Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
kwa mbaali naanza kuiona jamii ikikubali maoni ya Zitto
Ayafanyie nini?Au ana uwezo wa kujenga plant ya uchenjuaji hapa bongo?mbwa kala mbwa.. si walikubaliana kuwa wanajenga kinu hapa hapa? hawa jamaa wameshachoka.. bro Magu haya madini mpe Kagame
Siku ya pili alitoa ufafanuzi zaidi ikisema: “Mgawanyo wa asilimia 50 kwa 50 wa faida ni baada ya tozo na kodi nyingine zote kulipwa. Kwa ujumla, Tanzania itapata asilimia 70 na Barrick asilimia 30. Kwingineko wanagawana asilimia 50 kwa 50 zikiwamo kodi, sisi tulikataa hilo.”
Lakini Barrick ikasema: “Mgao wa asilimia 50 za Serikali utahusisha mrabaha, kodi na asilimia 16 ya hisa itakazopewa kukidhi matakwa ya sheria mpya za madini.”
Si mlisema kwenye ule mchanga hakuna madini? Au siho nimyi?[emoji28][emoji28][emoji28] Maigizo tu mwisho wa siku hayo makontena yenye Dhahabu na madini mengine ya Wizi lazima yasafirishwe. Hiyo dola mil 300 inatoka humo humo, then Tunaendelea kudanganyana na kuendelea kuita press conference za kuwapumbaza wa Tz
Wakati kama huu ndo naanza kukumbuka maneno ya Mwanasheria Msomi Tundu Lissu kuhusu Raisi kuzuia makinikia kwa kukurupuka.
......na penati si goli!!Mbona Mh Rais alisema walipe haraka hizo hela yeye ana kazi nazo, itakuwaje sasa?
Kweli Posa si Ndoa.
Huu ni ubabe wa kipuuzi na kama unao hata wewe jua una ubabe wa kipuuzi!!Navyomjua Magu Muda Si Mrefu atatangaza kuitaifisha migodi yote. Subirini muone!!!! Huyu Mkoromije bado ana ubabe wa kisukuma ambao ni asili yetu. Hatupendi madharau especially pale tunapokuwa na madaraka!!!
[emoji15] mmeanza lini kutusikiliza, nyie si huwa hamshauriki?Si mlisema kwenye ule mchanga hakuna madini? Au siho nimyi?
patachimbika mkuu sio kirahisirahisi, vita ni vita mura!Ukipenda Boga penda na ua lake. Kama wanataka kuchimba madini na yatawapa faida waendelee na kazi na kama wanaona hailipi na kodo inawabana waondoke tu.