Weka oil ili usipate mchubukoSishangiliii naumia kwakuwa tumepigwa tena... Na mbaya zaidi tumedhihirisha ujuha wetu as if Barrick ndio pekee wenye kuweza hiyo kazi
Jr
Wengine kufanya vitu vingi kwa wakati moja hatuweziLeo kila Mtanzania anayejua tulikotoka na tunakotaka kwenda, anajua, mikataba 9 ya utekelezaji iliyosainiwa leo, ina maana gani kwa nchi hii.
Sasa kwa kifupi, wale wazee wa MIGA, povu ruksa, akina Shangazi ambao walikuwa na mikataba na Acacia ya kupiga hela, Acacia kazikwa, leo povu ruksa.
Akina machunusi waliokuwa wanapiga hela na Acacia na Barrick ya zamani, povu ruksa na kwa wote watakaoumia na hili povu ruksa.
Kwa wapenda amani na maendeleo furahini, kuleni bata. Sawa???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanini usiweke point ili kuonesha ni jinsi gani tumepigwa ili na sisi wajinga tujue?Sishangiliii naumia kwakuwa tumepigwa tena... Na mbaya zaidi tumedhihirisha ujuha wetu as if Barrick ndio pekee wenye kuweza hiyo kazi
Jr
Weka oil ili usipate mchubuko
Zile noaKwanini usiweke point ili kuonesha ni jinsi gani tumepigwa ili na sisi wajinga tujue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu tuwekee hapa makubaliano yalisainiwa hapa.Leo kila Mtanzania anayejua tulikotoka na tunakotaka kwenda, anajua, mikataba 9 ya utekelezaji iliyosainiwa leo, ina maana gani kwa nchi hii.
Sasa kwa kifupi, wale wazee wa MIGA, povu ruksa, akina Shangazi ambao walikuwa na mikataba na Acacia ya kupiga hela, Acacia kazikwa, leo povu ruksa.
Akina machunusi waliokuwa wanapiga hela na Acacia na Barrick ya zamani, povu ruksa na kwa wote watakaoumia na hili povu ruksa.
Kwa wapenda amani na maendeleo furahini, kuleni bata. Sawa???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo sasa...Wengine kufanya vitu vingi kwa wakati moja hatuwezi
Tunauliza waziri anaweza kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya rais na kusaini mkataba wa zaidi ya trilioni 1 ya Tanzania?
Watakuja na tenzi mpya za kutaka kuonesha nao waliwahi kuyataka hayaLeo kila Mtanzania anayejua tulikotoka na tunakotaka kwenda, anajua, mikataba 9 ya utekelezaji iliyosainiwa leo, ina maana gani kwa nchi hii.
Sasa kwa kifupi, wale wazee wa MIGA, povu ruksa, akina Shangazi ambao walikuwa na mikataba na Acacia ya kupiga hela, Acacia kazikwa, leo povu ruksa.
Akina machunusi waliokuwa wanapiga hela na Acacia na Barrick ya zamani, povu ruksa na kwa wote watakaoumia na hili povu ruksa.
Kwa wapenda amani na maendeleo furahini, kuleni bata. Sawa???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwenye sanduku la kura #MagufuliChaguoLetu #T2020JPMMkuu, mambo 'ndivyo sivyo'.
Niliamini wanasiasa na wanasheria waliobashiri kuwa Acacia wataishitaki TZ kwa kukiuka mikataba na kuzuia makinikia. Wengine wakatoa ushauri, Acacia waruhusiwe kuchukua makinikia kwakuwa TZ hatuna uwezo wa kuyachenjua.
Wahenga walisema, kwenye ukweli uongo hujitenga. WaTZ yetu macho, tutakutana kwenye sanduku la kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtaja jina hivyo ni kumpa heshima.... Siku hizi ni wakala wa ushoga (mwanaume kwa mwanaume waoane)... #T2020JPM