomshinda JK ni moja katika utwala wake- Kuwapa Waislamu Mahakama ya Kadhi, Nyingine alikuwa anazipanga na kuzipangua tu!

Huwa siamini kuwa JK alimtaka Membe, Laiti angemtaka Membe kulikuwa hakuna wa Kumzuia maana yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu na ngeweza kufanya lolote kama kweli alidhamiria
 
wizara ya fedha imempoteza kwenye siasa Mzee Malima na mwanae Adam. Sehem yoyote ambayo inahusika na ngawira huwa inakua na fitna sana hata kwenye taasisi za kidini. Sasa kama JK amekaa hapo hazina miaka 20 ujue kakomaa haswa kwenye maswala ya siasa.
 
Back
Top Bottom