Baroness Thatcher:1925-2013...RIP

Baroness Thatcher:1925-2013...RIP

huo " UHURU wa kujieleza " Hapa duniyani hutopendwa na wote wala hutochukiwa na wote......
Ukweli utabaki hivi, Huwezi kuridhisha kila mtu !!
 
Kutangaza kwingine na Mtaani kwingine. Mbona Tanzania haturuhusu Ushoga ila mitaani, Faruku alijulikana sana miaka ya 70 mwishoni, itakuwa sasa? Watu walimfahamu na hata kwenda kwenye Show zake "Mzoea vya kunyonga, vyakuchinja haviwezi....." Kanisani unaambiwa uwe na mke mmoja, ila kila mtu anajua Mzee fulani ana nyjmba ndogo.....
wewe wasema tena watatangaza mwezi mzima wa maombolezo
 
_48697837_2638893.jpg


Alale kwa Amani yake Bwana wetu!
 
Back
Top Bottom