Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Ukija upande wa wanawake nisingependa kumzungumzia mama Rose Kamili kwa heshima niliyonayo Kwake.

Swali ni moja, je walikuwa na ndoa ya Kanisani na Dr. Slaa?

Pili je kumuanika kila siku mume wake ndio kutamfanya mume amrudie au ndio anamkimbiza??? TAFAKARI.

Ni HERI kuishi darini kuliko kuishi na mwanamke mgomvi. Pia mwanamke mpumbavu huvunja nyumba Yake kwa mikono yake mwenyewe. Haya ni maneno yananihusu hata Mimi Kama mwanamke. Sijataja jina hapo. TAFAKARI

Queen Esther

...unaona unavyojichanganya!..sasa unahoji kama Rose Kamili alikua na ndoa na Dr.Slaa...je hiyo Mshumbusi unayempigania kinafiki ana ndoa na Dr. Slaa? Na kama Hana ndoa inakuwaje wanaishi pamoja?..unaangalia upande mmoja WA shilingi alafu unataka uungwe mkono?..alafu unamsema nani Kati Yao mgomvi?..yule alieachwa na watoto AMA huyu anaemfungia mwanaume nje?...acha unafiki dada...ama unasahau unafiki nao dhambi?
 
Naomba nakala ya cheti cha ndoa kati ya Slaa na Rose.

Pia hukumu ni ya Mungu. Hoja yangu hapa ni kiongozi wa dini kutumia spiritual manipulation.

Queen Esther


Wewe kwenye biblia Wapi imezungumzia ndoa lazima iwe na cheti????

Kwa maana hiyo tukosea kupokea vyeti tunapoowana
 
Nampongeza huyu dada kwa kutuongezea umaarufu wa chakula cha mihogo kwakweli mauzo yamepanda sana hata wakulima wametupandishia bei
 
Vipi kesi ya Mbasha na Mch. Gwajima??????????

Hivi hawa wote si ni wana ndoa??? Kwanini maombi ya Mbasha ya kufanya DNA test ya mtoto upande mwingine umekataa???

Kama ni kukemea dhambi simama kwenye mstari. Kutokana na kutokuwa na data kamili za ndoa ya Dr. Slaa hasa cheti cha ndoa na maisha yao ya ndoa sipendi kujadili hiyo.

HOJA YANGU YA MSINGI ILIJIKITA KWENYE ETHICS ZA KIUCHUNGAJI NA KUKATAA SPIRITUAL MANIPULATION ZINAZOFQNYWA NA HUYU MTUMISHI WA MUNGU.

MAJIBU YETU NA YA HAYA YOTE YAKO MAGOTINI. VITA YA ROHONI UNALETAJE MWILINI????

Queen Esther

Wewe umetumwa na CCM.
Mulizani mtatupata kumbe zero kabisa
 
Tatizo lako hujaelewa maombi ya KUFUNUA MARINDA.

Hayo ni maombi ambayo UKWELI utakuwa bayana kwenye maeneo yote. Yanayofanyika gizani Mungu atayaleta nuruni.

Ngoja na Josephine atoe kombora lake na Gwajima pia halafu watanzania wataachwa wapime.

Je hayo ni maisha ya mtumishi wa Mungu??? Huyu Mungu muumba mbingu na nchi????

Queen Esther

Hata yesu alisema enyi uzao wa nyoka ni nani aliyewaonya. Hakutukana bali alisema ukweli na ukweli utakufanya kuwa huru zaidi
 
Qeen Esther wakati unaileta thread hii ungejiuluza maswali mawili tu
1.madhara ya kiasi kiapo cha useja (altar masaa 3
2,kuvunja ndoa ya mwenzako
Hu
Hii laana itawatafuna duniani mpaka watakapotubu
"Wowote mtakaowafungia duniani mbinguni watakuwa wamefungiwa " sio Mimi kristo alisema alipomkabidhi petro kanisa bila mtaji
Mtaji ni amani yangu nawaachieni
 
ukimaliza kumuombea usisahau kula ya urais ni lowassa na mbunge na diwani wa ukawa!
 
Sasa mbona ww unamhukumu Gwajima Wakati hayo maandiko unayoyasoma imetukataza kuhukumu tusije kuhukumiwa. Tuliombee taifa
 
Leo Josephine kageuka kichaka cha kuficha ujanja ujanja wa UKAWA .....

..my friend...change is inevitable in tz..watu hawajali kelele za mnaowapinga ukawa..ni ukweli usiopingika kuwa ujio wa Lowassa ukawa umechagiza pilika za mabadiliko..hivyo kelele zote dhidi ya ukawa na Lowassa Ni insignificant...watu hawageuki nyuma tena...na uchafu wote dhidi ya Lowassa pia SI hoja...haswa pale watu kama kina Slaa wanapotumika na wake zao kumchafua...walaumini wao...huwezi kumtenga mshumbusi na ukawa..maana ndie ametumika kupinga ujio wa Lowassa ukawa..msome Gwajima...mshumbusu Ni issue...mengine yote Ni secondary..hata hoja za Slaa..
 
Habari kwako dada Josephine.

Kwa muda mrefu sana umekuwa ukitajwa na vyombo vya habari kwa namna isiyopendeza. Aidha washabiki wa UKAWA wamekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda kuwa wewe ndio sababu ya Dr. Slaa kujitoa UKAWA.

Ninavyokufahamu wewe ni mcha Mungu na pia umechukuliana na hawa watu kwa muda mrefu. Ila wamekosa shukrani na sasa kila siku umekuwa dustbin ya kutupa kila aina ya uchafu.

