Barrick yaweka masharti kulipa Dola milioni 300

Nilimeelewa sana zito kabwe alipozungumza kua tuwaite ma kontrakta wawe wanachimba tu nasi tuwalipe gharama za uchimbaji. Then kinachopatikana ni mali yetu sisi na tutajua wenyewe tugawane ama tuiuze.
 
Hayo masharti na mengine nilitasoma jana kwenye mtandao wao, nikajisemea mchakato upo kama katiba mpya ambapo muafaka haukufikiwa.
 
Lakini Barrick ikasema: “Mgao wa asilimia 50 za Serikali utahusisha mrabaha, kodi na asilimia 16 ya hisa itakazopewa kukidhi matakwa ya sheria mpya za madini.”
 
Itakuwa ni kituko kukubali masharti ya barrick ya kuruhusiwa kusafirisha mchanga uliozuiliwa ili watoe hizo bilioni 700. Huwezi kuonyesha nia njema kwa kuweka masharti.
Halafu mchanga huo wanaotaka waruhusiwe kusafirisha una dhahabu yenye thamani kubwa kuliko hizosh 700 bilioni!

Wanachotaka barick ni sawa na MTU aliyekuwa amekuahidi kukupa kuku lakini akasema ili nikupe kuku inabidi unipe ng'ombe kwanza!
Hawa ni Wa kukemea kwa nguvu zote, maana wameamua kumjaribu rais wetu! Wakome na wakome kabisa!
 
Naona hafla mubashara nyingine ikinukia state house, kuipa mbinu mpya kamati
 
From my perspective,

In the true economic war,it is the national na investors interest first; but with the national interest always ahead.

However,when policians are involved; it is the national and investors interest first; but with the political interest always ahead.

Hili ndio tatizo kubwa.
 
Hawa barrick hawana adabu! Wanataka kutudhalilisha! Wanaona sisi ni maskini sana kiasi ambacho wanadhani tutachanganikiwa na hiyo takrima ya sh 700 bilioni kiasi cha kuruhusu mchanga wenye madini yenye thamani ya matrilioni wausafirishe!

Tutashangaa sana kama serikali itakubali hilo, itakuwa ni aibu ya mwaka!

Pendekezo languished: Wapewe ultimatum ya wiki 2 wawe wametoa hizo 700 bilioni vinginevyo wafungashe virago! Hawana adabu na hawana haya! Wanataka tukubali pungufu ya bilioni na tuwape kibali cha kupora matrilioni yaliyoko kwenye makinikia!
Tusikubali!
 
DINOSAUR si alisema haongei na wapambe anaongea na wamiliki wenyewe......hivi billion 700/= unadhani ni mchezo eeh!!
Endeleeni kusubiri meli airport
 
Back
Top Bottom