barua kutoka gerezani

omahabuba

Member
Mar 16, 2011
6
1
Mzee mmoja alimwandikia barua mjukuu wake aliyekuwa gerezani.
MJUKUU wangu,msimu huu ctoweza kupanda mahindi kwa kuwa cna nguvu ya kulima na wewe ambaye ungenisaidia upo gerezani.
MJUKUU wake kupata ile barua akamjibu BABU UCDHUBUTU KULIMA LILE SHAMBA MAANA ZILE MIL 80 NILIZOIBA NIMEZIFUKIA HUMO SHAMBANI. mapolisi walipoisoma ile barua ikabidi waende kulitufua shamba lote,kumbe hakukuwa na zile pesa wala nin.
baada ya wiki mjukuu akamwandikia babu barua sasa unaweza kupanda mahindi
hata kama niko mbali ninaweza kukusaidia babu.


@ im jst new comer bana naomba makaribisho yenu.
 
Hii mbona ilishaletwa humu na tukacheka....

Ila Karibu Sana Mkuu
 
copy and paste the mgeni, anyway nxt time uwe unaangalia tread za nyuma ka stori unayotaka kuandika hujaitunga wewe on dat unaiandika humu ila umeisikia sehemu
 
Back
Top Bottom