Mimi kama mwanamke mwenzio sijaridhika na yanayoendelea hasa mwanamke mwenzangu unavyodhalilishwa. Mwenzio Mama Slaa alijitokeza na kumchafua vizuri kabisa baba watoto wako. Mbona wewe uko KIMYA? Katika barua yangu hii nina kuomba mambo yafuatayo:-

1. Kuombewa na kutolewa mapepo ndio kazi kubwa ya Bwana wetu Yesu Kristo maana ni UKOMBOZI. Hata Gwajima kabla ya kuokoka alikuwa mganga wa kienyeji na yeye binafsi amekiri hilo mara nyingi. Iweje leo akutangazie hivyo hata kama ni kweli.

2. Inawezekana HUNA mapepo ila alikuwa anatumia nguvu zake za Giza kucheza na soul yako. Jikite kwenye maombi na neno la Mungu na kujifunika na Damu ya Yesu Kristo hasa kabla hujalala.

Huo ndio wakati adui hufanya "SPIRITUAL MANIPULATION" kwa kiasi kikubwa. Yanayotokea sasa yalikamilika katika ulimwengu wa roho kwanza.

3. Usipostopisha huu mchezo wa spiritual manipulation uko kwenye hatari nyingi. Vita yako sasa ni Gwajima na wewe na sio Dr. Slaa. Usipoangalia utapoteza kila kitu, Inuka mwanamke simama dai ukombozi kupitia Damu takatifu ya Yesu Kristo Ufunuo 12:11

3. Sinema za MAPEPO za Gwajima ndio kwanza zimeanza. Wakristo wanaoelewa maombi naomba tuliombee Taifa kuliko tulivyowahi kuomba. Hatuhitaji spiritual manipulation kuliongoza Taifa, kila mtu aombe na tusimame kwa UMOJA.

4. Wachungaji wote unaoshirikiana nao halafu wanatoa Siri zako, Kama zipo wapeleke msalabani SAWASAWA na ZABURI ya 35 na 109.

Mungu ni Mungu wa kweli na haki. Huwezi kuwa Mchungaji halafu ukifanya kinyume na maisha ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, that is abomination! Hili jambo sio la kushabikia ni la kukemea.

5. Gwajima anataka aende Ikulu akatawale nchi yetu kwa nguvu za Giza. Ni Damu takatifu ya Yesu Kristo tu, itatuokoa na mapepo haya. Ufunuo 12:11

6. Amka mwanamke, jifunge kibwebwe mauti inapiga hodi mlangoni pako.

7. Watanzania wote tuombe maombi ya kukataa spiritual manipulation yanayofanywa na Mchungaji Gwajima. Tunahitaji Mchungaji wa kutupeleka kwa Bwana Yesu Kristo sio Mchungaji wa kucheza na our souls and mind (mind control).

Josephine you have my prayers.

Mkono wa Bwana haukupunguka usiweze kuokoa na sikio lake sio zito asiweze kusikia kilio chetu. Wawili au watatu wakipatana na sisi ni zaidi ya watatu. Tuombe kwa siku saba kuanzia Leo na tumngoje Bwana kwa majibu.

Kama unaipenda Tanzania ungana nasi katika maombi haya.

MBONA SIKUONA MAHALI POPOTE MCHUNGAJI GWAJIMA AKIWAONGOZA UKAWA AKIWEMO JOSEPHINE NA DR. SLAA SALA YA TOBA KAMA MCHUNGAJI WA KIPENTEKOSTE.

JE AMEMSHAURI MHE. MBOWE AUZE CLUB BILLICANAS IWE KANISA KWANI VIJANA WENGI WANAHARIBIKIA HAPO?????

YEYE KAZI YAKE ALIYOITIWA NA KRISTO YESU NI USHENGA WA KWENDA IKULU TUU???

ALITUAHIDI ATAMFUFUA AMINA CHIFUPA MAANA AMECHUKULIWA MSUKULE - Je hiyo siyo spiritual manipulation????

Fungueni macho ndugu zangu. Maana imeandikwa watu macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.

HIVI HUYU MCH. GWAJIMA SI NDIO ALIMTUKANA KADINALI PENGO NA KULITUHUMU KANISA KATOLIKI. LEO HII AMEGEUKAJE KUWA MTETEZI WA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI????

MAOMBI NDIO DAWA YA HAYA YOTE... omba hivi!!!
"" EEEEE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI, FUNUA MARINDA WATANZANIA TUPONE""
wote tuseme AMEN. AMEN. AMEN mara 7.



QUEEN ESTHER

wewe ni mpotosha na kama wewe ni mkristo na unaheshimu ndoa basi ungeshauli Josephine aache kufanya zinaa na slaa na kumrejea mume wake Amaniel Mahimbo
 
walioenda kwa babu ni wale waliokuwa na magonjwa sugu yasiotibika hospitali kama ukimwi na nk, napata hofu kuwa huyu mtu ni mzima kweli?
 
Bora ukosea kujenga nyumba siyo kukosea kuoa jamani Dr.Slaa pole sana kwa kukubali kutawaliwa na mwanamke unalala kwenye gari kwa sababu mwanamke amekataa kukufungilia mlango.hii aibu sana ningekuwa na mimi huyo mwanamke ningemvunja hata mkono.
Mleta mada hizi umeandika porojo .
 
Josephine is a devil, hakuna lugha nyingine nzuri ya kutamka... that is it...
 
Queen Esther, mtu wa kiroho huona mambo kiroho. Una maono ha kiroho kweli. Ujumbe nina uhakika umefika.
 
Back
Top Bottom