Barrick Gold kuuzwa...

Barrick to leave Tanzania

By Staff writer

19th August 2012

As Chinese mining giant eyes ABG's 74pc stakes

Buzwagi Gold Mine is one of the mines owned by African Barrick Gold Tanzania
African Barrick Gold (ABG) may pull out of Tanzania and Africa as well should the deal to sell its 74 percent stakes to a Chinese owned mining giant sail through, the global authoritative financial newspaper-Financial Times-reported on Friday.

According to the Financial Times, China National Gold, the state-owned miner, is in talks to buy Barrick Gold's stake in London-listed African Barrick, in a move that could lead to a full takeover and underscores the interest of Chinese miners in acquiring international assets.

Barrick Gold Corporation confirmed on Thursday that it was in preliminary talks about its 74 per cent holding in African Barrick, prompting an 8 per cent jump in the shares of Tanzania's largest gold miner to 425.13p, the Financial Times newspaper reported on Friday.

"Discussions are at an early stage," Barrick said, adding that there is no certainty the two sides will reach a deal.

Contacted by the Guardian on Sunday yesterday, the Permanent Secretary in the Ministry of Energy and Minerals, Eliakim Maswi said: "We are aware about the deal, but we are still waiting for official notification from ABG.

"We got the news yesterday, but so far we can't give any further details because we haven't been informed official," the PS said.

Deo Mwanyika, ABG's senior Vice President responding to the Guardian on Sunday through text messages wrote: "The Chinese have just shown interest and we are still in preliminary talks … but it's not true that the company has been sold."

Financial Times reported that Barrick has been working with investment bank UBS to consider a sale of its African Barrick stake, according to people familiar with the matter, which would trigger a full takeover offer for the London company under UK rules.

Zijin Mining Group, another state-backed Chinese company, which has been seeking a higher profile on the world stage, had expressed an interest in African Barrick, according to the Financial Times.

But Zijin's preliminary approach was not considered sufficiently attractive to merit further consideration, they added, and the Canadian group was now talking only to China Gold.

Wu Zhanming, head of the overseas operations department at China Gold, confirmed the talks: "We are in a very preliminary phase of contact and discussion [with Barrick Gold Corporation]."

China Gold, the country's largest gold producer, focuses on non-ferrous metals including gold, silver, copper and molybdenum and is directly controlled by China's central government.

Should any party acquire more than 30 per cent of African Barrick, the buyer would have to make an offer for the whole company, under UK rules. If an offer for the company materialises – either from China Gold or another party – a committee of African Barrick's independent directors would be charged with safeguarding minority owners' interests.


African Barrick was floated in London by its parent in 2010 at 575p a share. But the miner has since struggled to hit production targets and has been battling power disruptions in Tanzania, which have also pushed up costs.

Tanzania investors lost their shot at a piece of the $1billion Initial Public Offering (IPO) for African Barrick Gold in March 2010, in large part because the government failed to bail out the public investment fund that could have bought shares in bulk and then sold them off locally.

Barrick was selling 100 million shares – which represented only 25 percent of the firm since the Canadian-based company retains 75 percent ownership of ABG.

Major investment firms JP Morgan Cazenove and Morgan Stanley in London handled the IPO, decreasing the likelihood that average Tanzanians would come even close to a share before investment bankers handling international hedge funds had picked over them.

With about 17million ounces in reserves, the sheer size of Barrick's resource base could be appealing to possible buyers, as could the miner's sizeable position in Tanzania to other African miners seeking diversification.

According to its half-year report for the six months ended 30 June 2012, ABG produced 297,742 ounces of gold down by 14 percent compared to similar period last year-attributing the low production with lower grade material mined at Buzwagi, waste stripping at North Mara and batch processing at Tulawaka.

According to the half -year report, ABG's revenue was US$534 million, down by 8 percent compared to similar period in 2011.

If the Chinese deal sails through, ABG will have walked into the path of its predecessors, Placerdome of Vancouver Canada, and Kahama Mining Corporation. The two companies came to Tanzania, did exploration, established gold mines, but sold everything at a profitable amount and left the Tanzanian government in the cold about six years ago.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 

If the Chinese deal sails through, ABG will have walked into the path of its predecessors, Placerdome of Vancouver Canada, and Kahama Mining Corporation. The two companies came to Tanzania, did exploration, established gold mines, but sold everything at a profitable amount and left the Tanzanian government in the cold about six years ago.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

Then came land grabing, then uranium, then the hunting blocks, then corruption, and lastly rampant stealing And all this time the government of Tanzania stayed in the cold and stayed in the cold ever after.

And that is the end of the story
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Easy come easy reap the resources at the expense of ignorance,greediness of our so called leaders having off course maximize your potential list your investment in the capital markets not our local capital market since it is way below their standard requirements,then sell you stake preparing for a strategic exit and takeover whilst leaving nothing to cherish out of the huge capital investments to the locals especially those surrounding the targeted resources my poor Tanzania.I'm afraid the take over bid will see hands switch with little or nothing in government coffers save for 10% cuts as they normally do(business as usual) and the same only to be stashed in offshore bank accounts hopefully to be reinvested in the foreseeable future for the benefit of their future generations,taking their sons and daughters to best schools/colleges abroad hopefully to be our next leaders whilst nationals are shading tears out of the escalating cost of living let alone affording daily meal to their crying infants.
Strikes are all over visibly to be seen,the scale of justice infested with injustice to protect minority interests and to dispense justice on government directives,interests.
 
Hawa walizoea kupitia mlango wa nyuma na kuweka kitu kidogo kwenye account za Uswiss za wakuu, sasa mambo hadharani wameamua kuachia kabla ya kufumuliwa siri zaidi. Tusome ishara za nyakati.
 
Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na mafisadi. TRA wanaweza kupigwa bao lingine inadaiwa jamaa wanataka kuuza hizo hisa zao 75% kati ya ya $2.3 billion hadi $2.7 billion TRA wanaweza wasikusanye hata senti moja!! ikawa kama mchezo uliochezwa na Airtel waliponunua Zain Africa.

Hawa walizoea kupitia mlango wa nyuma na kuweka kitu kidogo kwenye account za Uswiss za wakuu, sasa mambo hadharani wameamua kuachia kabla ya kufumuliwa siri zaidi. Tusome ishara za nyakati.
 
Ndio maana Mwanyika anajiandaa kuicha Barrick na kuingia kwenye Ubunge ameshaona wachina wakiingia hatoweza kupata mshahara mkubwa kama anaoupata sasa. Pole kwa wafanyakazi kwani mchina ni nouma ataslash mishahara mara mbili ya mnavyopata. Angalia investment za kichina zote zina matatizo hapa bongo.
 
Baada ya kula na kushiba sasa wanatapika, kwa kweli hawa wazungu ni afadhali hata enzi ya ukoloni
 
Nahisi hawaondoki ila watabadilisha jina la biashara yaleyale from sheraton to royal palm to morvernpick now serena! Usanii mtupu!
 
Nahisi hawaondoki ila watabadilisha jina la biashara yaleyale from sheraton to royal palm to morvernpick now serena! Usanii mtupu!

Hilo nalo linawezekana kabisa...maana yule Muhongo katika kauli yake ya hivi karibuni alisema makampuni yote ya uchimbaji wa madini ambayo yako nchini kwa miaka mitano au zaidi ni lazima yalipe hiyo kodi ya 30%. Si ajabu hawa jamaa wanataka kufanya utapeli kama vile wanauza kumbe ni wale wale!!! Na hii Serikali DHAIFU isivyo makini kwa utapeli unaofanywa na "wachukuaji" hili linawezekana kabisa.
 
BAK jana nilikuwa naongea na friend of mine yeye ni mtu wa ndani sana huko barrick ishu ni kwamba hawa wazungu wanawapa chinese kwasababu ya iyo ongezeko la 30% ya mrahaba wanadai hauna faida ila kiukweli wamesha vuna sana na istoshe wakitoa iyo 30 bado wanabaki na faida kubwa tu ila wameona like madini yanataka kuisha sasa wasifanye kwa faida ndogo wameamua kusepa.

sasa hawa wachina watakuja na vibarua vyao ama? manake wataachisha kazi wazalendo wengi tu kama ujuavyo walivyo hawa.
 
Who cares? I gues, someone is thinking that CCM does. No I wanted to say CCM thinks for us!
 


Barrick
to leave Tanzania


By Staff writer

19th August 2012

As Chinese mining giant eyes ABG's 74pc stakes

Buzwagi Gold Mine is one of the mines owned by African Barrick Gold Tanzania

African Barrick Gold (ABG) may pull out of Tanzania and Africa as well should the deal to sell its 74 percent stakes to a Chinese owned mining giant sail through, the global authoritative financial newspaper-Financial Times-reported on Friday.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY


??????? to leave Tanzania siyo may leave?


misuse of

the right to inform it looks like!

 
Matatizo yote haya ni kutokana na Serikali DHAIFU. Sioni kwa nini wawekezaji wanapoingia nchini eti wapewe miaka mitano ya kuvuna utajiri wa Watanzania bila kulipa kodi. Mwekezaji/mchukuaji anaingia nchini kuja kuvuna rasilimali za Tanzania iwe dhahabu, Tanzanite, Almasi, Uranium, Gas n.k. ni lazima atozwe kodi mara tu anapoanza shughuli za uchimbaji wa madini hayo.

Angalia hawa Barrick wamevuna dhahabu yetu kwa miaka 12 bila kulipa kodi. Walisaini mkataba mwaka 2000 wakati huo bei ya ounce moja ya dhahabu katika soko la dunia ilikuwa $220 lakini miaka ya karibuni bei ikapanda hadi kufikia karibu na $2,000 kwa ounce!!! karibu mara 10 ya ile bei ya mwaka 2000 wao na shareholders wao walineemeka sana kutokana na ongezeko hilo la bei lakini Tanzania na Watanzania hawakufaidika na hata senti moja. Sasa wanaambiwa waanze kulipa kodi wanaanza kutafuta visingizio vya kutaka kuondoka nchini mara matatizo ya umeme kama vile hawakuyaona matatizo hayo ambayo yapo nchini tangu walipoingia mwaka 2000

Wanachofanya ni wizi lakini Kikwete pamoja na kuahidi katika kampeni za 2005 kuibadilisha mikataba hiyo ili iwe na maslahi kwa Watanzania kaendelea kukenuakenua tu miaka yote hii si ajabu naye ni mmoja wa shareholders wa Barrick.
 
Hawa walizoea kupitia mlango wa nyuma na kuweka kitu kidogo kwenye account za Uswiss za wakuu, sasa mambo hadharani wameamua kuachia kabla ya kufumuliwa siri zaidi. Tusome ishara za nyakati.

Let them go....walizoea shortcuts kwa kweli na sishangai kama wameaona mambo yanavyobadilika kwa kasi na kuamua kuanza move yao mapema iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom