sema alikaa wizara hii kipindi kifupi sana .Jk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile
Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake
Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!
Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana
Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko
Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea
Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa
Daniel Yona na Mramba Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta
Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007
Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea
William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake
Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
sema alikaa wizara hii kipindi kifupi sana .
Acjhilia mbali "KUVUJIA" jumba jeupe, hii ni presidential document, lazima iko kwenye faili pale jumba jeupe kwa kumbukumbu. Hilo usiwe na shaka nalo!Hiyo Barua ilikuwa kaandikiwa Rais wa Jamhuri wa wakati huo, inawezekana pia imevujia Jumba jeupe
Soma kwa makini hii barua kisha tuambie umejifunza nini? Na kwa nini zamani mawaziri walikuwa wanajibika kuliko siku hizi?
View attachment 511436
Duuuh hatari sanaJk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile
Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake
Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!
Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana
Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko
Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea
Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa
Daniel Yona na Mramba Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta
Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007
Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea
William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake
Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
JK alikaa wizara hii kipindi cha kuelekea uchaguzi ,kumbuka mpaka kuelekea uchaguzi ndani ya CCM zilishawaka yeye na katibu mkuu wa chama Mhagama ,pamoja na waziri mkuu wake Msuya .Kumbuka hiki ndicho kilichomyima ushindi ndani ya CCM wakati wanarudia na Mkapa kwani wale wafuasi wa Msuya walihamishia kula zao kwa mkapaHata prof Simon Mbilinyi hakutumiza hata Mwaka lakin alichomoka kwa kshfa
That us why unatakiwa uwe makini sana na matendo yako ya sasa kwenye jamii, kwa sababu huwezi jua utakua nani huko mbeleniDaaaa...ama kweli JF ni moto wa kuotea mbali aisee, waweza kuta hata
barua yako enzi ukitongoza mkeo.
Jk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile
Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake
Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!
Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana
Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko
Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea
Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa
Daniel Yona na Mramba Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta
Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007
Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea
William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake
Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
JK alikaa wizara hii kipindi cha kuelekea uchaguzi ,kumbuka mpaka kuelekea uchaguzi ndani ya CCM zilishawaka yeye na katibu mkuu wa chama Mhagama ,pamoja na waziri mkuu wake Msuya .Kumbuka hiki ndicho kilichomyima ushindi ndani ya CCM wakati wanarudia na Mkapa kwani wale wafuasi wa Msuya walihamishia kula zao kwa mkapa
Hivi mama Saada Mkuya yuko wapi siku hizi?
Ama kweli wizara ya Fedha na wizara ya Polisi(Mambo ya Ndani/Usalama wa Raia) huwa ni mtego wa kisiasa. Yani ukichemka kidogo tu ndo mwisho wa "Political career " yako
Allahumma Ameen.Prof. kighoma Malina, Mwenyezi umpumzishe kwa amani, na amuwekee wepesi kaburini. Yapo mema mengi aliyoyafanya.
Bi Mkuya sidhani kama angeweza siasa za kashkash za kugombea. Sikumsikia hata kwenye kugombania viti maalum, achilia mbali kwenye majimbo.Hivi mama Saada Mkuya yuko wapi siku hizi?
Ama kweli wizara ya Fedha na wizara ya Polisi(Mambo ya Ndani/Usalama wa Raia) huwa ni mtego wa kisiasa. Yani ukichemka kidogo tu ndo mwisho wa "Political career " yako
Jk ni Mwiba mbaya sana kwny Siasa za Fitna!
Kuna Kigogo mmoja aliwahi kuniambia Jk alikuwa 'Nyoka' I. a Usalama wa Taifa Tangu akiwa Shuleni!
Chuoni alikuwa Makamu wa Rais wa Serikal ya Wanafunzi kuwa scan wenzie
Baada ya ASP na TANU kuungana wanasema alipelekwa Znz kuwa study wanaopinga Muungano Pamoja na Muunganiko wa ASP na TANU kwa kuwa kuna waliopinga Kuua Chama chao cha Afro shiraz( ilisemwa anaenda ku Harmonise TANU na ASP)
Alipoingia Jeshini akafanywa Mwalimu wa Siasa Jeshini japo hakuwa amesomea Siasa wala hakuwa Gwiji wa Masuala ya Kijeshi
Na Kwny Siasa alitumia weledi WA Jeshi, Michezo, Umjini, ujanja binafsi na ukwere kufanikisha Siasa zake
Bi Mkuya sidhani kama angeweza siasa za kashkash za kugombea. Sikumsikia hata kwenye kugombania viti maalum, achilia mbali kwenye majimbo.
Mpaka sasa?Ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri
Mpaka sasa?