Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Khaa!! Lakini bado hili halisafishi UFISADI WA LOWASSA ambayo ndiyo hoja kuu ya Dr Slaa :glasses-nerdy:

Mkuu, Inaonekana huna habari, Ulimsikiliza (au uliona video ya) kubenea alipozungumza Kyela (jimboni kwa Mwakyembe)?

Kama hujaiona omba upewe, zile porojo za Slaa ni blah blah tu
 
Na wewe lazima utakuwa unaitumia hiyo roho. Kwani umejuaje kuwa gwajima anaitumia. Na daima hukumu muachie Mungu mwenyewe.
 
Slaa amrudie rose kamili..mke wa ujana wake

Nashangaa anawezaje kukomaa na kimada/hawara/mpango kando wakati waifu halali aliyepewa na Mungu yupo mzima wa afya.
Atasubiri sana mpaka mke halali afe kama anataka kusepnd maisha yake yaliyobaki hapa duniani na Mushumbusi.
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa mashosti mliompressurize Josephine hadi akajikuta anafanya makorokocho, pole sana, imekwama hiyo!
 
All TRUTH hajatudhalilisha,
ametoa fundisho mke wa slaa hata chumbani hasafishi,
ndipo Ngwajima akaamua kumtuma mama Mushi akamsaidie
Josephine kazi za ndani, aibu gani hii?

Watu wanatamba na mikorogo kumbe kitanda anatandikiwa
na mwanamke mwenzie.

Mshiki nkiki
 
Habari kwako dada Josephine.

Kwa muda mrefu sana umekuwa ukitajwa na vyombo vya habari kwa namna isiyopendeza. Aidha washabiki wa UKAWA wamekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda kuwa wewe ndio sababu ya Dr. Slaa kujitoa UKAWA.

Ninavyokufahamu wewe ni mcha Mungu na pia umechukuliana na hawa watu kwa muda mrefu. Ila wamekosa shukrani na sasa kila siku umekuwa dustbin ya kutupa kila aina ya uchafu.

Mimi kama mwanamke mwenzio sijaridhika na yanayoendelea hasa mwanamke mwenzangu unavyodhalilishwa. Mwenzio Mama Slaa alijitokeza na kumchafua vizuri kabisa baba watoto wako. Mbona wewe uko KIMYA? Katika barua yangu hii nina kuomba mambo yafuatayo:-

1. Kuombewa na kutolewa mapepo ndio kazi kubwa ya Bwana wetu Yesu Kristo maana ni UKOMBOZI. Hata Gwajima kabla ya kuokoka alikuwa mganga wa kienyeji na yeye binafsi amekiri hilo mara nyingi. Iweje leo akutangazie hivyo hata kama ni kweli.

2. Inawezekana HUNA mapepo ila alikuwa anatumia nguvu zake za Giza kucheza na soul yako. Jikite kwenye maombi na neno la Mungu na kujifunika na Damu ya Yesu Kristo hasa kabla hujalala.

Huo ndio wakati adui hufanya "SPIRITUAL MANIPULATION" kwa kiasi kikubwa. Yanayotokea sasa yalikamilika katika ulimwengu wa roho kwanza.

3. Usipostopisha huu mchezo wa spiritual manipulation uko kwenye hatari nyingi. Vita yako sasa ni Gwajima na wewe na sio Dr. Slaa. Usipoangalia utapoteza kila kitu, Inuka mwanamke simama dai ukombozi kupitia Damu takatifu ya Yesu Kristo Ufunuo 12:11

3. Sinema za MAPEPO za Gwajima ndio kwanza zimeanza. Wakristo wanaoelewa maombi naomba tuliombee Taifa kuliko tulivyowahi kuomba. Hatuhitaji spiritual manipulation kuliongoza Taifa, kila mtu aombe na tusimame kwa UMOJA.

4. Wachungaji wote unaoshirikiana nao halafu wanatoa Siri zako, Kama zipo wapeleke msalabani SAWASAWA na ZABURI ya 35 na 109.

Mungu ni Mungu wa kweli na haki. Huwezi kuwa Mchungaji halafu ukifanya kinyume na maisha ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, that is abomination! Hili jambo sio la kushabikia ni la kukemea.

5. Gwajima anataka aende Ikulu akatawale nchi yetu kwa nguvu za Giza. Ni Damu takatifu ya Yesu Kristo tu, itatuokoa na mapepo haya. Ufunuo 12:11

6. Amka mwanamke, jifunge kibwebwe mauti inapiga hodi mlangoni pako.

7. Watanzania wote tuombe maombi ya kukataa spiritual manipulation yanayofanywa na Mchungaji Gwajima. Tunahitaji Mchungaji wa kutupeleka kwa Bwana Yesu Kristo sio Mchungaji wa kucheza na our souls and mind (mind control).

Josephine you have my prayers.

Mkono wa Bwana haukupunguka usiweze kuokoa na sikio lake sio zito asiweze kusikia kilio chetu. Wawili au watatu wakipatana na sisi ni zaidi ya watatu. Tuombe kwa siku saba kuanzia Leo na tumngoje Bwana kwa majibu.

Kama unaipenda Tanzania ungana nasi katika maombi haya.

MBONA SIKUONA MAHALI POPOTE MCHUNGAJI GWAJIMA AKIWAONGOZA UKAWA AKIWEMO JOSEPHINE NA DR. SLAA SALA YA TOBA KAMA MCHUNGAJI WA KIPENTEKOSTE.

JE AMEMSHAURI MHE. MBOWE AUZE CLUB BILLICANAS IWE KANISA KWANI VIJANA WENGI WANAHARIBIKIA HAPO?????

YEYE KAZI YAKE ALIYOITIWA NA KRISTO YESU NI USHENGA WA KWENDA IKULU TUU???

ALITUAHIDI ATAMFUFUA AMINA CHIFUPA MAANA AMECHUKULIWA MSUKULE - Je hiyo siyo spiritual manipulation????

Fungueni macho ndugu zangu. Maana imeandikwa watu macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.

MAOMBI NDIO DAWA YA HAYA YOTE... omba hivi!!!
"" EEEEE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI, FUNUA MARINDA WATANZANIA TUPONE""
wote tuseme AMEN. AMEN. AMEN mara 7.

QUEEN ESTHER
ashara.
Ajifunike na damu ya Yesu kisha usiku huo huo aendelee kuzini? Kweli Yesu ni Mungu na wakati huo huo kwa baadhi ya watu Yesu ni biashara.

Utetezi wa jinsia sio mahali pake kwani issue sio jinsia.
 
Queen Ester Umenena, na ubarikiwe katika jina la bwana.
Mimi ni mkristo sijawahi kuona aina hii ya mchungaji ambaye yupo radhi kutoa siri za waumini wake hadharani, japo naamini DR Slaa si muumini wake. Unasaba wake na siasa unatia shaka.
Nimemsiiliza kwa kina yule shahidi ambaye anadai alikuwa mlinzi siku ya hiyo Shutuma, Gwajima anadai alimuliza mlinzi usiku uleule, lakini mlinzi akasema Gwajima hakupatikana mpaka subuhi. Hii inaonyesha story ya Slaa ni yakupikwa
 
Habari kwako dada Josephine.

Kwa muda mrefu sana umekuwa ukitajwa na vyombo vya habari kwa namna isiyopendeza. Aidha washabiki wa UKAWA wamekuwa mstari wa mbele kueneza propaganda kuwa wewe ndio sababu ya Dr. Slaa kujitoa UKAWA.

Ninavyokufahamu wewe ni mcha Mungu na pia umechukuliana na hawa watu kwa muda mrefu. Ila wamekosa shukrani na sasa kila siku umekuwa dustbin ya kutupa kila aina ya uchafu.

Mimi kama mwanamke mwenzio sijaridhika na yanayoendelea hasa mwanamke mwenzangu unavyodhalilishwa. Mwenzio Mama Slaa alijitokeza na kumchafua vizuri kabisa baba watoto wako. Mbona wewe uko KIMYA? Katika barua yangu hii nina kuomba mambo yafuatayo:-

1. Kuombewa na kutolewa mapepo ndio kazi kubwa ya Bwana wetu Yesu Kristo maana ni UKOMBOZI. Hata Gwajima kabla ya kuokoka alikuwa mganga wa kienyeji na yeye binafsi amekiri hilo mara nyingi. Iweje leo akutangazie hivyo hata kama ni kweli.

2. Inawezekana HUNA mapepo ila alikuwa anatumia nguvu zake za Giza kucheza na soul yako. Jikite kwenye maombi na neno la Mungu na kujifunika na Damu ya Yesu Kristo hasa kabla hujalala.

Huo ndio wakati adui hufanya "SPIRITUAL MANIPULATION" kwa kiasi kikubwa. Yanayotokea sasa yalikamilika katika ulimwengu wa roho kwanza.

