Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Kuanzishiwa VAT wanakimbia na bado tutakutana nao the hague kwa kunywesha watu sumu maeneo kuzunguka migodi
Hilo ndio neno! Hawa CCM wanatuibia kiuuwazi. Mhongo ni CDM huyooo!
Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA.
Tunakumbuka kuvuta shuka wakati kumekucha..Hawakuona haya matatizo ya umeme wakati bei ya gold ilipukuwa inapanda, sasa bei inaanza kushuka ndio matatizo yameanza kuonekana!Muhongo kaza uzi baba ni bora umewashtukia hao wezi wa madini yetu. Ni lazima walipe kodi. Wamezoea vya kunyonga SASA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA.