Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Slaa aliwaambia ajisafishe si zugazuga ...wakabaki wanarukaruka ....nipeni list ya hao wabunge anaokuja nao ili tujue ni Asset au Liability....wakarukaruka ...... walivyoona ngoma nzito wanaeneza propaganda eti Josephine ndio kamkataza .....CDM yenye damu za watu imeuzwa kirahisi rahisi tu ...


CDM iliyokuwa na ilani ya kupinga ufisadi leo hii hawawezi kuongea tena mbele za watu neno ufisadi.....

Mbowe kauza chama ....
 
Nasikia Josefin anapenda sana serengeti boys.., Anakomba mshahara wote wa babu mihogo anapeleka kwa dogo dogo
 
Kama kweli unampenda mbona unashindwa kumwambia ajiombee kwanza kwa mungu apate kufunga ndoa maana mungu anachukizwa na uchafu anaoendelea kuufanya?

Soma vizuri nilichoaandika. Tumuombe Mungu AFUNUE MARINDA. Tuache kuhukumiana na kumdhalilisha Josephine wakati hao wadhalilishaji nao wanatuhumiwa kwa uchafu???.

Bwana Yesu hakuja kumdhalilisha mtu bali alikuja ili wote waifikie toba.

Mch. Gwajima amesema kila wakati alikuwa akienda kwa Dr. Slaa. Sijaona mahali amesema alienda kuwaongoza sala ya toba. Hata alipoingia kwenye kikao cha UKAWA. Sijaona mahali ameongoza watu sala ya toba.

Je alimshawishi Mhe. Mbowe aibadili Bilcannas iwe kanisa?? Mbona sielewi utumishi alioufanya Kama Mchungaji???

Mimi na wewe tuombe ila majibu yanatoka kwa BWANA.

Queen Esther
 
Khaa!! Lakini bado hili halisafishi UFISADI WA LOWASSA ambayo ndiyo hoja kuu ya Dr Slaa :glasses-nerdy:

Soma uzi kama unahusu hoja ya Lowasa,nimejibu uzi kama ulivyoletwa na mtoa mada,Nyinyi ndo mnaofeli mitihani
 
Soma vizuri nilichoaandika. Tumuombe Mungu AFUNUE MARINDA. ...
...
...
Hivi unaelewa ulichoandika lakini?
Unaelewa maana ya KUFUNUA MARINDA kwa lugha yetu ya mitaani?
Yaani tumuombe Mungu amfunue marinda Josephine?? Ili iweje Sasa?
Aisee muombe mwenyewe, labda ulimaanisha Mungi au mungu na sio Mungu.
 
Last edited by a moderator:
All TRUTH hajatudhalilisha,
ametoa fundisho mke wa slaa hata chumbani hasafishi,
ndipo Ngwajima akaamua kumtuma mama Mushi akamsaidie
Josephine kazi za ndani, aibu gani hii?

Watu wanatamba na mikorogo kumbe kitanda anatandikiwa
na mwanamke mwenzie.

KAMA KWELI GWAJIMA NI MCHUNGAJI NA AMEYATAMKA HAYA LAANA HAITAMUACHA HAKIKA. HICHO NDICHO ALICHOFUNDISHWA BIBLE SCHOOL????

Profile yako inaonesha ni mwanamke. Kama ni hivyo usitupe mawe kwa mwanamke mwenzio yasije yakakupata mabaya zaidi ya hayo.

Queen Esther
 
Hivi unaelewa ulichoandika lakini?
Unaelewa maana ya KUFUNUA MARINDA kwa lugha yetu ya mitaani?
Yaani tumuombe Mungu amfunue marinda Josephine?? Ili iweje Sasa?
Aisee muombe mwenyewe, labda ulimaanisha Mungi au mungu na sio Mungu.
AZIMA BIBLE JIRANI USOME MAANA YA KUFUNUA MARINDA.
PIA UNAWEZA KU GOOGLE MAANA NA MANENO HAYO YALISEMWA WAPI NA KWA KUSUDI GANI.
HAPO UTAELEWA.
USIWE MKRISTO WA KUNYWA MAZIWA TUU!! KULA NA MIFUPA.

Queen Esther
 
Soma vizuri nilichoaandika. Tumuombe Mungu AFUNUE MARINDA. Tuache kuhukumiana na kumdhalilisha Josephine wakati hao wadhalilishaji nao wanatuhumiwa kwa uchafu???.

Bwana Yesu hakuja kumdhalilisha mtu bali alikuja ili wote waifikie toba.

Mch. Gwajima amesema kila wakati alikuwa akienda kwa Dr. Slaa. Sijaona mahali amesema alienda kuwaongoza sala ya toba. Hata alipoingia kwenye kikao cha UKAWA. Sijaona mahali ameongoza watu sala ya toba.

Je alimshawishi Mhe. Mbowe aibadili Bilcannas iwe kanisa?? Mbona sielewi utumishi alioufanya Kama Mchungaji???

Mimi na wewe tuombe ila majibu yanatoka kwa BWANA.

Queen Esther
Kama hakuwasalisha sala ya toba, watafute wewe ufanye kazi hiyo..wala mtu mwenye Roho wa kweli wa Mungu hawezi kufanya mabishano haya unayofanya wewe...
 
Aliye msafi na awe wa kwanza kumrushia jiwe Josephine.

Suala la uzinzi kwenye ndoa za watu wengi ni bayana. Ni wanawake wangapi wamezaa watoto nje ya waume zao?? Refer ripoti ya DNA Test ya mkemia mkuu wa Serikali. Je ni wanaume wangapi wamezaa nje ya ndoa na wengine hata wake zao hawajui???

Kwanini ngoma inapigwa upande mmoja.

Pia sitaki kujadili personal life ya Dr. Slaa; issue hapa ni SPIRITUAL MANIPULATION" za huyu anayejiita mtumishi wa Mungu.

Queen Esther

Hakuna mwanadamu msafi duniani kama tunautafuta usafi ,ila hatuwezi kuhalalisha uovu kwa sababu ya uovu wa mtu mwingine.Hoja hapa haueleweki kama kweli ulilenga kumshauri mwanamke mwenzio au ulipanga tu kumshambulia mchungaji Gwajima.

Kama ulilenga kumshauri mwanamke mwenzio ungemshauri na tungekuelewa vema,pia hatuwezi kumjadili Josephine tukamuacha Slaa na mtibuaji wa yote haya ni Slaa kwa picha za nje lakini kwa ndani Gwajima ametueleza bayana tatizo na chanzo ni mwanamke.

Kwa suala la 'spiritual manipulation' ungetufafanulia ni kitu gani na kwa kuanzia hapo utakuwa unamshambulia Gwajima katika kutoa huduma zake....

Hivi Josephine ni mke halali wa Dkt Slaa ?.Tujibu hapo tafadhali.
 
Biblia inasema uzinzi usitajwe kati yenu.
Je uzinzi aliotuhumiwa nao Gwajima hujauona?
Mbasha ameomba mtoto akapimwe DNA Test. Mbona Flora amekataa???

Hiyo nakala ya cheti cha ndoa weka hapa kila mtu akione.

Queen Esther

Nnadhani hii sio hoja yako hapa ,kama vipi anzisha mada nyingine inayohusu haya ....
 
mwita ke mwita

Hata shetani analijua neno, tena kwa kutetemeka. Pia alimjaribu Yesu kwa neno!!!

Hoja hapa ni SPIRITUAL MANIPULATION'

Queen Esther

Nimeridhishwa na majibu ya Gwajima kwa Slaa. Jibu lisilopingika ni kuwa Slaa wa mwaka mmoja uliopita si yule tunaemwona sasa. TUMEMPOTEZA SLAA NI MALI YA JOSEPHINE.

Kama mwanamke mwenzie nafasi yenu ndani ya nyumba ni ipi? Ni spiritual au flesh? Ebu msome Ester kikamilifu ili umsaidie huyo Josephine
 
Back
Top Bottom