Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,446
- 829,814
Joto la mwili ni muhimu mno kwenye kuchochea hisia za mapenzi, mara nyingi utasikia mtu anakuambia, joto lake tu latosha! Unamhug mtu unahisi kabisa jinsi mwili wake ulivyo wa moto unahisi kuhemkwa kabisa!
Lakini je ulishawahi kukutana na mtu ambaye hana joto kabisa mwilini? Unaweza kumkimbia hana ladha wala raha kitandani, unaweza kufikiri umelala na maiti kuna mabinti hata wanaume pia wana hili tatizo lakini hawajijui, ni wazuri wanavutia machoni wana kazi nzuri na pesa pia lakini hawana wapenzi