Barua kwa Mke Wangu...

Barua kwa Mke Wangu...

Nice story Mentor!!ni somo zuri kwa watu wanaoendekeza uzinzi na kutoka nje ya ndoa hata kwa sisi ambao hatujaingia kwenye ndoa,majaribu na misukosuko wanayopitia wanandoa ni foundation nzuri ya kujenga uhusiano madhubuti na imara kwasababu unachallenge subira na uvumilivu wao,pamoja na kujiifunza mapungufu ya wenza hao!
  • Ustahamilivu na kusameheana ni mambo muhimu sana kwenye mahusiano yoyote. mwallu has a big heart and true love it takes a lot of courage to go through what she did and still hold on and stay strong...ijapokuwa Mentor alinogewa na kusahau hata kwanini alimuoa yule alomuoa na si huyo mlimbwende mwengine!TAMAA MBELE MAUTI NYUMA!!Ni vyema tukajifunza jinsi ya kudhibiti tamaa zetu za kimwili!
  • Ndugu sio watu wakutegemea 100% ukiwa na matatizo ndio unaona utu wa watu.. Ndio maana wazungu wanasema familiy ni wife,husband and children hao wengine ni relatives.
  • Ulifanya jambo la maana kuandika ile barua ya wosia..cause you can never predict the future so we should always be prepared for anything..like having enough savings now while we flourishh..
  • Felix is a true friend,sio sifa kuwa na marafiki chungu nzima,binafsi bora niwe na rafiki mmoja tu ambae namuamini na najua ni rafiki wa kweli AKUFAAYE KWA DHIKI NDIO RAFIKI
 
Ablessed na Heaven on earth nawaapia na ajitokeze mwanaume atakayejibu kuwa atamsamehe mkewe kama mwallu alivyonifanyia....iDoubt kama yupo. Women r a special kind of creation. #respect

Afu we heveni umenieka pending sana ujue....bin waiting tangu juz sio furesh ivo.
Thank you so much kwa kuwa mkweli . Wanawake ni viumbe tofauti sana Eeee Mungu wabariki wanawake wote na uwaongezee moyo wa kusamehe na uvumilivu zaidi.
 
Ablessed na Heaven on earth nawaapia na ajitokeze mwanaume atakayejibu kuwa atamsamehe mkewe kama mwallu alivyonifanyia....iDoubt kama yupo. Women r a special kind of creation. #respect

Afu we heveni umenieka pending sana ujue....bin waiting tangu juz sio furesh ivo.

Thanks kwa ku appreciate who we are (Women)..we tend to forgive so easily

Heveni is such a bad girl....am sure she will fix it by tomorrow...
 
Barua ina maneno yenye ukweli wa asilimia zaidi ya 69% kwa wanaume.

Mke wangu kipenzi
(hata sidhani kama
bado nastahili kukuita hivyo!), kama yote
yakishindikana
tafadhali usifanye
jambo lolote zaidi ya
hilo litakalokufanya
ujutie maisha mbeleni. Ni heri uniache nife
kwa dhambi zangu
kuliko kutenda dhambi
nyingine kuniokoa mimi.

Najua ulivyo mzuri
mke wangu, Asante. Watakutongoza wengi
wakati huu wakijua
una shida, tafadhali
sana mke wangu
usiwakubalie. NARUDIA
TENA, ‘NI HERI NIFE KWA DHAMBI ZANGU
WALAU NITAKUWA MFANO WA KUTOIGWA KWA WENGINE TABIA KAMA YANGU.’
 
hii story inafanana na wimbo mmoja huwa nausikisikia kaimba mwanamke sijui anaitwa nani....wimbo mrefu sana,kwenye AUDI yule dada aliimba VOGUE....
 
hii stori ni wimbo wa dada mmoja sijui anaitwa nani.....kwenye AUDI yule dada aliimba VOGUE....story na wimbo ule ni sawa kabisa sijui nani kaiba kwa mwenzie....
 
...Very true Mkuu Mentor halafu penzi likakolea kupita kiasi...Ukiwaambia watu nilikutana na mupenzi wangu wa moyo Bar wanakuangalia kama hawakuelewi vile.....Chezeya Penzi weye!!!! Una kipaji kikubwa sana Mkuu cha uandishi, usinisahau kunipatia copy utakapoamua kuandika kitabu chako cha kwanza.




...(We found love in a hopeless place…Rihanna Cc: BAK).



 
Last edited by a moderator:
hii stori ni wimbo wa dada mmoja sijui anaitwa nani.....kwenye AUDI yule dada aliimba VOGUE....story na wimbo ule ni sawa kabisa sijui nani kaiba kwa mwenzie....

Story inafanana kabisa na wimbo wa bahati bukuku usikilize utaskia yote hayo aliyesema anaenda nje ya nchi alikuwa anaenda kuangalia mpira ila hongera mtoa mada kwa kuweza kuielezea vizuri
 
Mahir: Mento mke wa mtu sumu.
Mento: Aaaa, wapi! Mi nina maziwa.
Ona sasa, sijuwi maziwa yamekatika na kuwa mtindi. Ila ndiyo siku ya kufa nyani tena ivoo....

Siku ya kufa nyani miti yote haikubali idandiwe
 
Mentor you are so strategic like PK!!mwallu sijui kama atakataa tena hapo ,kwa sababu kapata bonge la bwana!!
 
Usiwe mvivu kama babu Asprin wewe...isome umuite na mumeo Erickb52 na mashemeji zako Arushaone na Filipo na LiverpoolFC waisome...maana yaweza wakuta haya!



Salaam dada AshaDii,
I am humbled and thanks for the contribution.

Ila shukran kubwa na za kipekee zimwendee mke wangu kipenzi mwallu ( Cc: Kaizer na mwekundu ) kwa kunikubali hata baada ya yote haya...love u babes, I certainly will make it up to u soon.

Teh teh finally the deal accomplished...........khaaa utawa umewekwa kando we kijana Mentor mbayaaaaaa yaani umeulainisha mkate woote............hadi akina baba paroko wanashangaa umepitia wapi kwenye kuta au kwenye nyufa!!
 
ni kweli kabisa mimi49
bila kusameheana na kuvumiliana hakika ndoa inakua mashakani tu
Nice story
Mentor!!ni
somo zuri kwa watu wanaoendekeza uzinzi na kutoka nje ya ndoa hata kwa
sisi ambao hatujaingia kwenye ndoa,majaribu na misukosuko wanayopitia
wanandoa ni foundation nzuri ya kujenga uhusiano madhubuti na imara
kwasababu unachallenge subira na uvumilivu wao,pamoja na kujiifunza
mapungufu ya wenza hao!
  • Ustahamilivu na kusameheana ni mambo muhimu sana kwenye mahusiano
    yoyote.
    mwallu
    has a big heart and true love it takes a lot of courage to go through
    what she did and still hold on and stay strong...ijapokuwa
    Mentor
    alinogewa na kusahau hata kwanini alimuoa yule alomuoa na si huyo
    mlimbwende mwengine!TAMAA MBELE MAUTI NYUMA!!Ni vyema tukajifunza jinsi
    ya kudhibiti tamaa zetu za kimwili!
  • Ndugu sio watu wakutegemea 100% ukiwa na matatizo ndio unaona utu wa
    watu.. Ndio maana wazungu wanasema familiy ni wife,husband and children
    hao wengine ni relatives.
  • Ulifanya jambo la maana kuandika ile barua ya wosia..cause you can
    never predict the future so we should always be prepared for
    anything..like having enough savings now while we flourishh..
  • Felix is a true friend,sio sifa kuwa na marafiki chungu nzima,binafsi
    bora niwe na rafiki mmoja tu ambae namuamini na najua ni rafiki wa
    kweli AKUFAAYE KWA DHIKI NDIO RAFIKI
 
Last edited by a moderator:
Mentor hii Kweli ni story na kwa Kweli ina kila sababu ya kuwa kwenye hili jukwaa na sitakuwa na la kuongeza maana AshaDii kashamaliza yote
Ndoa na iheshimiwe na watu wote na kumpata mke mwema na atakayekupenda haswa katika kipindi kigumu na cha shida ni jambo jema sana
Naona unapredict kitu kitakachotokea baada ya miaka miwili ya ndoa yako ila angalia yasikupate Kama haya uliyoyaandika mkuu Mentor
 
Last edited by a moderator:
Mahir: Mento mke wa mtu sumu.
Mento: Aaaa, wapi! Mi nina maziwa.
Ona sasa, sijuwi maziwa yamekatika na kuwa mtindi. Ila ndiyo siku ya kufa nyani tena ivoo....

Kweli sumu mkuu usijaribu kuonja...

pretty artistic style,,hongera xana mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie,,ila leo hii kupata mwanamke kama huyo sijuii wote candyshop"after money"

Si wote mkuu kuwa mvumilivu utafutapo utampata mwallu wako nawe...

hii isikupate 2. . .let it be as story to us.

Amen to that...yapite mbali mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom