Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

Khaa!! Hoja kuu ilikuwa ni LOWASSA HAFAI KUWA RAIS KWA SABABU NI FISADI lakini mnaleta majibu ya kitoto sana
 


... Tunahitaji Mchungaji wa kutupeleka kwa Bwana Yesu Kristo ...


Kwenye siasa nitawaacha muendelee kubishana.

Point yangu iko hapo kwa kutegemea mchungaji wako akupeleke mbinguni/kwa bwana Yesu.

Kazi yake ni kukuonesha njia tu! Huko unajipeleka mwenyewe!
 
Slaa amrudie rose kamili..mke wa ujana wake
Slaa hawezi kuwa na amani kamwe kwa dhambi ya kuvunja sacrament za kanisa:
Atubu amrudie mke wake wa kwanza na watoto wake. Yoyote amwachae mke na watoto wake na kufuata zinaa apata laana.
 
Yawezekana ulikuwa na lengo nzuri ila umekosea uwasilishaji!

Ushaur wako kwa Josephine ni juu ya Gwajima zaid kuliko maisha yake ya hapa duniani (unamchukia Gwajima)

Mshauri aachane kwanza na mume wa mtu na amrudie mume wake halali hapo ndipo maisha yake yataenda sawa! Vinginevyo sahau!

Yanayoendelea sasa katika ulimwengu wa roho hiyo ni laana ya kiapo chake cha ndoa! Bila kutubu na kumrudia mumewe asahau!
Mtamuona mbaya kila mtu! (Kama kweli unamuombea basi muombee rehema kwanza )
 
Ila kwa mtazamo wangu askofu gwajima kawadhalilisha wanawake kama vile wao hawana maamuzi ndani ya familia.

Hajadhalilisha mwanamke, maana tuliambiwa ENYI WAKE WATIINI WAUME ZENU, na josephine alipaswa kutii hilo.
 
Aliye msafi na awe wa kwanza kumrushia jiwe Josephine.

Suala la uzinzi kwenye ndoa za watu wengi ni bayana. Ni wanawake wangapi wamezaa watoto nje ya waume zao?? Refer ripoti ya DNA Test ya mkemia mkuu wa Serikali. Je ni wanaume wangapi wamezaa nje ya ndoa na wengine hata wake zao hawajui???

Kwanini ngoma inapigwa upande mmoja.

Pia sitaki kujadili personal life ya Dr. Slaa; issue hapa ni SPIRITUAL MANIPULATION" za huyu anayejiita mtumishi wa Mungu.

Queen Esther

hivi huelewi kuwa slaa angepata urais hata baraza la mawaziri angepangiwa na mkewe? rais gani ambaye siku nyingine anaweza kukatazwa asiende ofisini?au hujajua kuwa angekuwa rais pangekuwa na mgogoro wa nani ndiye first lady halali? hujui josephine ni mchepuko?
 
Ifike mahala kama wachamungu tupinge kwa nguvu zote wanaume au wanawake kuishi na wanaume bila ndoa,leo hii unamshauri mushumbuzi kwa upeo wako lakin unasahau kuwa Penye dhambi mapepo ndyo makazi,

Mushumbuzi lazma afuatwe na pepo wachafu Hasa wa kibur na kisilan kwa kuwa hana ndoa, Siku nyingine njoo na makala ya kumshauri afunge ndoa
Mushumbusi alishafunga ndoa, sasa ushauri wa kufunga ndoa ipi? Mara ya pili? Labda abadili dini, huo ndo ushauri utakaomsaidia afunge ndoa tena.
 
mwita ke mwita

Hata shetani analijua neno, tena kwa kutetemeka. Pia alimjaribu Yesu kwa neno!!!

Hoja hapa ni SPIRITUAL MANIPULATION'

Queen Esther


Tatizo lako ni pale ulipojua jambo moja spiritual manipulation unadhani kila kitu ni spiritual manipulation, Je, Gwajima alikuwa anam manipulate nani. Kama ni mapepo aliyakemea, na ndivyo inavyotakiwa. Yeye ameelezea matukio yaliyotokea. Ungemwambia atubu na kuacha kukaa na mume wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe umeandika waraka kwa Josephine, cheti cha Rose hakihusiki hapa. Omba nakala ya cheti cha ndoa cha Josephine upewe fasta. Halafu hayo maombi yako kwa sasa hayawezekani maana mapepo yanayomsumbua ni ya uzinzi. Ili mapepo yatoke aachane na huyo mchumba akae peke yake au arudi kwa Mahimbo
Biblia inasema uzinzi usitajwe kati yenu.
Je uzinzi aliotuhumiwa nao Gwajima hujauona?
Mbasha ameomba mtoto akapimwe DNA Test. Mbona Flora amekataa???

Hiyo nakala ya cheti cha ndoa weka hapa kila mtu akione.

Queen Esther
 
FRONT.jpg
 
Gwajima aliutangazia umma wa Watanzania atamrudisha Amina Chifupa kwani amechukuliwa msukule. Je alimrudisha??? Je hiyo siyo spiritual manipulation???? Au huelewi hili neno??? Google basi usiwe mvivu.

Queen Esther

Tatizo lako ni pale ulipojua jambo moja spiritual manipulation unadhani kila kitu ni spiritual manipulation, Je, Gwajima alikuwa anam manipulate nani. Kama ni mapepo aliyakemea, na ndivyo inavyotakiwa. Yeye ameelezea matukio yaliyotokea. Ungemwambia atubu na kuacha kukaa na mume wa mtu.
 
Unawezaje kuongoza taifa wakati umeshindwa kuongoza familia yako, kazi kudandia wake za watu heri hata umeumbuka mapema, tengeneza ya nyumbani kwako kwanza ndipo uje kwa watu.
 
Ndiyo vizuri, na nyie wanaume mmkome;
unamwacha mke na watoto unaenda kuparamia miamba;

Ngoja huo msaada wa baba yao wa kambo ccm uishe ndipo
hapo watakapotii akili.

Mwenye akili ajifunze hapo;
Mamdenyi umemaliza! Badala ya kumwonea huruma mwanaume mwenzetu we unakandamiza. Haya bibie acha tukome!
 
U-festi ledi ni mtamu - umesababisha mzee wa watu kuingia lokapu bila kupenda.

 
badala umshauri akaombewe atolewe mapepo ya kwao unasema gwajima ndo anatumia nguvu za giza kama yeye josephne ana nguvu za nuru yaan yesu iweje nguvu za giza za gwajima ndo zimuangushea acha upagani ata wewe uanaitaji kuzaliwa sec.time

SPIRITUAL MANIPULATION

Queen Esther
 
All TRUTH hajatudhalilisha,
ametoa fundisho mke wa slaa hata chumbani hasafishi,
ndipo Ngwajima akaamua kumtuma mama Mushi akamsaidie
Josephine kazi za ndani, aibu gani hii?

Watu wanatamba na mikorogo kumbe kitanda anatandikiwa
na mwanamke mwenzie.
Ina maana Gwajima alishatinga hadi chumbani kwa Josephine? Kagenzi alikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom