Barua kwa Mke Wangu...

Barua kwa Mke Wangu...

Tangu nijiunge na JF MENTOR ni moja kati ya watu ninaowakubali hususani kwenye hadithi zake tangu ile ya "sosoliso" kufumaniwa gest huku yeye akiwa manager wa gesti,MAMA PRINCESS,TANGA SITORUDI TENA na hii ya leo....daah sio siri mkuu we mkali ...nawait hadithi nyingine hapa...keep it up GT
 
Kumbe wasambaaa wanasaidia sana reehh, thanks I learnt something here. Tatizo ni kwamba shetani akishasimama hata hizi hadithi za Mentor hutaki kuzifikiria wala kuziamini yaani muda huo unaona nanihino tuuuuuuu. God bless the Woman by Lucky Dube
 
Last edited by a moderator:
true that AshaDii...ndoa ni taasisi yenye changamoto sana,na inayohitaji uvumilivu wa hali ya juu..na siku zote wanawake sie ndo tunavumilia mengine makubwa na magumu kama ya mume wangu Mentor..nakubaliana na wewe kwenye no 1-6 ila kwenye no. 7 hapana,ukimuamini mtu nusu nusu unakua hauna amani kabisa
na ukiamini sana napo ndo ivo unakua dissapointed

Thats my nun!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwani leo tarehe ngapi mwezi wa ngapi? na barua imeandikwa tarehe ngapi mwezi wa ngapi?
future possible tense iyo

Ohooo. Kumbe in future una mpango wa kuukana wito wako. Ahsante kwa taarifa.
 
Ablessed umenena kweli
kwa hali ya kawaida tu hakuna mwanaume anaeweza kumsamehe mke wake kwa jambo la aibu kama hilo,na hata kama anampenda kiasi gani,bado atafikiria watu wa nje watakavomchukulia incase akisamehe,watamuona ni mwanaume wa aina gani? heshima yake kwa jamii inayomzunguka na nduguze itakuwaje? lakini sisi wanawake huwa hatujali,Mungu katupa mioyo yenye kuhimili mikiki mikiki kutoka upande wa pili

Ila wa kwako ni zaidi mai waifu...
#loveU

Yani we Mentor wewe. Yani mi na wewe tunahitaji kuwa na serıous talks.

BTW huyo dokta kama mkeo angekuwa Heaven on earth sidhani kama angetoka salama. LOL

Siku zote nlijua mwallu ni sista wa Paroko.... kumbe kijana hatare sana weye

Shikamoo babu mpenda hela...na papucci!???
 
Tangu nijiunge na JF MENTOR ni moja kati ya watu ninaowakubali hususani kwenye hadithi zake tangu ile ya " sosoliso" kufumaniwa gest huku yeye akiwa manager wa gesti,MAMA PRINCESS,TANGA SITORUDI TENA na hii ya leo....daah sio siri mkuu we mkali ...nawait hadithi nyingine hapa...keep it up GT

Cc: Paloma. Mimi sijawahi kuandika hadithi kama hiyo dada...

Asante mkuu ding dong dantes
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wasambaaa wanasaidia sana reehh, thanks I learnt something here. Tatizo ni kwamba shetani akishasimama hata hizi hadithi za Mentor hutaki kuzifikiria wala kuziamini yaani muda huo unaona nanihino tuuuuuuu. God bless the Woman by Lucky Dube

Ahahaha tumeshazoea kuwaita washamba washamba ila wako poa...Thanks kwa kujifunza jambo mpwa Elli.

Huo wimbo mbona siufahamu mimi, mkuu BAK pliz do ze nidful!!!
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo babu mpenda hela...na papucci!???

Hela???Mi sipendi hela zitanipekeka moto. İla papuchi sawa. İle makitu ina sura mbaya sijawahi kuona lakini ni tamu isiyokinaisha. Yes, İ love pussy.
 
Hela???Mi sipendi hela zitanipekeka moto. İla papuchi sawa. İle makitu ina sura mbaya sijawahi kuona lakini ni tamu isiyokinaisha. Yes, İ love pussy.

Umesahau nilivyokudanganyia pesa ukasema kila kitu babu?

Ila kweli unapenda nyau kuliko pesa, yani umekataa AUDI A3 SPORTBACK kisa PUSSIE!??? we noma...
 
Umesahau nilivyokudanganyia pesa ukasema kila kitu babu?

Ila kweli unapenda nyau kuliko pesa, yani umekataa AUDI A3 SPORTBACK kisa PUSSIE!??? we noma...

Hahah hukunipata wewe. İnfact nilikuwa najua unajua. Ni rahisi sana kujua karne hii. İsitoshe sikuwa na sababu ya kuficha.

Take your AUDİ leave me and pussy alone. Life is too short. Kwanini nipoteze hela kununua fuel?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Khaa!
Ticha naona story ndefu sana na sijamalizia kuisoma! Ila nahisi ni kama ule wimbo wa Bahati Bukuku- Dunia haina huruma!
 
"God Bless The Women"

In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right

[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women

Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right

They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right

Ahahaha tumeshazoea kuwaita washamba washamba ila wako poa...Thanks kwa kujifunza jambo mpwa Elli.

Huo wimbo mbona siufahamu mimi, mkuu BAK pliz do ze nidful!!!
 
Kwa mbaaaali hii tamthiliya inataka kufanana na kisa cha kilichopata simuliwa na bahati Bukuku katika moja ya nyimbo zake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom