Alikuwa mtu mbaya sana, ndio maana sehemu nyingi wanasherehekea.
kuna picha nyingi sana amepika akiwa na rafiki yake mkuu P Botha.
Alikuwa mtu mbaya sana, ndio maana sehemu nyingi wanasherehekea.
kuna picha nyingi sana amepika akiwa na rafiki yake mkuu P Botha.
Uko sahihi mkuu manz98 lakini kuna argurments kuwa kama asingefanya hayo aliyofanya,UK ingekuwa kama ilivyo sasa au ingekuwa tofauti,hizo ni internal politics lakini katika international politikis wanasema alisaidia kuondoa Cold War.Kwa vyovyote vile Baroness Thatcher atabakia kuwa controversial figure lakini mungu pekee ndie atamuhukumu huyu mama,RIP Iron Lady
duh wazungu wana roho mbaya dah huku kwetu mtu akifa anasifiwa tu