Queen Esther ninakufahamu. Nilidhani wewe ni mama mtu mzima sana na kwa mwonekano wako niliona kama una Neno kumbe huna.
Huwezi kushabikia suala la kisiasa na ushabiki wako wa ccm ukaufanya imani ya kiroho . huu ni wendawazimu.
Unapaswa kutubu kwa kufanya kazi za manabii wa baali waliomfariji ahabu katika upotevu kwamba aende vitani atashinda.
Huwezi kujustify tabia za Mshumbusi kwa kila andiko labda la shetani.
1. Ni wapi Biblia imeandika "mwanamke amtawale mmewe"? Utakuwa unainadika wewe.
2. Ni wapi katika mafundisho ya ndoa ya Biblia, mwanamke yeyote mwenye hekima anayestahili faraja ambaye alimtupia mabeg mme wake kwa sababu tu mwanamme hajatii mke?
3. Nionyeshe andiko lisemalo "ENYI WAUME WATIINI WAKE ZENU", ili usimame na Josephine kwa kumtupia mabegi mmewe na kumfukuza eti kwa sababu Slaa amechelewa kumtii.
4. Ni andiko gani linalosema wanawake wawe na tamaa za madaraka na utajiri kiasi cha kuwalazimisha waume zao kutii nia zao?
Maneno haya hayajasemwa na UKaWA. Yamethibitishwa kwa vinywa vya mashahidi zaidi ya watatu. Wewe unaandiko gani la kubatilisha masuala yaliyo nje?
Nimekudharau wewe mama na hutaniona karibu nawe tena. Hata wajukuu zangu, hawatakuja kwako kwa suala lolote la kiroho kwa sababu huna Mungu na humjui Mungu wewe.
Endelea na udanganyifu wako. You are so myopic hata kuchambua ukweli huwezi. Kila kitu kwako ni mungu wako ccm. Pole mama.