3. Usipostopisha huu mchezo wa spiritual manipulation uko kwenye hatari nyingi. Vita yako sasa ni Gwajima na wewe na sio Dr. Slaa. Usipoangalia utapoteza kila kitu, Inuka mwanamke simama dai ukombozi kupitia Damu takatifu ya Yesu Kristo Ufunuo 12:11

3. Sinema za MAPEPO za Gwajima ndio kwanza zimeanza. Wakristo wanaoelewa maombi naomba tuliombee Taifa kuliko tulivyowahi kuomba. Hatuhitaji spiritual manipulation kuliongoza Taifa, kila mtu aombe na tusimame kwa UMOJA.

4. Wachungaji wote unaoshirikiana nao halafu wanatoa Siri zako, Kama zipo wapeleke msalabani SAWASAWA na ZABURI ya 35 na 109.

Mungu ni Mungu wa kweli na haki. Huwezi kuwa Mchungaji halafu ukifanya kinyume na maisha ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, that is abomination! Hili jambo sio la kushabikia ni la kukemea.

5. Gwajima anataka aende Ikulu akatawale nchi yetu kwa nguvu za Giza. Ni Damu takatifu ya Yesu Kristo tu, itatuokoa na mapepo haya. Ufunuo 12:11

6. Amka mwanamke, jifunge kibwebwe mauti inapiga hodi mlangoni pako.

7. Watanzania wote tuombe maombi ya kukataa spiritual manipulation yanayofanywa na Mchungaji Gwajima. Tunahitaji Mchungaji wa kutupeleka kwa Bwana Yesu Kristo sio Mchungaji wa kucheza na our souls and mind (mind control).

Josephine you have my prayers.

Mkono wa Bwana haukupunguka usiweze kuokoa na sikio lake sio zito asiweze kusikia kilio chetu. Wawili au watatu wakipatana na sisi ni zaidi ya watatu. Tuombe kwa siku saba kuanzia Leo na tumngoje Bwana kwa majibu.

Kama unaipenda Tanzania ungana nasi katika maombi haya.

MBONA SIKUONA MAHALI POPOTE MCHUNGAJI GWAJIMA AKIWAONGOZA UKAWA AKIWEMO JOSEPHINE NA DR. SLAA SALA YA TOBA KAMA MCHUNGAJI WA KIPENTEKOSTE.

JE AMEMSHAURI MHE. MBOWE AUZE CLUB BILLICANAS IWE KANISA KWANI VIJANA WENGI WANAHARIBIKIA HAPO?????

YEYE KAZI YAKE ALIYOITIWA NA KRISTO YESU NI USHENGA WA KWENDA IKULU TUU???

ALITUAHIDI ATAMFUFUA AMINA CHIFUPA MAANA AMECHUKULIWA MSUKULE - Je hiyo siyo spiritual manipulation????

Fungueni macho ndugu zangu. Maana imeandikwa watu macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.

MAOMBI NDIO DAWA YA HAYA YOTE... omba hivi!!!
"" EEEEE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI, FUNUA MARINDA WATANZANIA TUPONE""
wote tuseme AMEN. AMEN. AMEN mara 7.

QUEEN ESTHER

Kwanza nikupongeze sana kwa ulewa wako mkubwa juu ya mambo ya kiroho, hapa kuna mchezo mkubwa sana, nadhani tusubiri alafu mwisho wakati utasema. nakushukuru dada, Gwajima si mtu wa kuamini sana, ana mambo mengi sana.
 
Habari kwako dada Josephine.

Kwa muda mrefu sana umekuwa ukitajwa na vyombo vya habari kwa namna isiyopendeza.......

Huo ndio wakati adui hufanya "SPIRITUAL MANIPULATION" kwa kiasi kikubwa. Yanayotokea sasa yalikamilika katika ulimwengu wa roho kwanza.
......
3. Sinema za MAPEPO za Gwajima ndio kwanza zimeanza. Wakristo wanaoelewa maombi naomba tuliombee Taifa kuliko tulivyowahi kuomba. Hatuhitaji spiritual manipulation kuliongoza Taifa, ...

5. Gwajima anataka aende Ikulu akatawale nchi yetu kwa nguvu za Giza. ...

6. Amka mwanamke, jifunge kibwebwe mauti inapiga hodi mlangoni pako.
...
Josephine you have my prayers.
....
YEYE KAZI YAKE ALIYOITIWA NA KRISTO YESU NI USHENGA WA KWENDA IKULU TUU???
....
QUEEN ESTHER
Kama Mzee wa upako amempaka, wewe ndio unatafuta kumtundika kabisa. Au ndio unampeleka msalabani, umsulubu?

