Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Nilitegemea Gwajima amtoe mapepo Mhe. Mbowe ya kuendesha night club inayoharibu ndoa na watoto wetu na igeuzwe kanisa. Kumbe anasimamia USHENGA wa IKULU.

Queen Esther



CDM iliyokuwa na ilani ya kupinga ufisadi leo hii hawawezi kuongea tena mbele za watu neno ufisadi.....

Mbowe kauza chama ....
 
Esther inaelekea shule unayo ila uko emmotional. Josephine akatubu nini, kamlaza mmewe nje wewe uanshabikia, kamuabisha, kamdhalilisha. Yote asemayo Ngwajima ameonesha evidence unataka nini. Hivyo slaa kamwanzishia vita, rushwa aliyopewa Ngwajima na maaskofu Katholic basi slaa alete ushahidi, yaani slaa anaongea hewa, anaweweseka. Shida ya slaa ni kama alivyosema josephine kwamba wangeenda ikulu/slaa hakuwa na shida ila josephine.
Esther usishabikie haya mambo huyawezi na husililizwi na Mungu muda huu mpaka ushauri unaotolewa na wanaforum utekelzwe. Huyo josephine ni kisrani, kama si yeye kumchanganya slaa haya kwa Ngwajima yasingetokeza. Ngwajima asingejibu na umma ungemshangaa. Josephine na slaa manatanua kwa fedha zitokanzo na dhambi/ufisadi bila wao kuzifanyia kazi-hii ni sawa. waende kijijini wakalime ninunue mazao yao sokoni.
 
Ndo huyu unamzungumzia
 

Attachments

  • 1441806158207.jpg
    1441806158207.jpg
    13.9 KB · Views: 143
Ni HERI kuishi darini kuliko kuishi na mwanamke mgomvi. Pia mwanamke mpumbavu huvunja nyumba Yake kwa mikono yake mwenyewe. Haya ni maneno yananihusu hata Mimi Kama mwanamke. Sijataja jina hapo. TAFAKARI

Queen Esther
Ulitakiwa haya maneno umwambie shoga yako labda angekuwa na adabu kwa hawala yake,

kama Josephine angekuwa na busara unayoisema asingemfungia hawala yake nje usiku wa manane.

Kama wewe ni mwanamke na unatetea upuuzi huo huna maana katika jamii ya wanawake wastaarabu.
 
Hivi unaweza kuthibitisha ndoa ya Dr. Slaa na Rose Kamili???
Mimi nimeshauri wote tuombe na Mungu atupe majibu.
Issue hapa ni SPIRITUAL MANIPULATION anayofanya Mch. Gwajima.
Queen Esther
Kuna kesi mahakamani kati ya Slaa na Rose, wangekuwa hawana ndoa leo hii Slaa na Josephine wangekuwa wamefunga ndoa lakini wanaendelea kuzini.

Slaa ni mme wa mtu na Josephine ni mke wa mtu wote wanazini na zao lao lazima litakuwa la uzinifu, sidhani kama Mungu anapendezwa na familia ya aina hii.
 
Queen Ester unamtetea mzinzi Josephine! tangu lini ndoa iliyofungwa kanisani ikatenguliwa? Si Bure dada yangu
 
Vipi kesi ya Mbasha na Mch. Gwajima??????????

Hivi hawa wote si ni wana ndoa??? Kwanini maombi ya Mbasha ya kufanya DNA test ya mtoto upande mwingine umekataa???

Kama ni kukemea dhambi simama kwenye mstari. Kutokana na kutokuwa na data kamili za ndoa ya Dr. Slaa hasa cheti cha ndoa na maisha yao ya ndoa sipendi kujadili hiyo.

HOJA YANGU YA MSINGI ILIJIKITA KWENYE ETHICS ZA KIUCHUNGAJI NA KUKATAA SPIRITUAL MANIPULATION ZINAZOFQNYWA NA HUYU MTUMISHI WA MUNGU.

MAJIBU YETU NA YA HAYA YOTE YAKO MAGOTINI. VITA YA ROHONI UNALETAJE MWILINI????

Queen Esther

Kuna kesi mahakamani kati ya Slaa na Rose, wangekuwa hawana ndoa leo hii Slaa na Josephine wangekuwa wamefunga ndoa lakini wanaendelea kuzini.

Slaa ni mme wa mtu na Josephine ni mke wa mtu wote wanazini na zao lao lazima litakuwa la uzinifu, sidhani kama Mungu anapendezwa na familia ya aina hii.
 
Kwa kusoma maelezo yako inaonyesha hata ww siyo mwombaji kwani unachochea malumbano laiti ungepata muda wa kutosha wa kuwa karibu na Kristo Yesu usingeandika maneno hayo. Wapo Sana'a lion be a taifa hili na Mungu amesikia maombi ya watoto wake, unachokiona sasa ni matokeo ya wana maombi. Mungu na atusaidie
 
Sikiliza na upande wa pili ndio uhukumu.

Ngoja na Josephine ajibu ndio tutajua mbivu na mbichi. Bila kusahau SMS zote za Mch. Gwajima kwa Josephine. Hapo ndio tutapima uadilifu wa mtumishi huyu wa Mungu.

Queen Esther

Ulitakiwa haya maneno umwambie shoga yako labda angekuwa na adabu kwa hawala yake,

kama Josephine angekuwa na busara unayoisema asingemfungia hawala yake nje usiku wa manane.

Kama wewe ni mwanamke na unatetea upuuzi huo huna maana katika jamii ya wanawake wastaarabu.
 
Sikiliza na upande wa pili ndio uhukumu.

Ngoja na Josephine ajibu ndio tutajua mbivu na mbichi. Bila kusahau SMS zote za Mch. Gwajima kwa Josephine. Hapo ndio tutapima uadilifu wa mtumishi huyu wa Mungu.

Queen Esther
Kwa hiyo Josephine kakutuma uje utuambie tungoje majibu yake, akija kutubu utaficha wapi uso wako, very interesting.

Hata hivyo akijibu itakuwa vizuri maana Gwajima kasema ana bomu moja la Hiroshima likitoka labda tunaweza kujua na hizo hela za kuanzisha shule na hospitali zimetoka wapi.
 
Tatizo lako hujaelewa maombi ya KUFUNUA MARINDA.

Hayo ni maombi ambayo UKWELI utakuwa bayana kwenye maeneo yote. Yanayofanyika gizani Mungu atayaleta nuruni.

Ngoja na Josephine atoe kombora lake na Gwajima pia halafu watanzania wataachwa wapime.

Je hayo ni maisha ya mtumishi wa Mungu??? Huyu Mungu muumba mbingu na nchi????

Queen Esther

Kwa hiyo Josephine kakutuma uje utuambie tungoje majibu yake, akija kutubu utaficha wapi uso wako, very interesting.

Hata hivyo akijibu itakuwa vizuri maana Gwajima kasema ana bomu moja la Hiroshima likitoka labda tunaweza kujua na hizo hela za kuanzisha shule na hospitali zimetoka wapi.
 
Asante ila kipimo cha kujua nani muombaji na nani sio liache kwa Mnazareth. Kila mtu ana sehemu Yake ktk ufalme wa Mungu.

Queen Esther

Kwa kusoma maelezo yako inaonyesha hata ww siyo mwombaji kwani unachochea malumbano laiti ungepata muda wa kutosha wa kuwa karibu na Kristo Yesu usingeandika maneno hayo. Wapo Sana'a lion be a taifa hili na Mungu amesikia maombi ya watoto wake, unachokiona sasa ni matokeo ya wana maombi. Mungu na atusaidie
 
Naona usiku wa kuamkia leo ulilalwa na majini ndo maana hujitambui utumbo ulioandika
 
Mungu wa haki aonaye sirini, muumba mbingu na nchi akahukumu katika hili.

Queen Esther

Weye Queen wa "Baharini" Esther; tafuta maombezi uyatoe mapepo uliyonayo ndio upate upako Wa kuhimili vishindo vya Gwajima, vinginevyo "Utapepesuliwa" bila kujitambua!
 
Mleta mada unajua aibu aliyoileta Mushumbushi walipoitwa yeye na mumewe huku Kratu ili wazee wamtulize Tlaa asiondoke CDM? Josephine alipoona kikao kinakawia kwisha na dr analainika alijipitisha mbele ya kikao papo hapo Dr aliamka akamwambia darling wait for me na ikawa ndo mwisho wa kikao. Usimtetee
 
Naomba nakala ya cheti cha ndoa kati ya Slaa na Rose.

Pia hukumu ni ya Mungu. Hoja yangu hapa ni kiongozi wa dini kutumia spiritual manipulation.

Queen Esther


Wewe kwenye biblia Wapi imezungumzia ndoa lazima iwe na cheti????
 
Habari kwako dada Josephine.

Kwa muda mrefu sana umekuwa ukitajwa na vyombo vya habari kwa namna isiyopendeza. Aidha washabiki wa UKAWA wamekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda kuwa wewe ndio sababu ya Dr. Slaa kujitoa UKAWA.

Ninavyokufahamu wewe ni mcha Mungu na pia umechukuliana na hawa watu kwa muda mrefu. Ila wamekosa shukrani na sasa kila siku umekuwa dustbin ya kutupa kila aina ya uchafu.

Mimi kama mwanamke mwenzio sijaridhika na yanayoendelea hasa mwanamke mwenzangu unavyodhalilishwa. Mwenzio Mama Slaa alijitokeza na kumchafua vizuri kabisa baba watoto wako. Mbona wewe uko KIMYA? Katika barua yangu hii nina kuomba mambo yafuatayo:-

1. Kuombewa na kutolewa mapepo ndio kazi kubwa ya Bwana wetu Yesu Kristo maana ni UKOMBOZI. Hata Gwajima kabla ya kuokoka alikuwa mganga wa kienyeji na yeye binafsi amekiri hilo mara nyingi. Iweje leo akutangazie hivyo hata kama ni kweli.

2. Inawezekana HUNA mapepo ila alikuwa anatumia nguvu zake za Giza kucheza na soul yako. Jikite kwenye maombi na neno la Mungu na kujifunika na Damu ya Yesu Kristo hasa kabla hujalala.

Huo ndio wakati adui hufanya "SPIRITUAL MANIPULATION" kwa kiasi kikubwa. Yanayotokea sasa yalikamilika katika ulimwengu wa roho kwanza.

3. Usipostopisha huu mchezo wa spiritual manipulation uko kwenye hatari nyingi. Vita yako sasa ni Gwajima na wewe na sio Dr. Slaa. Usipoangalia utapoteza kila kitu, Inuka mwanamke simama dai ukombozi kupitia Damu takatifu ya Yesu Kristo Ufunuo 12:11

3. Sinema za MAPEPO za Gwajima ndio kwanza zimeanza. Wakristo wanaoelewa maombi naomba tuliombee Taifa kuliko tulivyowahi kuomba. Hatuhitaji spiritual manipulation kuliongoza Taifa, kila mtu aombe na tusimame kwa UMOJA.

4. Wachungaji wote unaoshirikiana nao halafu wanatoa Siri zako, Kama zipo wapeleke msalabani SAWASAWA na ZABURI ya 35 na 109.

Mungu ni Mungu wa kweli na haki. Huwezi kuwa Mchungaji halafu ukifanya kinyume na maisha ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, that is abomination! Hili jambo sio la kushabikia ni la kukemea.

5. Gwajima anataka aende Ikulu akatawale nchi yetu kwa nguvu za Giza. Ni Damu takatifu ya Yesu Kristo tu, itatuokoa na mapepo haya. Ufunuo 12:11

6. Amka mwanamke, jifunge kibwebwe mauti inapiga hodi mlangoni pako.

7. Watanzania wote tuombe maombi ya kukataa spiritual manipulation yanayofanywa na Mchungaji Gwajima. Tunahitaji Mchungaji wa kutupeleka kwa Bwana Yesu Kristo sio Mchungaji wa kucheza na our souls and mind (mind control).

Josephine you have my prayers.

Mkono wa Bwana haukupunguka usiweze kuokoa na sikio lake sio zito asiweze kusikia kilio chetu. Wawili au watatu wakipatana na sisi ni zaidi ya watatu. Tuombe kwa siku saba kuanzia Leo na tumngoje Bwana kwa majibu.

Kama unaipenda Tanzania ungana nasi katika maombi haya.

MBONA SIKUONA MAHALI POPOTE MCHUNGAJI GWAJIMA AKIWAONGOZA UKAWA AKIWEMO JOSEPHINE NA DR. SLAA SALA YA TOBA KAMA MCHUNGAJI WA KIPENTEKOSTE.

JE AMEMSHAURI MHE. MBOWE AUZE CLUB BILLICANAS IWE KANISA KWANI VIJANA WENGI WANAHARIBIKIA HAPO?????

YEYE KAZI YAKE ALIYOITIWA NA KRISTO YESU NI USHENGA WA KWENDA IKULU TUU???

ALITUAHIDI ATAMFUFUA AMINA CHIFUPA MAANA AMECHUKULIWA MSUKULE - Je hiyo siyo spiritual manipulation????

Fungueni macho ndugu zangu. Maana imeandikwa watu macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.

HIVI HUYU MCH. GWAJIMA SI NDIO ALIMTUKANA KADINALI PENGO NA KULITUHUMU KANISA KATOLIKI. LEO HII AMEGEUKAJE KUWA MTETEZI WA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI????

MAOMBI NDIO DAWA YA HAYA YOTE... omba hivi!!!
"" EEEEE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI, FUNUA MARINDA WATANZANIA TUPONE""
wote tuseme AMEN. AMEN. AMEN mara 7.



QUEEN ESTHER

Alikuwa herbalist na ndiko alikompata Dr je alitumia nguvu za Giza kumpata Dr?
 
Back
Top Bottom