Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 841
Hawezi kumzidi Nyerere na huyu wa sasa kwa udini mkuu. Nyerere na huyu wa sasa wamepitiliza mkuu.
Kweli Nyerere alikuwa mdini sana, hebu fikiria kataifisha shule za kanisa ili waislamu wasone bila kusilimishwa huu ni udini wa kiwango cha juu sana haijapata kutokea.
Mchina wa jF.
Na washawasha!