shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,153
Zito kauliza swali zuri sana nani mmiliki wa madini pale ardhini, jibu linapatikana kwenye mkataba.
Sasa kama mkataba unasema kilichopo ardhini ni mali white man imekula kwetu muwape makinikia yao.
Jamaa wanaangalia mkataba unasemaje.
Sizonje lazima adili na mikataba vinginevyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu.