Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,047
Eti hatuna joto hivi kuna binadamu watamu kama wachaga nchiii hiii ...
Sio siri wachagga watamu hasa walipoacha kale ka mchezo ka kusema kula tu baba angu ukimalisa funika na gaseti. Siku hizi wajuzi balaa.