Kwa nini umetumia wino wa kijani na njano kuandika ujumbe wako? Pia ukiwa umeshikilia nyundo mkononi?

Mwacheni afurahie mapumziko.

Amenukuliwa akisema haya "Nilishajitayarisha kuwa First Lady, Mimi Tanzania ndio mimi,mimi ndio kila kitu Tanzania"

Sasa "Quinine" Esther mwache dada yetu Josephine apumzike, usimfanyie "manipulation" ya aina yoyote.
 
Dhambi ya uzinzi inamwandama huyu dada....aiche nafsi ya slaa mungu ana kazi nayo!
Kwani nani alimwambia eti mwanaume hapa duniani ni slaa tu?slaa sio riziki kwake
amwache baba wa watu!
 
...unafiki mwingine huu....wanawake mna roho mbaya sana...na imedhihirika wengi wenu mnaficha ushetani wenu kwenye kujifanya watu wa Mungu....wanafiki nyie......maombi maombi nah!!......kama e wawapenda wanawake wenzako mbona humzungumzii mama Rose Kamili alieachwa na watoto na huyo Slaa...tena mtoto wake mwingine ni mdada kama wewe....huoni kuna shida hapo????....ama shida iko kwa mshumbushi shoga yako tu????...acheni unafiki nyie wanawake....mshumbushi matendo yake yakishetani sana...mwambie atubu kwanza....mtu amevunja ndo ya mtu we unamtetea????.....mwambie amrudie mumewe na aache mume wa mtu...anzia hapo kwanza....mengine ni unafiki tu...
 
Na wewe lazima utakuwa unaitumia hiyo roho. Kwani umejuaje kuwa gwajima anaitumia. Na daima hukumu muachie Mungu mwenyewe.
Gwajima alituhadaa kuwa ATAMFUFUA Amina Chifupa???
Unaionaje hiyo???
Queen Esther
 
...unafiki mwingine huu....wanawake mna roho mbaya sana...na imedhihirika wengi wenu mnaficha ushetani wenu kwenye kujifanya watu wa Mungu....wanafiki nyie......maombi maombi nah!!......kama e wawapenda wanawake wenzako mbona humzungumzii mama Rose Kamili alieachwa na watoto na huyo Slaa...tena mtoto wake mwingine ni mdada kama wewe....huoni kuna shida hapo????....ama shida iko kwa mshumbushi shoga yako tu????...acheni unafiki nyie wanawake....mshumbushi matendo yake yakishetani sana...mwambie atubu kwanza....mtu amevunja ndo ya mtu we unamtetea????.....mwambie amrudie mumewe na aache mume wa mtu...anzia hapo kwanza....mengine ni unafiki tu...

Ukija upande wa wanawake nisingependa kumzungumzia mama Rose Kamili kwa heshima niliyonayo Kwake.

Swali ni moja, je walikuwa na ndoa ya Kanisani na Dr. Slaa?

Pili je kumuanika kila siku mume wake ndio kutamfanya mume amrudie au ndio anamkimbiza??? TAFAKARI.

Ni HERI kuishi darini kuliko kuishi na mwanamke mgomvi. Pia mwanamke mpumbavu huvunja nyumba Yake kwa mikono yake mwenyewe. Haya ni maneno yananihusu hata Mimi Kama mwanamke. Sijataja jina hapo. TAFAKARI

Queen Esther
 
mwita ke mwita

Hata shetani analijua neno, tena kwa kutetemeka. Pia alimjaribu Yesu kwa neno!!!

Hoja hapa ni SPIRITUAL MANIPULATION'

Queen Esther

We Queen vipi mwenzako akitumia mafungu ya biblia ni ya shetani mbona wewe umetumia mafungu ya biblia ile ile, tutajuaje kama hutumiwi na shetani kupitia neno.

Kabla ya kumwombea rafiki yako ili mapepo yamtoke mshauri kwanza atubu kwa kuishi na mme wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
We Queen vipi mwenzako akitumia mafungu ya biblia ni ya shetani mbona wewe umetumia mafungu ya biblia ile ile, tutajuaje kama hutumiwi na shetani kupitia neno.

Kabla ya kumwombea rafiki yako ili mapepo yamtoke mshauri kwanza atubu kwa kuishi na mme wa mtu.

Hivi unaweza kuthibitisha ndoa ya Dr. Slaa na Rose Kamili???
Mimi nimeshauri wote tuombe na Mungu atupe majibu.
Issue hapa ni SPIRITUAL MANIPULATION anayofanya Mch. Gwajima.
Queen Esther
 
Back
Top Bottom