Barua kwa Mke Wangu...

Barua kwa Mke Wangu...

Yani we Mentor wewe. Yani mi na wewe tunahitaji kuwa na serıous talks.

BTW huyo dokta kama mkeo angekuwa Heaven on earth sidhani kama angetoka salama. LOL

Siku zote nlijua mwallu ni sista wa Paroko.... kumbe kijana hatare sana weye

mtake radhi mke wa Mentor ina maana hana ....................................

kuna sehem nakuhitaji..........
mwallu na mie namshangaa anasema ni mtawa kumbe kaolewa kabisaaaaaaa....
 
Last edited by a moderator:
Wimbo wa dunia haina huruma wa Bahati Bukuku naona kama ndiyo samari yake hapa!
 
Hahah hukunipata wewe. İnfact nilikuwa najua unajua. Ni rahisi sana kujua karne hii. İsitoshe sikuwa na sababu ya kuficha.

Take your AUDİ leave me and pussy alone. Life is too short. Kwanini nipoteze hela kununua fuel?

Ahahah ama kwa hakika babu Asprin wafanana sana na Dr. Chrispin wa hadithi yangu.

Khaa!
Ticha naona story ndefu sana na sijamalizia kuisoma! Ila nahisi ni kama ule wimbo wa Bahati Bukuku- Dunia haina huruma!

Jitaidi umalizie Mashaxizo...it's the same flow with a different conclusion!

Kwa mbaaaali hii tamthiliya inataka kufanana na kisa cha kilichopata simuliwa na bahati Bukuku katika moja ya nyimbo zake...
watu8 ulipotelea wapi kaka!??

It is but not the conclusion I believe...!

infact the original title to this story was: A LETTER TO MY WIFE...A COMEBACK AT BAHATI BUKUKU'S 'DUNIA HAINA HURUMA'
 
Last edited by a moderator:
Wimbo wa dunia haina huruma wa Bahati Bukuku naona kama ndiyo samari yake hapa!

Mkuu Aine, not exactly. Idea ilikuwa hiyo ya huo wimbo but We gave it a different perspective to it! So kusema in its entirety ni summary ya huo wimbo nadhani ni ku-mislead wavivu wa kusoma kama Mashaxizo, tinna cute na kalou.
 
Last edited by a moderator:
watu8 ulipotelea wapi kaka!??

It is but not the conclusion I believe...!

infact the original title to this story was: A LETTER TO MY WIFE...A COMEBACK AT BAHATI BUKUKU'S 'DUNIA HAINA HURUMA'

Naam ndio huo wimbo nilikuwa nikijaribu kuukumbuka pasipo mafanikio...

Nipo mkuu, ila sipo sana jukwaani kama wakti uliopita...
 
Ahahah ama kwa hakika babu Asprin wafanana sana na Dr. Chrispin wa hadithi yangu.

Jitaidi umalizie Mashaxizo...it's the same flow with a different conclusion!

watu8 ulipotelea wapi kaka!??

It is but not the conclusion I believe...!

infact the original title to this story was: A LETTER TO MY WIFE...A COMEBACK AT BAHATI BUKUKU'S 'DUNIA HAINA HURUMA'

Mependa sana hiyo daktari. İnapenda shimo kuliko audi.

Pussy tamu jamani.
 
Last edited by a moderator:
Ablessed umenena kweli
kwa hali ya kawaida tu hakuna mwanaume anaeweza kumsamehe mke wake kwa jambo la aibu kama hilo,na hata kama anampenda kiasi gani,bado atafikiria watu wa nje watakavomchukulia incase akisamehe,watamuona ni mwanaume wa aina gani? heshima yake kwa jamii inayomzunguka na nduguze itakuwaje? lakini sisi wanawake huwa hatujali,Mungu katupa mioyo yenye kuhimili mikiki mikiki kutoka upande wa pili
Ni kweli wa kwetu mwanamke amebeba jukumu kubwa sana hasa kwenye haya maisha ya ndoa. Lawama na masimango toka upande wa pili ni mengi wakati mwingine anakua kapitia yote haya lkn wa upande ule hupenda kusahau yote pindi huyu mama anapokosea kidogo tu. Great is his mercy towards women and may the power of his love flow to everyone of us, blessed is His Name forever and ever Amen.
 
Ni nzuri lakini anasema amefunga ndoa 28.02.2017
 
Mentor kwahiyo mkeo mwallu ndio alimsimulia bahati bukuku hiki kisa??? maana alichokiimba kisa cha kweli kilichomtokea shogaake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom