Baridi kali kama hii

Baridi kali kama hii

Na hapo barafu haidondoki sasa je ungekaa kwa wenye baridi mpaka barafu inadondoka ungekuaje. Mkuu vumilia waza mambo mengine utaiona baridi ya kawaida na wala hutasumbuka.

Bora umwambie hao wanafanya masihara hicho ni kijiupepo tu baridi hasa hawajaiona....

Cc gorgeousmimi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Tz hamna baridi bana, infwakti sehem kubwa ya africa haina baridi..
unavaa sweta Dar? hayo ni maradhi...
 
Si umeona shost watu wanavyojiendekeza ehhh…wengine tupo kwenye madip friza kabisa mpaka -20 degrees inashuka friza haiingii ndani na hatulalami lol :smow:

Umeona eeeh yaani balaa hadi mili inakufa ganzi..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nyama+Pombe kali+papuchi=majotroo,niko moshi kilikizo kimvua kinanyesha lakini sioni barid kabisa
 
Hahahaha. Baridi hii ni kuongeza ratiba za gym
 
Baridi imenikuta ughaibuni, kuchepuka naogopa, nimebaki nimejikunyata tu!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom