Barua kwa Rais Jakaya Kikwete kuhusu Loliondo

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Hebu tuiangalie hii barua ya Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Afrika kwa JK kuhusu Loliondo. TUJADILI
 
Attachments

  • LOLIONDO_JK.pdf
    267.6 KB · Views: 189
Hebu tuiangalie hii barua ya Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Afrika kwa JK kuhusu Loliondo. TUJADILI
Abominable, disgusting and devastating!
Jasusi kama ulivosema kwenye topic fulani; Mkuu anapewa suti 30 kwa kila mwezi atafanya nini?
Hivi vi- Raisi vya hizi nchi zetu taabu kweli kweli. Hivi vi-nch ni kama factions, si kweli ni nchi. Mie naona chama kama sisiemu (CCM) ni kama Mafia fulani kama akina Tataglia na kina don Corleoane. Kweli tumeliwa na inabidi tulinywe!
 
Hivi wakuu wale wa The Hague wanao hangaika na Tyalor hawawezi kupata copy ya hili ama USA wanamtetea JK kwa kuwa wana kitu wanataka ?
 
vitu vingine unatamani hata usingevisoma, kweli haya ndiyo maisha bora kwa kila mTZ
 
Hivi wakuu wale wa The Hague wanao hangaika na Tyalor hawawezi kupata copy ya hili ama USA wanamtetea JK kwa kuwa wana kitu wanataka ?

Ukombozi wa nchi na watu wake uko mikononi mwa wananchi wenyewe, siyo US wala EU. Hao nao wanaangaikia maslahi yao; elewa dugu?
 
Ukombozi wa nchi na watu wake uko mikononi mwa wananchi wenyewe, siyo US wala EU. Hao nao wanaangaikia maslahi yao; elewa dugu?

Hahaha ukija juu unageuziwa kibao kama huamini waulize akina Mwakyembe umafia ambao CCM na serikali imekuwa ikiwafanyia watu wenye mawazo tofauti sasa unawarudia . Mwalimu alisema ukila nyama ya mtu utaendelea yaone CCM then linganisha na yale ya Loliondo
 
Hiki ndo kisiwa cha amani ati! yote haya ni kumfurahisha sultani Msaudia.
 
Hiki ndo kisiwa cha amani ati! yote haya ni kumfurahisha sultani Msaudia.

......Yes that's what we are preaching...and that's what we want the world to read and know us about....whiel behind the scene....we are doing the worst.....!
 
I think the letter by the chair is well drafted, and it poses a threat to the government, which is good lakini kama mtoa habari alivyodokeza, inaonekana serikali sio kwamba hawajajibu tuhuma tu kama walivyoagizwa lakini pia hawajamtuma mwakilishi kwenye mkutano , mimi nadhani mkutano unaoendelea sasa ungetoa tu tamko dhidi ya serikali kwa kuwa kwanza hawatoweza kusema kwamba hawajapewa "right to be heard" kwani wamejiharibia wenyewe kwa kutokwenda, na kutojibu tuhuma kama walivyoagiza na chair. Kwa maneno mengine ni kama wamekubaliana na tuhuma kwahivyo hukumu dhidi yao tu sasa ingetolewa ili pia iwe ni mfano kwa nchi yetu na zingine kwa kutokuheshimu au kujali Haki za binadamu na vyombo vya kimataifa pia viheshimike siku za usoni !
 
Back
Top Bottom