Abominable, disgusting and devastating!Hebu tuiangalie hii barua ya Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Afrika kwa JK kuhusu Loliondo. TUJADILI
Hivi wakuu wale wa The Hague wanao hangaika na Tyalor hawawezi kupata copy ya hili ama USA wanamtetea JK kwa kuwa wana kitu wanataka ?
Ukombozi wa nchi na watu wake uko mikononi mwa wananchi wenyewe, siyo US wala EU. Hao nao wanaangaikia maslahi yao; elewa dugu?
Hiki ndo kisiwa cha amani ati! yote haya ni kumfurahisha sultani Msaudia.