Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,327
Haya toa maoni yako mamii...!!!
Mkuu once again a great piece of artwork!
It made me visualize a lot of things...!
Haya toa maoni yako mamii...!!!
Jamani Mentor hivi unaoa lini?
Dhambi ya aina yoyote ni tamu sana lakini matokeo yake ndio huwa machungu
My dear happiness win, nitaoa Mungu akipenda 28/01/2017.
Hongera! hadi ifike tarehe hiyo utakuwa na fungu la wachumba! angalia usichague koroma